Nyeti za siri zinapochafukwa

Nyeti za siri zinapochafukwa

[emoji397][emoji449][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji1623][emoji447][emoji1623][emoji63][emoji63][emoji63][emoji61][emoji61][emoji61][emoji61][emoji61][emoji61]
giphy.gif
 
Jamani mkuu Mshana ungeweka wazi kidogo kunani? Maana nipo mwashilalage hapa sipati picha kabisa nini kinaendelea kuna mtu yupo abroad akipumulia mashine au kunani
Hapana mkuu wangu Duduvwili nimemkumbuka tu mwalimu wangu wa fasihi chuoni na tamathali za semi..
Tamshi ni kama risasi kwenye bunduki...risasi haina kinyume(rivasi) hivyo ni bora tukachunga ndimi zetu hata kama hakuna malisho...kwakuwa vifanyio vyetu, vile ambavyo vikiona vifuniko vya asali husimama Dede kama kangaroo ni bora sana kuliko hizi nyepesi nyepesi zisizo na wepesi
 
Trump aliugua sana....

Boris Johnson aliugua sana...

Ni wazee kuliko yeye ila wote walipona kwa kuwekewa plasma za wagonjwa wa Covid waliopona. Nitashangaa kama hawana hii therapy na madawa mengine hapa nyumbani kwa ajili yao wakubwa. Nitashangaa sana kama tegemeo kubwa ni Bupiji na Covidol pekee; na nyungu, malimao na tangawizi tu.

Naomba ziwe tetesi tu. Kama za Ole Sabaya. Au Bilal...

Ila tumekuwa nchi ya hovyo sana. Hata sijui tumefikaje hapa. May God help us ALL !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom