Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,080
- 93,003
Kumbe Mshana Jr nawee una maneno ya kiswahili namna hii
Mzaramo nn!!
Eniwei ,lipo kama halipo
Mzaramo nn!!
Eniwei ,lipo kama halipo
Hivi Mgibeon unafamu hata mstatili unaweza kuwa na mzingo? Na utupu pia...labda uniambie mshazariMkuu Mshana! Umeongea kuhusu vipenyo sijui vya duara au mzingo, au unaongea kuhusu kutafuta eneo la mche duara wenye nusu kipenyo?
[emoji2839][emoji1545][emoji2827][emoji1752][emoji1691]Nimesoma zaidi ya mala kumi. Ndio nakaribia kupata maudhui halisi.
All in all. Message send and derived
Kwa kosa gani sasa mimi sio fowadi saresare fc wazee wa kidimbwi papasi[emoji196][emoji196][emoji196]Anajitahidi kukwepa mishale ya moderators. Ha haaaa! Ila wakinuia watamdunga / mchoma tu!
Chovywa chovywa humaliza uhondoNgoja ngoja huumiza matumbo ingawa subira huvuta heri...
Tafsiri pls📯🎷🎺🎺🎺🎺🥁🎻🥁💂💂💂👮👮👮👮👮👮
Anajitahidi kukwepa mishale ya moderators. Ha haaaa! Ila wakinuia watamdunga / mchoma tu!
Daahh Mshana Jr Mimi niliipenda fasihi lakini kwa watu wa Mara Kiswahili kinatuona vibaya .Hapana mkuu wangu Duduvwili nimemkumbuka tu mwalimu wangu wa fasihi chuoni na tamathali za semi..
Tamshi ni kama risasi kwenye bunduki...risasi haina kinyume(rivasi) hivyo ni bora tukachunga ndimi zetu hata kama hakuna malisho...kwakuwa vifanyio vyetu, vile ambavyo vikiona vifuniko vya asali husimama Dede kama kangaroo ni bora sana kuliko hizi nyepesi nyepesi zisizo na wepesi
[emoji848][emoji2][emoji2][emoji2] Tenzi za rohoni hazina huo wimbo mkuu wangu wa stendiSory mkuu nje ya mada hivi ule wimbo wa parapanda italia kwenye kitabu cha tenzi za rohoni ni wimbo namba ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute wao walipopatwa na jambo, naye alifurahia... Kila mtu abaki na vya tumboni mwake nyumbani kwakeNyakati za mwisho mkuu. Ni ajabu watu kufurahia mwingine kupata matatizo as if wao hayawapati au Ndio watoaji wa hayo matatizo
Ooh mama tetema...[emoji1545][emoji1545][emoji2]Kaka Mshana kumbe pia ni mwanafasihi konki namna hii?!
Umetisha sana mkuu na ni wachache sana wataelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway mitano tena
Wewe jamaa wewe, nimekuvulia kofiaHapana mkuu wangu Duduvwili nimemkumbuka tu mwalimu wangu wa fasihi chuoni na tamathali za semi..
Tamshi ni kama risasi kwenye bunduki...risasi haina kinyume(rivasi) hivyo ni bora tukachunga ndimi zetu hata kama hakuna malisho...kwakuwa vifanyio vyetu, vile ambavyo vikiona vifuniko vya asali husimama Dede kama kangaroo ni bora sana kuliko hizi nyepesi nyepesi zisizo na wepesi
Nyakati za mwisho mkuu. Ni ajabu watu kufurahia mwingine kupata matatizo as if wao hayawapati au Ndio watoaji wa hayo matatizo
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji102][emoji40]Usikute wao walipopatwa na jambo, naye alifurahia... Kila mtu abaki na vya tumboni mwake nyumbani kwake
Aiseeee, nilikuaga napenda sana hesabu ila hizi hazikuwahi kunivutia Mkuu, tuombe Mungu hata majibu yakija tofauti na matarajio huenda ikawa ni Shamba darasa kwake hivyo ile hali yabisi(jiwe) ikawa kimiminika!Hivi Mgibeon unafamu hata mstatili unaweza kuwa na mzingo? Na utupu pia...labda uniambie mshazari
Sent using Jamii Forums mobile app
Msonobari ni mojawapo ya miti isiyotoa matunda ya kuliwa na binadamu wala wanyama, ni mti mgumu, mti wa dhiki sawa sawa tu na mkafiri... Sipendi sana miti isiyotoa matunda ambayo ni edible..... Wanyama mwitu, wadudu hata ndege wana tabia ya kuchoronga miti kwa nia ya kupata kivuli na makazi.... Msonobari ni mti katili, hovyo kabisa hautaki kolabo wala mazoea na wengine ni mbinafsi sana...Mji mzitooo ....expansion joint huanza taratibu na hatimae kuonekana na jamii nzima