Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

NI kama yebo yebo ila yeye ana kofia nyingi kama zifuatavyo.
moja-Mwenyekiti wa ccm reading.
pili-katibu wa jumuiya ya watanzania.
tatu-padri kanisa la sabato
nne-Kiongozi wa DP chama cha mtikila.
tano-SENIOR MEMBER Jambo Forums.
sita-Amepata tenda ubalozini ya kuandaa Miss Tanzania uk.
 
Mimi nafikiri for the sake of urguement kila mtu ana haki ya kusema kile anacho jisikia na kukijua.Ukweli watu wengi wana ujua na jambo la ukweli uliwezi kulificha,Mzee alijitahidi sana kuficha his motives kama mtu yoyete angefanya kwenye nafasi yake.

Lakini mimi nadhani tumwache huyu bwana apumzike huko aliko,wapo wengi wa mfano wake kama Hilter,Benito Mussollin, Mobutu Seseko na hata Idd Amin kwa baadhi ya maeeneo ya utawara na wangineyo wengi.

Kama tumejua makosa yalipo tendeka basi tusifate njia hiyo bali tufunge mikanda kuwawezesha waislaamu kielimu kama sehemu ya jamii ya watanzania na sio kutafuta mshindi wa mjadara.

Au kufananisha kukosa elimu kwa waisilamu na watu wa pwani na mwenendo mzima wa Utawala wa awamu ya nne,if you give a crose look to the urgements of this type hawezi kukosa kufikiri na kujua kwamba watanzania kama sehemu kidogo ya watu wa namana hii wasipo angaliwa wana weza kutingiza katika machafuko ya udini na ukabara.kwani hawezi kuacha kufikiri kila kitu cha mtu wa pwani au muislam hakina maendeleo.

Kuna ule msemo usemao "do not judge a book for its cover"
 
Lakini mimi nadhani tumwache huyu bwana apumzike huko aliko,wapo wengi wa mfano wake kama Hilter,Benito Mussollin, Mobutu Seseko na hata Idd Amin kwa baadhi ya maeeneo ya utawara na wangineyo wengi.

.....kama hawa wanyama....ndio nyerere nae alikuwa hivi?....halafu laana za mizimu yake mnazitafuta wenyewe!

suala la watu wa pwani na waislamu wa tanzania ni la kihistiria[wapi wakoloni waliwekeza zaidi] hasa kwenye ilimu na afya[pamoja na wamisionari],we waulize waswahili wa manerumango watakueleza!

halafu jingine pamoja na kuhojiwa lakini li la kweli ni tamaduni ya jamii. hii hutoa picha ya maendeleo ya jamii husika!

sio siri watu wa pwani ndio waliomsaidia nyerere enzi zile,lakini hawakuwa peke yao.....wapo na wengine wa bara wengi.

halafu kitu cha muhimu tunachokisahau ni kuwa...si lazima ukiyaanzisha mapinduzi basi weye ndio utakuwa kinara hadi mwisho wake. kwa wale wanaofahamu japo kidogo[kama mimi]mapinduzi ya kisoshalisti urusi wataelewa ninacho maanisha....kuwa,mapinduzi yalinza zamani ila walionekana vinara ni kina lenin,vladimir. et al.
 
Dar Si,
Angalau wewe umemwelewa bwana Matuta. Mimi nilibaki ??????
 
hili la kumweka Nyerere kundi moja na Hitler, Mussolini, Mobutu n.k.. limenifanya niache kinywa chini.. hata walioko mbinguni wamepigwa na bumbuwazi!! Wanadamu hukosoea na Nyerere alifanya makosa yake.. lakini kuyaweka makosa hayo na wauaji wa mamilioni... imenifanya nitetemeke...!!
 
duh taratibu, mkjj kuweka kinywa chini, chaweza kuingia mchanga, kwani nyerere si muuwaji? inasemekana hata karume kamuuua yeye? kwa uroho wa madaraka na wengine ikawabidi waikimbie nchi jee yana ukweli wowote madai haya?
 
duh taratibu, mkjj kuweka kinywa chini, chaweza kuingia mchanga, kwani nyerere si muuwaji? inasemekana hata karume kamuuua yeye? kwa uroho wa madaraka na wengine ikawabidi waikimbie nchi jee yana ukweli wowote madai haya?

.....aliyemuua mzee wetu karume,tunamjua yakhe...usipindishe jambo!

huyu si alikuwa yule aliitwa hawezi kuninii......habari yake ndefu...yahitaji baraza zima!
 
nyupi yakhe, mie nnsikia nnyerere, kwa kuwa karume kasema muungano baada mika kumi tuangalie kama tuendelee au basi, na dalili zilionyesha kuwa baada ya miaka hio karume hataki muungano je wayajua haya?
 
Nashukuru Bwn.DAR si LAMU,kidogo tumeelewana kwa yale niliyokua nayazungumza.
Kuhusu hili swala la elimu na Wamisionari na sababu za kiuchumi,jamii na kisiasa unaweza kusoma kidogo kwenye kijitabu hichi 'UKRISTO NA UISLAMU KATIKA TANZANIA' cha Bwana PETER SMITH,M. Afr. Ingawa nafikiri hauta pata original varsion.
Hapa naomba tuelewane kwamba sianzishi mjadara wa kidini,ila nawekea msisitizo wa maelezo yangu kwamba ili kujenga Tanzania mpya lazima tuiwezeshe ile jamii ambayo iko nyuma kielimu (kama kweli ipo nyuma!)
Na kuhusu bwana Kifimbo kum-group na hao madik-teta wengi mie sioni ajabu na wala sio swala geni masikioni kwa wengi kama ndugu yangu mwkjj anavyotaka kutueleza.
Taking into the account that most of third world countries leaders post colonial era,wale wote ambao walichukua madaraka either kwa msaada wa wengine au wao kuwa vinara wa mapambano waliziendesha hizo nchi kama hazina zao binafsi.Sioni sababu ya yeye kuamweka kando kwani pia na yeye mwanzonia alikua na mlengo ule ule wa kisoshalisti.
Not to say the least,au tusubiri Bwn.Dar si Lamu aseme propaganda through media,kuua watu na mengineyo mengi ndio characteristics za aina hii ya wana mapinduzi dunia nzima.
 
Sanda Matuta,
sioni ubaya katika msingi wa hoja yako. mimi nasisitiza serikali isaidie kuelimisha jamii zote zilizoachwa nyuma kielimu.

katika suala hili napendekeza serikali isiangalie DINI bali mahitaji ya kielimu ya jamii/eneo husika.

Waislamu wa Kagera wameelimika kuzidi Wakristo wa Sumbawanga. Kwa msingi huo serikali aangalie jamii moja hadi nyingine ktk kuondoa hii disparity ya elimu.
 
Sanda Matuta,
haya manunguniko ya Waislamu yamekuwa yakiendelea kwa muda mrefu sasa. Serikali has to do something. Siyo lazima kuanzisha mradi wowote ule exclusively kwa ajili ya Waislamu, lakini serikali iki-target maeneo yaliyoachwa nyuma kielimu, basi Watanzania wote watafaidika.

Uongozi wetu unaona fahari kutuletea timu ya mpira, Real Madrid, kuliko kushughulikia masuala ya msingi kama elimu. Priorities za hii serikali zinanishangaza kweli kweli. Fedha zinazotumika kuileta Real Madrid zingeelekezwa ktk Elimu tutaingia hasara?
 
Na kuhusu bwana Kifimbo kum-group na hao madik-teta wengi mie sioni ajabu na wala sio swala geni masikioni kwa wengi

......we unataka mizimu yake ikuandame!.....unataka kuniambia tanzania enzi ya nyerere...tulikuwa kama ug=idd amin,zaire=mobutu,germany=hitler na italy=mussolini?

.....au huyu mzee aliifanyia nini familia yenu...au ndugu zako?...nalazimika kuuliza hili....aagh! mi nshachoka kuelewesha hili,naona ka unatu-tusi watanzania wenzako...au weye siye nini?
 
Sanda Matuta,
haya manunguniko ya Waislamu yamekuwa yakiendelea kwa muda mrefu sasa. Serikali has to do something. Siyo lazima kuanzisha mradi wowote ule exclusively kwa ajili ya Waislamu, lakini serikali iki-target maeneo yaliyoachwa nyuma kielimu, basi Watanzania wote watafaidika.

Uongozi wetu unaona fahari kutuletea timu ya mpira, Real Madrid, kuliko kushughulikia masuala ya msingi kama elimu. Priorities za hii serikali zinanishangaza kweli kweli. Fedha zinazotumika kuileta Real Madrid zingeelekezwa ktk Elimu tutaingia hasara?

....punda utamlazimisha sana,hata mtoni utampeleka,kato huwezi kumlazimisha kunywa maji!

jamii nyingine by default....hazijakaa mkao wa kuendelea!....and this is a fact! si ndo maana watu wanashtakiwa kwa kutopeleka watoto shule ilhali fedha au mali za kuwezesha hilo wanazo!
 
.....au huyu mzee aliifanyia nini familia yenu...au ndugu zako?...nalazimika kuuliza hili....aagh! mi nshachoka kuelewesha hili,naona ka unatu-tusi watanzania wenzako...au weye siye nini?

Hapana,hajanifanya mimi kitu wala familia yangu.
Kwanza kabwela kama mimi atanijuaje huyu bwana.

Ila nakumbuka zamani Mwalimu,siyo Mwalimu yeye (mwalimu wangu) aliniambia ukita History ikufundishe yale ya jayo base do not look at it with a bias eye,treat all the variables at per.
Sasa yeye kama sehemu of our rich history lazima tumuweke kwenye meza iliyokuwa sawa na wengine,unadhani kwasababu yeye ndio rais wa kwanza wa inchi hii siwezi kumuweka kwenye meza moja na Sheikh Ramiya yule wa Bagamoyo?
No,tufanya na kusema yaliyo kweli sio ya ''Ya Casear Mpe Ceaser na Y a Mungu Mpe Mungu>
 
Dar Si Lamu/sanda Matuta

Kwa hiyo haya ni majina yako yote?
 
Hapana Ole,

Mie Naitwa Sanda Matuta Kaburi Muyombo.

Hilo Dar Si Lamu nia la swaiba yangu anielimishaye.
nadhania atakujibu
 
......inabidi niulize,manake....najiuliza uko-sober kweli weye?

una maana gani....kwamba mi na sanda ni mtu mmoja?...aagh! haya...habari za siku,mama yeyoo hajambo?
 
Back
Top Bottom