Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

Hata wewe ni bure kabisa,nimegundua ni mtu wa chuki kwa Waafrika wenzako kinyume kabisa na Baba wa Taifa Mwl. J.K Nyerere! Jisahili upya posts unazoandika ktk thread za operesheni ya kuwatimua wahamiaji toka nchi jirani kama zina shahabiana hata kidogo na msimamo wa utu wa Mwalimu!


Hii hoja umeianzisha wewe. Tulia na uwe na busara. Mwalimu alikueleza wazi alikubali wahamiaji haramu waishi kihuni na kwa kuendesha ujambazi nchini? Mwalimu huyo huyo kwa kuihami nchi yake ndiyo maana tulipigana na Iddi Amini. Amini alikuwa nani? Alikuwa mvamizi ambaye hakuwa na tofauti na mhamiaji haramu katika ardhi yetu. Muulize Kamuzu Banda alipojaribu kuichukua Nyasa alifanywa nini? Kwanini hakusema hawa ni waafrika wenzetu tuwaache?

Mwalimu kawasaidia sana hata Waislamu. Viwanja vinavyouzwa Chang'ombe kawapa yeye, lakini leo ndiyo ninyi hawa hawa mliosoma bure mnaombeza. Hakika nakuambia, Mwalimu atabaki kuwa Mwalimu. Ebu hili neno Mwalimu litafakari ujue ninamaanisha nini.
 
Ikiwa marehemu Nyerere mwenyewe anakiri kuwa alifanya makosa na tuyaache. Wewe ni nani wa kuona kuwa hana makosa?

Ukiwa Rais hakuna cha kusema "mlipotifuana". Kila kosa alifanyalo linawagusa wengi, nae ana mengi sana aliyokosea tena makubwa na yaliofikia kutuwekea msingi mbovu wa maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla.

Inabidi uusome huu uzi kwa fikra za kuyajuwa makosa ili ujirekebishe. Kama utafumbia macho mabaya basi hutaweza kujirekebisha.

Ha ha ha haaaaaa, eti wewe nae unajiona unajua makosa ya watu kama akina Nyerere? Mungu wangu, kweli Nyerere alikosea kuwatoa tongotongo.

Nilikuuliza swali, ni misingi ipi hiyo unayoisemea Mwal. Nyerere alikosea??? Na je, hao waliokuja baada ya hapo wamefanya nini??? Hiyo misingi unayoongelea kwani ni kama Misingi ya Biblia au Qur an ambayo haiwezi kurekebishwa???

Naomba ujibu hizo hoja na uache vihoja! Manake unaruka ruka tu na vi tuhuma vyako na kukimbia kujibu hoja!!! Punguza chuki na jazba ili twende sawa!
 
Kubishana na makuwadi wa wauza unga ni fedheha. Time will tell hawa makuwadi waliovamia hii nchi na kufikiri watanzania bado wamelala Watakiona cha ntemakuni.
 
Hilo azimio ni moja kati ya msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ambao haujwahi kutokea duniani. Ulitutoa kwenye wauzaji wa kwanza wa mazao ya kilimo Afrika hadi kufikia ombaomba wa mwisho duniani.[/QUOTE]


Omba omba wa mwisho maana yake ndiye mwombaji asiyeomba kabisa! NI kama kusema masikini wa mwisho. Masikini wa mwisho ndiye tajiri wa kwanza!! Masikini wa kwanza ndiye tajiri wa mwisho! Kwa fitna juu ya mwalimu sasa mnajikanganya hata kwenye Kiswahili chenu!!!.

Akili za valeur.
 
Kubishana na makuwadi wa wauza unga ni fedheha. Time will tell hawa makuwadi waliovamia hii nchi na kufikiri watanzania bado wamelala Watakiona cha ntemakuni.[/QUOTE]

Umekosa hoja unaleta viroja.
 
Ha ha ha haaaaaa, eti wewe nae unajiona unajua makosa ya watu kama akina Nyerere? Mungu wangu, kweli Nyerere alikosea kuwatoa tongotongo.

Nilikuuliza swali, ni misingi ipi hiyo unayoisemea Mwal. Nyerere alikosea??? Na je, hao waliokuja baada ya hapo wamefanya nini??? Hiyo misingi unayoongelea kwani ni kama Misingi ya Biblia au Qur an ambayo haiwezi kurekebishwa???

Naomba ujibu hizo hoja na uache vihoja! Manake unaruka ruka tu na vi tuhuma vyako na kukimbia kujibu hoja!!! Punguza chuki na jazba ili twende sawa!

Ungekuwa una ufahamu usingeuliza.

Nakuuliza. Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
 
Baada ya miaka michache tu ya uongozi wa Nyerere tukaanza kuwa omba omba wa chakula duniani, wakati anachukuwa madaraka tulikuwa nchi ya kwanza katika Afrika inayosafirisha mazao ya kilimo nje. Tulikuwa wa kwanza duniani kwa Mkonge, tulikuwa wa pili duniani kwa korosho.

Hivyo vyuo vingi vya Nyerere vikiitwaje? na vilitowa wanafunzi wangapi kwa mwaka?

Sijui umezaliwa mwaka gani lakini kwa taarifa yako Tanzania haijawahi kuwa ombaomba Tanzania inanua chakula chake kutoka nje pale ambapo kuna upungufu; wakati wa Nyerere Tanzania ilipata upungufu mkubwa wa Chakula miaka ya 1974-1976 kutokana na ukame na baadaye tulipata baa la nzige; Nyerere hakuwahi kuwaacha raia wafe njaa nieleze ni lini raia wa Tanzania walikufa kama kuku kwa kukosa chakula? Unaongelea mkonge na korosho; mazao yote hayo kuanguka kwake hayahusiani na siasa; mkonge ulianguka bei katika soko la dunia hali kadhalika korosho iliokosa wananuzi; jee miaka 30 baada ya Nyerere kimefanyika nini? Mbona bado serikali inaagiza vyakula kutoka nje? Hivi vioja vinavyofanyika siku hizi huvioni? nasikia mpaka samaki mnnagizia uchina siku hizi; nadhani unakabiliwa na matatizo makubwa sana ya kufikiri zaidi ya UDOM kuna chuo gani kilichojengwa na serikali zaidi kuvibadili majina vilivyopo? Unakazania kutaka kujua idadi ya wanafunzi wakati Nyerere anaondoka madarakani watanzania tulikuwa wangapi na sasa hivi tupo wangapi fanya ratio utapata majibu yako!
 
Na huyu jee:

There was the villagization. There was this culture of people right in the villages, in the name of maintaining security, in the name of Ujama and there was too much brainwashing, terror campaign. And all these things, I didn't like them. Well, I thank God. I did not know how to mince words. I always called a spade a spade. So I was at loggerheads with the system. And then because I was not directly involved with politics, time was yet to come. When after business, after everything I started preaching. Then when preaching, I realized that we were all wrong and the system was wrong and everything had been wrong. We were not told the truth and I know the short history of Tanganyika, all of them were burnt away. These are the history books that we read from school from middle school, to secondary school. All of them were burnt out. New ones were published so the nation has been built on the foundation of lies. There's no truth.

Now the brainwashing was successful because the media was nationalized. And only one person was allowed to use the media for himself. And that's why we came to this worship, that long live the thoughts of one person who would think correctly and all others were wrong. So that was the case, so when he got wrong, all of us, he ditched us, all of us. Those are the scars which shall not heal -- the scars of the ideology of Ujama. They'll never heal because they'll drown us at a level in a bottomless pit where we can never come out. We have failed for all these days unless we change completely, we have a new thinking…that is when we can succeed.

Keep exposing your nonsense; when you quote any article you must show the name of the author and the date it was written other than that everything turned to be garbage! Nyerere has more favorable views than any other president we ever had; he was truly African leader who serves his people; very unfortunates now its opposite! keep googling but that will never changes minds of the people around the globe who have much respects to Julius Nyerere!
 
Eti sina ufahamu. Ndo maana nakwambia huna hoja zaidi ua chuki. Utabaki unalalamika tu mpaka mwisho wa dunia. Kinachokusumbua ni chuki hamna kongine. Unatakiwa kijibu hoja, waliokuja baada ya Nyerere wamefanya nini?. Uelewa wako ni mdogo sana.
 
Nchi hii ilikosa misingi ya kuifikisha ipasapo ilipokabidhiwa madaraka ya kujiendesha yenyewe. Kumbuka, hatukupewa Uhuru, kwani mwaka 1961 tulikuwa hatutawaliwi.

Aliyeshindwa kuweka hiyo misingi imara ni Julius Kmabarage Nyerere. Jee, tumlaumu kwa kuwa alikuwa hana uzoefu wa kuongoza? au tumlaumu kwa kuwa alikuwa akiendeshwa na waliomuweka madarakani?

Nyerere alishindwa kuweka misingi imara na ndio maana kila alichokifanya nchini kikashindwa au alikuwa hajui kuwa kila alifanyalo ni kosa mbeleni? alikuwa hana muono?

Tujadili.

Sina hakika km mada hii umeiandaa kutokana na Imani yako kisiasa au vinginevyo kwanza iko hewani sana unaposema misingi una maana gani?

Unaamini nchi haikutawaliwa, pengine maana ya kutawaliwa ndio tatizo hapa ... hebu tu jiulize kulikua na maana gani kwa Gavana kutoka Uingereza aje Tanganyika na je wajibu wake ilikua ni nini ... Kilimo? Kutawala? Kutalii au ?

Je Nyerere alipewa uhuru na waliomuweka madarakani? kuna ukweli ktk hili? Km upo uhuru wetu ulipatikana lini? Na kiongozi wake ni nani au hatukuwahi kutawaliwa? na je km hatukutawaliwa viongozi wetu wa kitaifa ni kina nani kabla ya Nyerere?

Kwanini km Nyerere alikua kakabidhiwa nchi na hao waliompa madaraka... kwanini bado unaamini Nyerere ndio aliyeshindwa kuweka misingi hiyo unayoiita ka na siyo alikua an atumike tu?
 
Alikuwa anajua alichokuwa anakifanya tusimlaumu maana waliompa nchi walikuwa wakimtazama na hata hivyo chochote alichofanya ilikuwa kwa ajili ya kanisa ... Na haya ndio matokeo yake
 
Naona huna hoja bali unataka kulazimisha viroja.

Hebu jisomee hapa chini kidogo, halafu uniambie na huyu alikuwa anataka kuiona Tanzania ikiwa mwanachama wa nini?

Did people live in fear during the Nyerere era?
We experienced a very strange way of living because of the terror campaign with the security officers trained in the communist block. It was terrible. People did not trust anyone, even in the families. Wives would not trust their husbands and vice versa because it was a very severe terror campaign. People would disappear silently and no one would be allowed to think about them because if you are suspected to be thinking treason, then you also disappear. We lived under that repressive regime, I mean, all these years until this guy retired after the failure of Ujama, because we did not achieve all these things. We were made to think about things which were not there and believe they are there. To say otherwise was to say treason. This is the terror campaign which subdued us to the level of livestock, which always live in fear of slaughter anytime.
Source:
mtikila_tn_off.jpg

[TD="class: standard, width: 610"]
mtikila_txt_off.gif
[/TD]

[TD="class: standard, width: 610"] Opposition party leader criticizes the socialist policies of Julius Nyerere in Tanzania from the 1960s to the present.[/TD]
usiwe mfinyu wa mawazo kutaka kukaririshwa kila kitu lazima utambue kwamba ukiishika shilingi mikononi mwakona kuita watu wawili mmoja mgongoni kwako na mwingine mbele yako kisha ukamauliza mmeona nini? kila myu atajibu kwa kadri alivyoona kama ni kichwa au mwenge, hivyo basi huwezi ukamridhisha kila mtu kila wakati ila nia njema itabaki kuwa njema tuu, kwa reference ya mtikila ambaye mpaka sasa nina walakini na uzalendo wake na utimamu haswaa wa akili zake sababu tu ya matendo na matamko yake mpaka leo namuona ni mtu mwenye tamaa na asiye na mwelekeo anayejua kulaumu tuu kila matakwa yake yanapogonga mwamba hakika si mtu wa kumsikiliza ukayaamini yale anayoyasema pasi na shaka.......NB:hizi ni chuki za watu wachache lakini ukweli utabaki pale juu ya uadilifu na weledi wa mwalimu kwa taifa hili

HAWA WANAOSEMA HIVI NDIO WALE AMBAO WALITAKA MPAKA KUANDAMANA MWAKA 1999 KUPINGA MAZISHI YA HESHIMA KWA MWANZILISHI WA TAIFA HILI TUTAWAPUUZA NA TUTASONGA MBELE.
 
He has been died for a long time now, and he has been out of power for even longer. So, hayo makosa yake yanasubiri afufuke ili yarekebishwe?

And why are you so obsessed with someone who has been out of power - and this world - that much? Kwa nini usituambie tujadili yanayofanywa leo na walio madarakani leo hii ambapo kila kukicha ni bora ya jana?
Watu wengine mawazo yao yanasukumwa kidini zaidi
 
Keep exposing your nonsense; when you quote any article you must show the name of the author and the date it was written other than that everything turned to be garbage! Nyerere has more favorable views than any other president we ever had; he was truly African leader who serves his people; very unfortunates now its opposite! keep googling but that will never changes minds of the people around the globe who have much respects to Julius Nyerere!

Read Read Read

The source is no other than Mchungaji wa kondoo waliopotea, Mtikila.
 
Sina hakika km mada hii umeiandaa kutokana na Imani yako kisiasa au vinginevyo kwanza iko hewani sana unaposema misingi una maana gani?

Unaamini nchi haikutawaliwa, pengine maana ya kutawaliwa ndio tatizo hapa ... hebu tu jiulize kulikua na maana gani kwa Gavana kutoka Uingereza aje Tanganyika na je wajibu wake ilikua ni nini ... Kilimo? Kutawala? Kutalii au ?

Je Nyerere alipewa uhuru na waliomuweka madarakani? kuna ukweli ktk hili? Km upo uhuru wetu ulipatikana lini? Na kiongozi wake ni nani au hatukuwahi kutawaliwa? na je km hatukutawaliwa viongozi wetu wa kitaifa ni kina nani kabla ya Nyerere?

Kwanini km Nyerere alikua kakabidhiwa nchi na hao waliompa madaraka... kwanini bado unaamini Nyerere ndio aliyeshindwa kuweka misingi hiyo unayoiita ka na siyo alikua an atumike tu?

Pitia posts na usikurupuke, swali lako la kwanza nimeshalijibu kwa wengine huko juu.

Kuhusu Gavana aje Tanganyika, alikuwa ni mtumishi wa Malkia wa Uingereza na hakuwa mtawala. Huyo alikuwa akiongoza watu ambao Umoja wa Mataifa waliona kuwa hawajui kujiongoza na kijilinda na kuwataka Uingereza watulinde na waongoze mpaka itakapoonekana kuwa sasa wanaweza kujiongoza. (Protectorate).
 
Back
Top Bottom