Mkuu wangu labda nikuulize hivi. Huo mradi wa TAZARA wachina wanao kwa miaka mingapi hadi sasa? na Je, tumepoteza au tungefaidika vipi kama ungekuwa chini ya TRA.. je kama mradi ukiwa wa Bandari, serikali na sisi wananchi tunafaidika vipi kama sio kwa kupitia kodi wanazolipa? hivyo haijalishi kama shirika hili ni la Mchina, bandari au Karamagi kinachoingia ktk mfuko wetu ni kodi wanazotakiwa kulipia..Ukweli ni kwamba tutapoteza zaidi inapokuwa mikononi mwa Bandari maana wezi watupu wamejaa huko.Nchi imeoza.
Pande zote 2 kuna tatizo. Kwanza ni kwa nini hiyo kazi isitangazwe wazi kampuni zishindane kama taratibu zinavyotaka.
Inakuwaje wizara 1 inakua na makundi mawili kila moja linakimbiza dili kivyake hii pia ni dalili kuwa kuna harufu mbaya kwenye dili nzima.
Lakini huyu Nunda ndio ametia fora hata aibu hana. Yuko tayari kukabidhi mradi pekee unaozalisha kwa wageni kwa miaka 45 kwa pesa ambazo naamini mradi ukikamilika gharama za ujenzi zinaweza kupatikana ndani ya mika 10.
Kichekesho zaidi ni jinsi ujinga huu ulivyo wazi lakini mamlaka husika zimeshindwa kuwawajibisha wahusika.
Kwa ushahidi huu naelewa sasa kwa nini hata magogoni wanajikanyaga.
Kwa sasa hatima ya nchi hii ipo kwa Watanzania wenyewe. Hakuna tena uongozi jahazi la nchi linazama.
Mkuu wangu labda nikuulize hivi. Huo mradi wa TAZARA wachina wanao kwa miaka mingapi hadi sasa? na Je, tumepoteza au tungefaidika vipi kama ungekuwa chini ya TRA.. je kama mradi ukiwa wa Bandari, serikali na sisi wananchi tunafaidika vipi kama sio kwa kupitia kodi wanazolipa? hivyo haijalishi kama shirika hili ni la Mchina, bandari au Karamagi kinachoingia ktk mfuko wetu ni kodi wanazotakiwa kulipia..Ukweli ni kwamba tutapoteza zaidi inapokuwa mikononi mwa Bandari maana wezi watupu wamejaa huko.
Halafu nakuomba pia soma barua ya kwanza kabisa ktk mada hii inazungumzia hao MHCI wakiulizia nini maamuzi ya wizara kama bado tuko interested na investment yao ambayo inafuata Public Private Partnership act and Regulation ya mwaka 2011 au tutaendelea kutumia mkopo ule wa benki ya Exim toka China na wale CCCC, kama ndivyo basi ombi lao lichukulie null na void na wamejieleza vizuri kukubali matokeo ya uchaguzi wetu. Chaguo la Nundu inaelekea ni option ya pili ambayo wao wameiweka kujinadi ubora zaidi ya ile ya CCCC..Sasa kama kuna fitna na kumalizana hilo swala jingine.
Tatizo la Nundu tunaweza kusema kwamba alikuwa na mpango na hili shirika la MHCI wakati kuna shirika jingine la CCCC ambalo ndilo limeweka mkataba na hata kupatikana kwa hizo Usd 600 millioni lakini jaribu sana kuzifuatilia hizi barua zote hutaona mahala wamepeleka nakala kwake. Kama vile walikuwa wakimkwepa toka mwanzo. Pili inanishangaza zaidi naposoma kwamba mkopo waliotoa benki unasema Usd 470 kama asilimia 90 hoja ya Candid Scope #3 wakati barua za serikali zinaonyesha usd 444 kama asilimia 85 hoja ya n00b #9. Tatu, kuna makadirio ya aina mbili moja ikisema Usd 610 na nyingine 523, sasa ipi nni ipi?
Halafu elewa pia kwamba huo mkataba wa Nundu na HMCI tusingetoa hata cent moja wangegharamia wao kwa kila kitu halafu pia kulikuwa na mpango wa kuiboresha pia bandari ya Tanga. Swala la kujiuliza sisi ni:-
1. Je, hizo gate mbili zinaweza ingiza kiasi gani cha faida kila mwaka baada ya matumizi, na hiyo faida kwa miaka 45 itakuwa kiasi gani tofauti na mkataba huu wa CCCC ambayo inatugharimu millioni 600 na bado hatujaweka gharama za uendeshaji na ukarabati. Bandari kama shirika lingepoteza kiasi gani cha fedha kutokana na mradi wa A au B
2. Je, Kama Bandari yetu inafanya kazi kwa faida imekuwaje wameitumia serikali na shirika la CCCC kukopesha kiasi hicho cha fedha toka benki binafsi ya China na sio Banki ya dunia, Afrika au serikali ya China.
Ni kweli kabisa bibie, biashara za kifisadi haziwezi kuwekwa wazi.Wewe biashara zako zote ziko wazi? nna uhakika una biashara nyingine hata mkeo hajui unafanya nini.
Kuna biashara zinaanikwa njiani nazo ni za nyanya na vitunguu. Na kuna biashara ambazo hazitakiwi ziwekwe wazi.
Naomba kutofautiana na wewe Mkuu, wana CCM hawaathiriki kwa lolote kwenye hizi Rushwa zilizokithiri maana kwa mwanaCCM ni kwamba hii nchi uchumi unapaa na ilani ya CCM inatimizwa vyema kabisa, na kwenye ule uchaguzi wetu wa ndani hii inaitwa takrima.
Acha unafki hiki ni kipindi ambacho either uko na sisi au uko na wao, huwezi kuishabikia CCM halafu ukadai eti kuna kitu kinakukera, huu ni wakati kwa Mzalendo wa kweli kuchaguwa upande wa kusimamia, usidhani inachezwa sindimba hapa, we mean Business.
Mkuu Mkandara, asante kwa kulisemea hili!.Mkuu wangu labda nikuulize hivi. Huo mradi wa TAZARA wachina wanao kwa miaka mingapi hadi sasa? na Je, tumepoteza au tungefaidika vipi kama ungekuwa chini ya TRA.. je kama mradi ukiwa wa Bandari, serikali na sisi wananchi tunafaidika vipi kama sio kwa kupitia kodi wanazolipa? hivyo haijalishi kama shirika hili ni la Mchina, bandari au Karamagi kinachoingia ktk mfuko wetu ni kodi wanazotakiwa kulipia..Ukweli ni kwamba tutapoteza zaidi inapokuwa mikononi mwa Bandari maana wezi watupu wamejaa huko.
Halafu nakuomba pia soma barua ya kwanza kabisa ktk mada hii inazungumzia hao MHCI wakiulizia nini maamuzi ya wizara kama bado tuko interested na investment yao ambayo inafuata Public Private Partnership act and Regulation ya mwaka 2011 au tutaendelea kutumia mkopo ule wa benki ya Exim toka China na wale CCCC, kama ndivyo basi ombi lao lichukulie null na void na wamejieleza vizuri kukubali matokeo ya uchaguzi wetu. Chaguo la Nundu inaelekea ni option ya pili ambayo wao wameiweka kujinadi ubora zaidi ya ile ya CCCC..Sasa kama kuna fitna na kumalizana hilo swala jingine.
Tatizo la Nundu tunaweza kusema kwamba alikuwa na mpango na hili shirika la MHCI wakati kuna shirika jingine la CCCC ambalo ndilo limeweka mkataba na hata kupatikana kwa hizo Usd 600 millioni lakini jaribu sana kuzifuatilia hizi barua zote hutaona mahala wamepeleka nakala kwake. Kama vile walikuwa wakimkwepa toka mwanzo. Pili inanishangaza zaidi naposoma kwamba mkopo waliotoa benki unasema Usd 470 kama asilimia 90 hoja ya Candid Scope #3 wakati barua za serikali zinaonyesha usd 444 kama asilimia 85 hoja ya n00b #9. Tatu, kuna makadirio ya aina mbili moja ikisema Usd 610 na nyingine 523, sasa ipi nni ipi?
Halafu elewa pia kwamba huo mkataba wa Nundu na HMCI tusingetoa hata cent moja wangegharamia wao kwa kila kitu halafu pia kulikuwa na mpango wa kuiboresha pia bandari ya Tanga. Swala la kujiuliza sisi ni:-
1. Je, hizo gate mbili zinaweza ingiza kiasi gani cha faida kila mwaka baada ya matumizi, na hiyo faida kwa miaka 45 itakuwa kiasi gani tofauti na mkataba huu wa CCCC ambayo inatugharimu millioni 600 na bado hatujaweka gharama za uendeshaji na ukarabati. Bandari kama shirika lingepoteza kiasi gani cha fedha kutokana na mradi wa A au B
2. Je, Kama Bandari yetu inafanya kazi kwa faida imekuwaje wameitumia serikali na shirika la CCCC kukopesha kiasi hicho cha fedha toka benki binafsi ya China na sio Banki ya dunia, Afrika au serikali ya China.
Mkuu Mkandara, asante kwa kulisemea hili!.
1. Gharama za kwanza za CCCC zilikuwa dola milioni 600 plus wajenge hizo gati mbili na kukarabati gati zingine zote kwa mchanganuo wa dola milioni 400 gati mpya na dola milioni 200 ukarabati!.
2. TPA wakawaambia waachane na ukarabati hivyo CCCC wakaleta makadirio mengine ya dola milioni 400 kujenga hizo gati 2.
3. Baada ya TPA kupata hayo makadirio wao TPA wakaandika barua wizarani kuwa wanataka udhamini wa serikali kuomba mkopo wa dola milioni 500!. Ina maana wao wameshaweka cha juu cha dola milioni 100!. Tena kimekuwa inserted kwa peni!.
4. Waziri Mkulo nae baada ya kupokea barua ya TPA serikali sasa ndio ikaiandikia barua Exim Bank ya China kuomba mkopo wa Dola milioni 527 ikiwa na cha juu zaidi cha dola milioni 27 za "wakubwa"!.
5. Ukisoma dokezo lenye dola milioni 600, 527 na 400 maneno mengine yote ni yale neno kwa neno!. Haiwezekani kuwepo kwa flactuations kubwa hivyo ya figures in terms of millions of dollars bila any explanations!.
6.Ukisikia high level corruption ndio hii!. Mijitu mijizi inataka kuwaibia Watanzania, Nundu ameishtukia dili sasa ndio anapigwa vita kuzuia ulaji!.
7. Wajameni hapo kuna MOU tuu, bado hakuna mkataba wowote!. Hakuna mkopo wowote! na hakuna ujenzi wowote!. Hizi zote ni harakati za kundi la mijizi ndidi ya harakati za wazalendo kuinusuru nchi!.
Pasco.
Mkuu mpingauonevu,
Nakubaliana na wewe. Tuna ugonjwa mmoja waTanzania, kuhukumu kwa kutumia mahakama ya magazeti. Watu hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya waziri kujiuzulu.
Hatuwezi kutumi mass ku-determine haki ya mtu. Waziri Nundu ni msafi, nimejiridhisha hivyo. Maelezo yake yamethibiti hivyo,ushahidi unaonesha hivyo. Kwa nini mnataka kuaminisha kila mtu ku-rely kwenye taarifa za magazetini na wanasiasa uchwara,wasioweza kujenga hoja juu ya misingi ya haki na uadilifu.
Hakuna mantiki ya Waziri Nundu kujiuzulu, hana kosa la kumfanya ajiuzulu. Wengine siwezi kuwasemea. Haki lazima ifuatwe hata kama anayepewa hatumpendi.
Mkuu Mkandara, asante kwa kulisemea hili!.
1. Gharama za kwanza za CCCC zilikuwa dola milioni 600 plus wajenge hizo gati mbili na kukarabati gati zingine zote kwa mchanganuo wa dola milioni 400 gati mpya na dola milioni 200 ukarabati!.
2. TPA wakawaambia waachane na ukarabati hivyo CCCC wakaleta makadirio mengine ya dola milioni 400 kujenga hizo gati 2.
3. Baada ya TPA kupata hayo makadirio wao TPA wakaandika barua wizarani kuwa wanataka udhamini wa serikali kuomba mkopo wa dola milioni 500!. Ina maana wao wameshaweka cha juu cha dola milioni 100!. Tena kimekuwa inserted kwa peni!.
4. Waziri Mkulo nae baada ya kupokea barua ya TPA serikali sasa ndio ikaiandikia barua Exim Bank ya China kuomba mkopo wa Dola milioni 527 ikiwa na cha juu zaidi cha dola milioni 27 za "wakubwa"!.
5. Ukisoma dokezo lenye dola milioni 600, 527 na 400 maneno mengine yote ni yale neno kwa neno!. Haiwezekani kuwepo kwa flactuations kubwa hivyo ya figures in terms of millions of dollars bila any explanations!.
6.Ukisikia high level corruption ndio hii!. Mijitu mijizi inataka kuwaibia Watanzania, Nundu ameishtukia dili sasa ndio anapigwa vita kuzuia ulaji!.
7. Wajameni hapo kuna MOU tuu, bado hakuna mkataba wowote!. Hakuna mkopo wowote! na hakuna ujenzi wowote!. Hizi zote ni harakati za kundi la mijizi ndidi ya harakati za wazalendo kuinusuru nchi!.
Pasco.
Gloria, namhurumia sana Nundu, kama ili EPA, Richmond, IPTL, Kagoda, Meremeta, Deep Green and the like, hao maofisa wote wa serikali na TPA ni ma agent tuu wa ma Cartell wenyewe, behind the scene ndio wamekaa ma Don wenyewe, sasa Nundu anataka kutibua deal za watu!, there is no way, he has to go!. Huwezi kutishia interest za Don alafu ulasurvive!. Masikini Nundu hakulijua hilo, akadhani anasaidia kumbe ndio anasokoteshwa kamba ya kujinyongea!.Asante Kaka Pasco, yaani hapa umetutafunia kilichobaki na kumeza tu lakini still watu wengine hawataelewa!
Kimsingi mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni, Waziri Nundu ni wazi kabisa hapa anapambana na genge la wala rushwa kubwa na vita inapiganwa kona zote ie Kamati ya Miundo Mbinu ikiongoza na Serukamba wamekula mlungula, Naibu waziri Athumani Mfutakamba kala mlungula, Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo kala mlungula, watendaji wakuu wizarani Saad Fungafunga et al wamekula mlungula, Watendaji wa TPA Ephraim Mgawe et al wamekua mlungula, Bodi wa TPA chini ya Raphael Mollel wamekula mlungula.
Huyo Nundu atakuwa bonge la Bangusilo na katika mtandao huo wa juu hapo hutoki inaitwa "bumper to bumper!"
...................
7. Wajameni hapo kuna MOU tuu, bado hakuna mkataba wowote!. Hakuna mkopo wowote! na hakuna ujenzi wowote!. Hizi zote ni harakati za kundi la mijizi ndidi ya harakati za wazalendo kuinusuru nchi!.
Pasco.
Hicho kipengele cha BOOT kina athari gani ikiwa pato letu linatoka kwenye kodi tu..Ukichukua BOT na ukaachia Bandari wa operate wataharibu vitu chini ya miaka mitano aidha vifaa vitaibiwa au huduma mbovu si bora tuwakabidhi shirika linaloweza kuifanya kazi kwa ufanisi..Hawa jamaa hawachimbi dhahabu wala kuchukua wanyama ni wao kupewa kibali cha kuendesha biashara nchini kwa miaka 45.Tukiangalia vizuri tunaona pande zote mbili hazikufuata utaratibu wa uwazi katika kutenda.lakini madhara ambayo yangetokana na kufaulu kupitishwa mkataba wa kundi moja dhidi ya lingine kwa uchumi wetu ni tofauti sana.
Nadhani mkataba wa miaka 45 haukubaliki kivyovyote vile. na hasa ukiwa na kipengele cha BOOT:fear:.