Naomba uwadharau kiongozi, kinachosumbua walio wengi wanaowasema vibaya wachaga ni wivu tu, hakuna kingine. They are loosersPole kaka yamgu ninachokiona sipendi kukiamini kwamba ukiwa MCHAGGA basi haki zako zote kama MTANZANIA zinakwisha,na mbaya zaidi ukawa MCHAGGA , MKATOLIKI halafu ukawa mwanachama wa CDM ndiyo hautakiwi hata kuishi ,inasikitisha labda tuwaulize wanaotunanga waCHAGGA nchi yetu ni ipi?
Hili picha la MNRT halina tofauti na lile bab kubwa la "THE LAST KING OF SCOTLAND" . Nimelipenda maana yule Sterling (Baba Rizmoko) wetu hajatikisika na anaendelea kula raha ndani ya pipa tu.Tunafanya kazi kama sinema za Holliwood...si mchezo.
Mkuu Prof. hakuwa mkurugenzi wa mapori ya akiba. Bali alikuwa mkurugenzi wa idara ya Wanyama pori (WILDLIFE DIVISION) Tanzania nzima.Hv kwani tembo wanaouawa wapo kwnye mapori ya akiba peke ake mbona wakurugenzi wa mamlaka nyngne hawaguswi ,Siasa na uhfadhi haviend
ufuska unaofanyika BILCANAS, MBOWE naye ni fuska?
Kwani waziri siyo sehemu ya serikali?Hivi inakuwaje kuajiriwa na Serikali na ufukuzwe na Waziri?
Mbona Pinda anawagwaya wateule wengine? Au wanafukuzwa wasio na Mizizi yao Magogoni?
Atimuliwe na nani? Au wewe ndio utamtimua? Hivi unaijua JMT au unaisikia tu kwenye radio.Hapo bado nyalandu mwenyewe kutimuliwa tu mtaona picha mda si mrefu
Kwani waziri siyo sehemu ya serikali?
Ebu ficha ujinga wako mburula wewe,kwani kazi ya mkurugenzi ni nini? kama waziri amejiuzulu mkurugenzi anasubiri? Chadema wengi ni mbumbumbu wa masuala ya uongozi na utawala.Hiki ni kichekesho cha mwaka, MKURUGENZI anatakiwa afanye kazi MBUGANI ya kudhibiti MAJANGILI wanaojulikana na mh.Rais
Safi sana Nyalandu
Hawa ndiyo watanzania hata uwafanyie nini bado utaonekana haujafanya kitu.
Naomba uwadharau kiongozi, kinachosumbua walio wengi wanaowasema vibaya wachaga ni wivu tu, hakuna kingine. They are loosers
kwa jinsi ninavyomjua huyu Nyalandu ni mpenda sifa sana halafu anapenda kujitukuza sana,sasa Muheshimiwa nafikiri una nafasi ya kubadilika na kusonga mbele,jaribu kubadilisha tabia zako hasa za kujikweza na kujiona maarufu,nchi hii tumeangushwa na watu kama nyie,sipendi kuweka mengi hadharani lakini huo ndio ushauri wangu!
Unachorea jibu mstari?