mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
nyalandu ni cheki bobu tu.
Hawa ndiyo watanzania hata uwafanyie nini bado utaonekana haujafanya kitu.
Hiki ni kichekesho cha mwaka, MKURUGENZI anatakiwa afanye kazi MBUGANI ya kudhibiti MAJANGILI wanaojulikana na mh.Rais
Ebu ficha ujinga wako mburula wewe,kwani kazi ya mkurugenzi ni nini? kama waziri amejiuzulu mkurugenzi anasubiri? Chadema wengi ni mbumbumbu wa masuala ya uongozi na utawala.
Hivi tusaidiane jamani, ni tangazo gani lilipaswa kuja mwanzo (what to come 1st):
Kutangaza majina ya 'majangiri' 40 na kiongozi wao aliyeko Arusha au kumfukuza mkurugenzi wa wanayamapori!!??
Rais anateua watu wengi sana mwishowe inaleta mtafaruku katika utendaji.
Waziri na mkurugenzi wote wanateuliwa na rais, waziri akitaka kumuwajibisha mkurugenzi kwa kumtimua, mkurugenzi anamwambia "I serve at the pleasure of the president, he put me here, he will be the one to take me out"
Solution.
Rais apunguziwe nafasi za watu anaowateua.
Hiyo idara inatkiwa wapewe WAMASAI wenyewe ndiyo wanatawalinda wanyama wao.
mwacheni kijana wetu nyarandu afanye kazi tuliyo mtuma,hatutataki siasa kwenye kazi.hakuna cha profesa wala mkufunzi tena.go go nyarandu
Hiki ni kichekesho cha mwaka, MKURUGENZI anatakiwa afanye kazi MBUGANI ya kudhibiti MAJANGILI wanaojulikana na mh.Rais
Naomba kuelimishwa hapa!
Katika Wizara, kuna Katibu Mkuu na Waziri wanaoteuliwa na Rais! Then kuna wakurugenzi wa idara tofauti(Directorates); hawa nao wanateuliwa na Rais? Madhalani pale Mali Asili, kuna Mkurugenzi wa wanyama pori, mkurugenzi wa sera na mipango, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa rasilimali watu, nk. Wakurugenzi wote hawa wana level sawa ki-mshahara! Sasa, si kwamba hawa huwa wanaajiriwa katika utaratibu wa kawaida? Naomba kuelimishwa hapa!!!