Nyalandu amtimua Mkurugenzi Idara ya Wanyamapori

Nyalandu amtimua Mkurugenzi Idara ya Wanyamapori

Rais yeye aliyajuaje majangili, alikwenda mbugani?

Rais kapewa majina na mkurugenzi kwa sababu majangili wenyewe ni vigogo. Mkurugenzi hana ubavu wa kuwadhibiti kwa hiyo akayasogeza mbele. Hata waziri mwenyewe hana ubavu wa kuwataja. Ikulu ndio ina uwrzo wa kuwataja na kuwadhibiti ipasavyo. Sasa ukiona kimya ujue mambo magumu.
 
Rais kapewa majina na mkurugenzi kwa sababu majangili wenyewe ni vigogo. Mkurugenzi hana ubavu wa kuwadhibiti kwa hiyo akayasogeza mbele. Hata waziri mwenyewe hana ubavu wa kuwataja. Ikulu ndio ina uwrzo wa kuwataja na kuwadhibiti ipasavyo. Sasa ukiona kimya ujue mambo magumu.

pumba tupu. uoga wake wa kutaja hivyo vigogo umemponza
 
Nihukumu kwa UPUMBAVU wangu na siyo UCHAGA wangu. By the way inaelekea hujui kinachoendelea nyuma ya pazia. Jitahidi kuwa mfatiliaji wa mambo kwa kina ndipo uhukumu watu. NIMEKUSAMEHE
busara yako naiunga mkono.upumbav wako nauona kwa aliyeutamka
 
Hakuna eneo lisilo dhibitika hata kidgo utashi madhubuti ukiwepo kwa kiongozi aliyeteuliwa alidhibit.na kwann wizara hii hawampi magufuri tupime kama jembe lake laweza lima kichuguu
 
Tunaweza kuwadharau lakini viongozi wetu ndiyo wameshindwa kabisa kukemea jambo hili.Vita vya Rwanda na Burundi vilianza kwa maneno na kubaguana kwa kuitana majina ya dharau kama mende nk.Hatutakiwi kufika huko.JK anatakiwa awaambie wanachama wake kuwa vyama vya upinzani si uadui,kwa nini isiwe kama Simba na Yanga tu?Leo ameshinda Simba kesho Yanga maisha yanaendelea.Kwa nini tubaguane?Kwa nini itumike nguvu kubwa kuhodhi madaraka?

Mbona njia mbadala ipo?Ni CCM kubadilika tu ndiyo fimbo ya kuwachapia wapinzani,wala si matusi,vurugu,vita vya maneno,utumiaji wa nguvu usiovumilika,CCM ibadilike,ikemee vitendo vya rushwa,ufisadi nk.na ionekane inakemea na watuhumiwa wapelekwe mahakamani.
Yaaaaanniii ndg yangu unawaza kuwa viongozi wa CCM wakemee ubaguzi dhidi ya Wachaga, hilo sahau kabisa!!! Walio wengi wanaCCM wanataka tutwangane ili wapate posho za usuluhishi, na kufanya ubazazi mwingine, hakuna lingine. Kuna mijitu mingi ya hovy sana hapa bongo. Ukiona mtu mzima anasimama bungeni na kuwaita WaTz wenzake magaidi, ujue kuna tatizo kubwa kichwani mwake, lakini mtu huyo huyo hasimami kuiambia dunia kuwa Tz is not a safe place to live, invest. Ilaanawaita wenzake magaidi ujue ndg yangu kuna shida kubwa sana. Wao wanafurahia tukifarakana
 
No !
Mkurugenzi wa Wanyamapori level yake ni sawa na wakurugenzi wengine wa taasisi zilizo chini ya wizara kama TAWIRI, TANAPA, Misitu na Nyuki, Utalii na Uvuvi na hawa ndiyo presidential appointees. Siku hizi walianzisha pia wakurugenzi wasaidizi ktk wizara mbalimbali nao wanateuliwa na rais pia

Kama sikosei kuna seniority kutokana na ukubwa/unyeti wa Idara na mara nyingi wa Wanyamapori ni senior. Hao wengine katika wizara wa HR, ect sio wateule wa rais

Naomba kuelimishwa hapa!
Katika Wizara, kuna Katibu Mkuu na Waziri wanaoteuliwa na Rais! Then kuna wakurugenzi wa idara tofauti(Directorates); hawa nao wanateuliwa na Rais? Madhalani pale Mali Asili, kuna Mkurugenzi wa wanyama pori, mkurugenzi wa sera na mipango, mkurugenzi wa fedha, mkurugenzi wa rasilimali watu, nk. Wakurugenzi wote hawa wana level sawa ki-mshahara! Sasa, si kwamba hawa huwa wanaajiriwa katika utaratibu wa kawaida? Naomba kuelimishwa hapa!!!
 
Back
Top Bottom