Nyalandu amtimua Mkurugenzi Idara ya Wanyamapori

Nyalandu amtimua Mkurugenzi Idara ya Wanyamapori

mkurugenzi ndio anatakiwa awajibike kulinda wanyamapori wake, hao majangiri ndio anatakiwa awajue zaidi kupita rais. we bongolala ni mwehu

Mkuu, unapoteza muda wako bure, huyo BONGOLALA kweli kweli.
 
Jangili mkuu wa wanyama pori ni bosi wa Lumumba. Mkamateni huyo, wanyama wetu watapona. Msiwatese Watanzania wengine.
 
Safi sana, hawa jamaa wanateuliwa na Rais badala ya kufanya kazi wanabaki kukuna vitambi na kujizungusha kwenye viti.
 
we uko nyuma ya keyboard unajua nini kuhusu wanyamapori? labda wewe ni mmojawapo wa majangiri kwa sababu jina lako tu linaonyesha wewe ni mroho sana wa pesa na utajiri uko tayari kuiba au kuua wanyama pori wetu ili mradi tu upate pesa

Nawewe pia ni GT, HONGERA.

Join Date : 12th January 2014
Posts : 1,633
Rep Power : 633
Likes Received172
Likes Given0
 
we uko nyuma ya keyboard unajua nini kuhusu wanyamapori? labda wewe ni mmojawapo wa majangiri kwa sababu jina lako tu linaonyesha wewe ni mroho sana wa pesa na utajiri uko tayari kuiba au kuua wanyama pori wetu ili mradi tu upate pesa

tena hakuna jina hatari la kichagga kama LYIMO.
 
Hivi inakuwaje kuajiriwa na Serikali na ufukuzwe na Waziri?

Mbona Pinda anawagwaya wateule wengine? Au wanafukuzwa wasio na Mizizi yao Magogoni?

iweje waziri mkuu ashindwe kumtimua mkurugenzi (ref. Jailo) lakini waziri wa kawaida awe na uwezo huo? Kutakuwa kuna maelezo ya ziada
 
tena hakuna jina hatari la kichagga kama LYIMO.

Kama kweli wewe ni GT, jadili hoja kwa ufasaha iliyopo kwenye kichwa cha habari hii. Acha kujadili majina ya watu, la hasha anzisha uzi wako wa kuongelea majina ya watu yanayokukera.
 
iweje waziri mkuu ashindwe kumtimua mkurugenzi (ref. Jailo) lakini waziri wa kawaida awe na uwezo huo? Kutakuwa kuna maelezo ya ziada

Pinda alishindwa kumtimua mkurugenzi au Katibu Mkuu wa Wizara.?
 
Rais yeye aliyajuaje majangili, alikwenda mbugani?

Yeye ndiye aliwateua wakafanye shughuli hiyo ya UJANGILI, kama alivyomteua huyu MKURUGENZI.



Join Date : 7th February 2014
Posts : 262
Rep Power : 402793
Likes Received34
Likes Given0
 
Waziri wa Maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu, amemtimua Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Songorwa; kwa utendaji kazi mbovu na kushindwa kudhibiti vitendo vya ujangili. Amekaa kwenye nafasi hiyo kwa muda usiozidi mwaka mmoja akiwa amechukua nafasi ya Obeid Mbangwa. Hii Wizara ni mwiba wenye sumu!

Hili suala lina utata. Bado tunakumbuka namna Waziri Anthony Diallo (mwaka 2006), alivyohangaika kumng'oa Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Severre. Mkurugenzi huyo aligoma kwa maelezo kwamba aliteuliwa na Rais na kwa sababu hiyo Waziri hana mamlaka ya kumwondoa. Katika hili ngoja tujiridhishe kama aliyeamtimua ni Nyalandu kweli au ni Rais mwenyewe.

Manyerere, sikubaliani nawe kuwa ni ugumu wa kuongoza wizara ya Maliasili na Utalii, Bali wanasiasa kuingilia kazi za utendaji wa wataalamu. Hebu jiulize, ilikuwaje Mkapa kwa miaka yake kumi aongoze wizara na mawaziri wa wili tu 1995-96, Juma Ngasongwa, Kisha 1996-2005 Zakia Megji, Katibu wa Kuu nadhani nao wawili tu Luhanjo na Mzee Odunga. Idadi ya Mawaziri wa Kikwete ni takribani sawa mawaziri walioongoza wizara hii kwa miaka 30 ya mwalimu nyeyere. Manake kikwete akitawala miaka 30 anaweza kua na mawaziri zaidi ya 20. Jiulize tatizo liko kwa nani? Kama ni ujangiri Songolwa hawezi kuumaliza kwa mwaka mmoja. Hawa wanasiasa wamevuruga hata mantiki ya kiutawala ya Kuwa na Katibu Mkuu ama Permanent Secretary. Hatuna uongozi sasa, waziri hajui mipaka yake dhidi ya katibu mkuu na katibu mkuu hajui mamlaka ya mkugurugenzi. Wakurugenzi sasa ni kama afisa tu wa kawaida. Naisikitika sana Tanzania yangu.
 
Back
Top Bottom