Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Na wewe una kinini? kinyumanyuma. Uache ushangingi mtoto wa kiume?
Unapata wapi nguvu za kubishana na Marioo?
Na wewe una kinini? kinyumanyuma. Uache ushangingi mtoto wa kiume?
JK atangaza wakamatwe haraka wanaooa na kubaka watoto wa shule,aya sasa tuone Kapuya atakamatwa..
Source;ITV
Ongeza tusi lingine lingine basi dogo,We pimbi kweli,unakurupuka tu,umeisikia hotuba yake,acha kukurupuka unatia aibu na cheti chako cha chekechea...
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,
Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.
only for my safety
Unapata wapi nguvu za kubishana na Marioo?
Slaa ni muuwaji. Na hataupata urais ht kwa. Ndumba, afie zake mbali hukowewe silaa akibahatisha urais lazima ule kitanzi.
Aya we nenda kabake mwanafuzi utajua ni secondary au primary...Kwani yule wa Kapuya ni wa msingi? I think he wa specific. He said Msingi.
Soma maelezo yake kwa ufasaha usijitoe ufahamu.slaa anaitaguta roho yakeKwan unanini ww? Maana hata ktk ulimwengu wa siasa hujulikani, anayekufuatilia nahisi anapoteza muda tu.
Du! Mshikaji mbona umekomaa hivi unakula kokoto au umekonda kwa roho mbaya na kuwinda watu?Na wewe una kinini? kinyumanyuma. Uache ushangingi mtoto wa kiume?
Kama ulikuwepo alitaja london we bhahau,hongera kwa kusafisha lami na OMO...Ongeza tusi lingine lingine basi dogo,
siyo kusikia mimi nilikuwepo kwenye hiyo shughuli karibu simiyu mimi siyo mjinga kama wewe unatembea sumu mfukoni.
This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
chadema now kama movie la ki nigeria
mara part on,mara two ,three mara four,five...haliishi...
Kwahiyo umeifungulia jalada chadema, red brigade au Dr Slaa?
Dahaaa
Nyakarungu umefanya la maana kuwahi kurepoti hujuma Dr.W.Slaa anazotaka kukufanyia sasa kazi imebakia kwa vifaranga wake kukutukana tu.
Kesi yako imeishia wapi ya kutishiwa na zito?