Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

NAWAHURUMIA SANA VIONGOZI WA CHADEMA KWANI WANAFANYA KAZI NGUMU KUPINDUKIA KWA SASA,CCM IKOMAKINI KTK KUGILIBU ""HOT SPOTS"" ZOTE MUHIMU KWA NGUVU KUBWA ZA FEDHA,JE HOTS ORGANS ZA CDM ZITAKUWA TAYARI KUKATAA "MAISHA" NA KUING'ANG'ANIA CDM?<kuna taarifa humuhumu jf huya jamaa kaonekana na mwigulu new africa hotel>
 
kuna watu wana akili nu kama kaptula ya mkoloni,ivi wewe! unadhani gharama z maisha zipo tz pekee? acheni kudanganya wu wasio na uwezo wa ufikiri,kwamba eti kwa kuchagua CDM chama cha maungu na fitna maisha yatakuwa rahsi?
antie husna na mawazo yake mgando!

HAMNA mwananchi anayekwepa gharama za maisha lkn tunakataa gharama za K I P U U Z I kama hizi zinazoletwa na CCM kwa sababu tu wamefikia kikomo chao cha kufikiri!CCM iliwahi kubinafsisha Bank ya NBC iliyokuwa inapata faida milion 310 kwa mwezi(4 billions a year as a profit) lkn wanaiachia TANESCO izidi kuwa MONOPOLY ili hali wanapata hasara ya mamilion kila mwezi!

Ungekuwa hata na basic kidogo tu ya uchumi ungeona kuwa mi CCM imefikia mwisho wa kufikiri!Kwa nn usiruhusu makampuni mengi yatengeneze na kuuza umeme TZ?Unajua advantages na disadvantages za monopoly?

Baadhi ya mi pro-CCM maskini wanatetea kila kitu na ndiyo uwezo wao wa kufikiri ulipogota!
 
Sinapata ona ogwakukaja mwenye njaa kama wewe!Maisha magumu haya tunayopewa lkn upo tayari kutusaliti sababu ya Lumunba FC Buku 7!

Isya syoni fijo naloli
We malafyale mshamba nini?
Soni zinaliwa?
Kama ulivyosema buku saba hata laga napata, wewe unalipwa nini?
Unakuwa kama wa '47 bana, wake up and be on the winning outfit.
 
Moods kwanini msiweke kipengele cha kuruhusu watu watukane? Naombba kutukana kidogo tu jamani......kiduchu tu bro.....
 
antie husna na mawazo yake mgando!

Hamna mwananchi anayekwepa gharama za maisha lkn tunakataa gharama za k i p u u z i kama hizi zinazoletwa na ccm kwa sababu tu wamefikia kikomo chao cha kufikiri!ccm iliwahi kubinafsisha bank ya nbc iliyokuwa inapata faida milion 310 kwa mwezi(4 billions a year as a profit) lkn wanaiachia tanesco izidi kuwa monopoly ili hali wanapata hasara ya mamilion kila mwezi!

Ungekuwa hata na basic kidogo tu ya uchumi ungeona kuwa mi ccm imefikia mwisho wa kufikiri!kwa nn usiruhusu makampuni mengi yatengeneze na kuuza umeme tz?unajua advantages na disadvantages za monopoly?

Baadhi ya mi pro-ccm maskini wanatetea kila kitu na ndiyo uwezo wao wa kufikiri ulipogota!

umeishiwa uwezo wa kufikiri pia? Nani anakusaidiaga kumshauri wife?
 
Hoja zako ni za hovyo hovyo tu!
Anyway miafrika ndiyo ilivyo kwa kutetea hata uharo!

unaona sasa? unafikiria kwa kutumia huko kwenye mifuko ya back? eti miafrika utazani wewe mrusi,hata huyo mwanamke ulienae labda hana wazazi...ndo maana uko nae,na siku akijitambua hana mwanaume bali mwanamke mwenzake anachpa mwendo...hahahahaaaaa
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Mbona unaruka ruka! Juzi unajifanya kupiga biti na kutoa siku mpaka tarehe 5. Leo unakuja na kuanza kulia lia!

Mtoto tulia tuwashughulikie kikamilifu. Hatuna utani dhidi ya maisha ya watanzania.
 
una miaka mingapi? Jaribu kutanzama familia yako utaifanyia nini then taifa, slaa na mbowe wamewekeza kwa muda sana ta wewe uanaharakati wako ujaanza alaf unaleta utani watakupoteza na hakuna atakaye kusaidia.

duuuh!!your true colours are shining!!

sasa nimewatambua and i was very lucky kutokiamini hiki chama jumla jumla!
 
duuuh!!your true colours are shining!!

sasa nimewatambua and i was very lucky kutokiamini hiki chama jumla jumla!
akili zako zimebanwa kama hii picha. nipishe uko nenda zako....
 

Attachments

  • ndala.jpg
    ndala.jpg
    11.8 KB · Views: 73
akili zako zimebanwa kama hii picha. nipishe uko nenda zako....

jibu na unda hoja.matusi na jazba hazikusaidii,ndo zimepelekea ukaropoka maneno nilioya bold pale na kuonyesha rangi zenu halisi!
sio wote tuko tayari kukaririshwa vitu kama kasuku!ni hicho kilinikera ccm,ni hichohicho na nyie,mlioonekana na akili na mawazo huru,mnafanya!mnawadhalilisha wachache wenye akili walio kati yenu!
 
Nyakarungu said:
BRIGEDIA NYAKARUNGU natoa wito kwa wananchi wote walioumizwa na kulia wengine kukata tamaa wafahamu sasa tunachukua hatua kwa hawa Mahafidhina na mafisi wa mistu ya Nyamandicha, Naamuru waliopenyezwa kukaimu nafasi za uongozi huko mikoani wajiondoe haraka kabla hatujawaondoa kwa nguvu ya umma ...
Brigedia anaenda kutoa ripoti polisi?!
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Safi sana kamanda.
 
quote_icon.png
By frema120
una miaka mingapi? Jaribu kutanzama familia yako utaifanyia nini then taifa, slaa na mbowe wamewekeza kwa muda sana ta wewe uanaharakati wako ujaanza alaf unaleta utani watakupoteza na hakuna atakaye kusaidia.



WAPI NIMEKOSEA
kwenye ukweli nitasimamia ukweli​
  • bila slaa kuzunguka nchi nzima 2010, chadema ya sasa isingekuwa ilipo
  • mbowe kusimama katika kiti chake kwa umakini zaidi leo chadema isingekuwa hivi
  • wamewekeza pesa, nguvu, maisha yao, akili zao, roho zao, nakila aina ya uwekezaji pamoja na watu wengine
  • (ila wao kama ma naodha, nyakurungu nikijana wa leo ajuiata nchi hii vizuri leo unakuja kupambana na watu walioanza siasa siku nyingi na wanaumri kama wa baba yako na yake.

chadema kwanza, mtu baadaye na nchi mbele.

UKINUNU NIPISHE. TUNAENDELEA KUJENGA CHAMA KIGOMA
jibu na unda hoja.matusi na jazba hazikusaidii,ndo zimepelekea ukaropoka maneno nilioya bold pale na kuonyesha rangi zenu halisi!
sio wote tuko tayari kukaririshwa vitu kama kasuku!ni hicho kilinikera ccm,ni hichohicho na nyie,mlioonekana na akili na mawazo huru,mnafanya!mnawadhalilisha wachache wenye akili walio kati yenu!
 
Walishasema CHADEMA itakufa kabla ya 2015.Hawatakoma kujaribu.'Next move' ni kuwadhuru akina Zitto et al. ili kuisingizia CHADEMA.'Watch this space'..
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Badala ya kwenda kutoa taarifa Polisi ana kama wewe mi mwanachama wa kweli kwa nini usitumie aidha channels za kichama au kutafuta audience na Dr Slaa? Halafu kwa mujibu wa uzi wako:

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Taarifa hii kakupa nani? Ni tetesi au hisia?
 
Mkuu tunaahidi tutaubadilisha uongozi tunaomba utuamini

better do it fast!mnapoteza uaminifu na imani kwa sisi ''tusiokua na upande' na tulidhani u are for real!sarakasi zenu zinakera wanaowatazama kwa mtazamo huru!
 
quote_icon.png
By frema120
una miaka mingapi? Jaribu kutanzama familia yako utaifanyia nini then taifa, slaa na mbowe wamewekeza kwa muda sana ta wewe uanaharakati wako ujaanza alaf unaleta utani watakupoteza na hakuna atakaye kusaidia.


usikimbie kivuli cha post yako mkuu!

kupotezana huku unakozungumzia ni kama kule kuliko mpata mkuu C . W?!nakubal ''uwekezaji'' wa mbowe na slaa kwa hayo yote..(japo naamini sio wao pekee wanaowekeza!,kina ''nyakarungu'' milioni nyingi tu tanzania hii wamewekeza chadema!
kinachoanza onekana kwenye hizi sarakasi mlizoanza juzi ni ''kubaguana kwa wazi'' na ''kuzibana midomo'' kwa nguvu,bila kuzingatia uhuru na utofauti wa mitazamo,hisia na mawazo ya kila ili kufikia malengo ya chama!
ni kama kuna ''wenye haki zaidid kuliko wengine'' miongoni mwenu!

sasa sisi wa msimamo wa kati ambao tulianza kuvutiwa na nyie tunaona hizi filamu na hatuishi kujiuliza maswali magumu......kwa mfano; ''hivi ni kweli kuna hoja ya ukabila na ''ukanda' nini!??''.au ''hivi ni kweli tunalazimika,na huku pia,kuamini na kutekeleza tu tunayoshushiwa bila kuyahoji!?......vitu kama hivyo mkuu,wala havihitaji jazba na ushabiki!


WAPI NIMEKOSEA
kwenye
​
 
Back
Top Bottom