Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

JK atangaza wakamatwe haraka wanaooa na kubaka watoto wa shule,aya sasa tuone Kapuya atakamatwa..
 
JK atangaza wakamatwe haraka wanaooa na kubaka watoto wa shule,aya sasa tuone Kapuya atakamatwa..
Source;ITV
 
"Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!''

Kama si kutafuta umaarufu kwa njia isiyoweza kusaidia ni ubatili na ukosefu na ukosefu wa weledi wa uongozi, kuna maana gani kutangazia umma yale uliyotolea taarifa polisi? Hii ni kukosa umakini, ni kutokuwa mwadilifu ns ni ulimbukeni, ni ukosefu wa hekima. Tabia za mtu hujulikana kwa namna anavyovaa, anavyotembea, anavyoongea na anavyokula, jamaa anadhihirisha jinsi ambavyo ni limbukeni na tegemezi wa fikra. kuna jamaa mmoja alisema kiongozi mzuri hatafuti sifa ila sifa humfusta zenyewe.
 
juu ya taarifa uliyopewa! na nani? peleka umbea huko usipotezee watu muda
 
Chadema nashindwa nikiweke kundi gani ili kiaminike kwa sasa chadema ni adui wa haki hakifai hata kutamkwa na kuwepo kwenye jamii.
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Kama umeshaenda polisi sasa hapa unataka usaidiwe nini? Huna mchango wowote ndani ya cdm we nenda kaungane na wenzako.
 
Mwe...! na mimi AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA AFRIKA Baba V nitatoa tamko kesho. hahahahaaa... ni mwendo wa kujipa cheo na kutoa tamko tu. si watasoma na kujua uwepo wangu!???
 
Last edited by a moderator:
Nyakarungu ungekuwa na akili wala usingekuwa unawasha chemli mchana
 
Back
Top Bottom