jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Wewe ni adui wa Demokrasia, acha kuropoka,kama umeamua kupambana kwa nini unaogopa kufa?
Demokrasia gani inashughulikiwa na red brigade wewe?
Wewe ni adui wa Demokrasia, acha kuropoka,kama umeamua kupambana kwa nini unaogopa kufa?
Kwa akili za Bavicha wanaweza niita zaidi ya hayo ulioandika wala hakuna shida kwangu.
Slaa ni muuwaji. Na hataupata urais ht kwa. Ndumba, afie zake mbali huko
Sasa CHADEMA watang'oana kucha sasa hivi.
Imeanza na "kuwaondoa wasaliti" , mwisho wataishia na ethnic cleansing.
This is for my life and safety....!!
Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,
Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!
Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.
Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.
Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13
Na. Grayson M. Nyakarungu
Huyu mkunga anatafuta umaalufu wa kijinga ila niwalaumu wanao coment thread ya huyu mkunga,
Nyakarungu ameingia kwenye joto anatafuta basha
CHADEMA now kama movie la ki Nigeria
mara part on,mara two ,three mara four,five...haliishi...
Viongozi wa chama chake wanaomba kutonywa mpaka kukaguliwa mahesabu na kiongozi wa PAC kisa ni Naibu katibu wa chama. Hivi hamuoni aibu?
umemuona kumbe, huyu kiumbe , yaani anakurupuka huyo ,kuna watu humu huwa nataka siku moja niwaone angalau nitaweza kuchangia vizuri JF , may be wengine ni vipofu, vilema , wehu, walevi, msongo wa mawazo , kama huyu daima anapigana na watu badala ya hojaMtu mzima kama wewe unapowaandama wanasiasa individuals daily badala ya kuandama chama chao ................. ptuuuuuuuuuuuuuuu!
Nasikia babu aliigongea like hii coment yako...You are such an asss
Nyakarungu mbona hujibu swala hili? kama ulifikia hatua ya kuwadanganya watanzania juu ya hii issue muhimu undhani ni kwa nini tukuamini kwa hili la leo?Kufuatilia habari za watu kama hizi hapa? Maana wakati anadanganya kwenye stori hii nilikua nae pale Rombo Green View Hotel ambako waandishi wa habari hii walikuja pale tukakaa siku 3 kabla ya story hii haijachongwa.Sasa aje hapa awaeleze watu kama kweli yeye ni daktari.Soma hapa Sababu ya kutokuendelea : Daktari atishiwa kuuawa - wavuti.com
Daktari aliyeandika ripoti ya mauaji yaliyotokea Tarime, atishiwa kuuawa
Daktari aliyesimamia uchunguzi wa miili ya watu wanne kati ya watano waliouawa na Polisi Mei 16, mwaka huu akiziwakilisha familia za wafiwa amedai kwamba ametumiwa ujumbe wa maandishi kwa simu kwamba atauawa.
Daktari huyo, Grayson Nyakarungu wa Mwanza alisimamia uchunguzi wa miili ya Chacha Ngoka, Emmanuel Magige, Bhoke Chawali na Mwikwabe Mwita katyika uchunguzi uliofanyika Mei 23, mwaka huu.
Alisema kwamba alipokea ujumbe wa simu mara mbili kwa nyakati tofauti Mei 26, mwaka huu akiwa safarini kuelekea Dar es Salaam uliojaa vitisho.
Alidai kwamba moja wa ujumbe huo unaosomeka, Hizo ripoti siyo za kisiasa, acha kujiingiza kichwa kichwa utajutia, Tundu Lissu ndiye anakutumia ili yeye apate umaarufu, usipokoma kwa onyo hili, tutakushughulikia, subiri mahakamani ukatoe ushahidi, usidanganywe...
Dk. Nyakarungu alisema mara baada ya kupokea ujumbe huo, alipiga simu katika namba hiyo na kupokewa na mwanamke aliyedai kuwa yuko Mwanza ambaye hakutaka kujitambulisha. Alidai kwamba mara baada ya kukata simu hiyo, alipokea ujumbe mwingine uliosema:
Hata ukitutambua utafanya nini, narudia mara ya mwisho, hizo ripoti haziwahusu wanahabari, funga domo lako.
Dk Nyakarungu alisema kwamba ametoa taarifa juu ya matukio hayo katika Kituo cha Polisi, Oystebay, Dar es Salaam na kufunguliwa jalada namba OB/RB/9214/11.
Hata hivyo, alisema licha ya vitisho hivyo hataogopa kwa kuwa alitumwa na familia na amelazimika kuwapa taarifa zote zilizojitokeza. Alisema inaelekea kuwa aliyetuma ujumbe huo amekuwa akimfuatilia kwa kuwa ametuma ujumbe huo katika namba zake mbili tofauti za simu.
Kufuatilia habari za watu kama hizi hapa? Maana wakati anadanganya kwenye stori hii nilikua nae pale Rombo Green View Hotel ambako waandishi wa habari hii walikuja pale tukakaa siku 3 kabla ya story hii haijachongwa.Sasa aje hapa awaeleze watu kama kweli yeye ni daktari.Soma hapa Sababu ya kutokuendelea : Daktari atishiwa kuuawa - wavuti.com
Daktari aliyeandika ripoti ya mauaji yaliyotokea Tarime, atishiwa kuuawa
Daktari aliyesimamia uchunguzi wa miili ya watu wanne kati ya watano waliouawa na Polisi Mei 16, mwaka huu akiziwakilisha familia za wafiwa amedai kwamba ametumiwa ujumbe wa maandishi kwa simu kwamba atauawa.
Daktari huyo, Grayson Nyakarungu wa Mwanza alisimamia uchunguzi wa miili ya Chacha Ngoka, Emmanuel Magige, Bhoke Chawali na Mwikwabe Mwita katyika uchunguzi uliofanyika Mei 23, mwaka huu.
Alisema kwamba alipokea ujumbe wa simu mara mbili kwa nyakati tofauti Mei 26, mwaka huu akiwa safarini kuelekea Dar es Salaam uliojaa vitisho.
Alidai kwamba moja wa ujumbe huo unaosomeka, Hizo ripoti siyo za kisiasa, acha kujiingiza kichwa kichwa utajutia, Tundu Lissu ndiye anakutumia ili yeye apate umaarufu, usipokoma kwa onyo hili, tutakushughulikia, subiri mahakamani ukatoe ushahidi, usidanganywe...
Dk. Nyakarungu alisema mara baada ya kupokea ujumbe huo, alipiga simu katika namba hiyo na kupokewa na mwanamke aliyedai kuwa yuko Mwanza ambaye hakutaka kujitambulisha. Alidai kwamba mara baada ya kukata simu hiyo, alipokea ujumbe mwingine uliosema:
Hata ukitutambua utafanya nini, narudia mara ya mwisho, hizo ripoti haziwahusu wanahabari, funga domo lako.
Dk Nyakarungu alisema kwamba ametoa taarifa juu ya matukio hayo katika Kituo cha Polisi, Oystebay, Dar es Salaam na kufunguliwa jalada namba OB/RB/9214/11.
Hata hivyo, alisema licha ya vitisho hivyo hataogopa kwa kuwa alitumwa na familia na amelazimika kuwapa taarifa zote zilizojitokeza. Alisema inaelekea kuwa aliyetuma ujumbe huo amekuwa akimfuatilia kwa kuwa ametuma ujumbe huo katika namba zake mbili tofauti za simu.
Ukishasikia, fungua na macho ili uoneNasikia babu aliigongea like hii coment yako...
Jiandae na nyongeza ya 68% ya umeme!Anayekwenda Jamaica kubembea au anayekwenda USA kukaa siku 17 akishinda mall kupiga misele yy sio chizi?