Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

Mmechanganyikiwa mpaka mnajionyesha jinsi gani mlivyo wajinga.
Chadema ni wananchi, tukiamua tunashughulika na nyie wapuuu-zi kwelikweli.
Hapa mlipotea
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety
Mkuu kwani wewe ni nani huko CDM au hapa TZ? hebu tufungue wengine maana naona unapiga kelele sana.
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

Wewe maisha yako ya kila siku tu ni kama adhabu, bora hata kung'olewa meno maana hilo ni zoezi la mara moja!

Atakayetaka kukudhuru anapoteza muda wake bure aache maisha yaendelee kukupiga!
 
Dr.Mo ,

Nakuambia hawa watu ni vilaza hakuna mfano.Ni comedians!

Na Moderators hakuna kuondoa au kuunganisha huu uzi.Uache hapa tuwavue nguo leo! Tutawasulubisha hapa hadi wajute

sikushangai,manake ci umeshazoeya kuwavua wazazi wako!!
 
Last edited by a moderator:
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

Humu umeripoti kwa faida ya nani? ya chama chako wewe mwenyewe au chama kingine au mtu mwingine
 
Attention seeker.....!

Hizi siasa za kishamba zitawamaliza.

Halafu unaitaja Red Brigade kama vile ni kikundi kisichokua rasmi.Hiki ni kikundi cha ulinzi na usalama wa mali na usalama wa viongozi wa chama na kipo.kikatiba.Sasa kama umefanya au kutangaza jambo ambalo linaathiri mali za chama Red Brigade ni lazima wachukue hatua

Madhara unayoweza kuleta kwa chama labda ni kushambulia ofisi na kuvunja vioo kwa mawe au magari tu ila kwa hoja huna madhara

Usijitafutie umaarufu kwa kujifanya eti Katibu Mkuu amekufuatilia kwa Red Brigade

Hizi mbinu za kishamba za mabosi wenu mtashindwa

Grow up!

We Mchaga unakiherehere kilichopituliza yaani wee na Mmachame mwenzako Lema mnaviherehere sana jistukiee arifffff
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety

Kwa hiyo umeleta ili bandiko hapa ili tukusaidieje? Umefanya vizuri kuripoti polisi. Hata mimi Mwigulu amenitishia maisha na nimetoa repoti polisi lakini sijaja kulalama hapa jamvini. Hiyo pesa chafu ya CCM naona inawatoa akili kabisa.

Tiba
 
akufate nani wewe..kwanza una nn...hebu kafie mbali uko, acha kutu potezea mda.
 
Please people nimeamua kufanya hivi kwa sababu za usalama wangu tu,

Najua kesi za wanasiasa kesho nitang'olewa meno watajitokeza na kusema ni ccm wametumia mwanya wa mgogoro uliopo ili wachafue viongozi wa cdm, sasa it is better kusema ili likitokea liwe na pa kuanzia.

only for my safety
Hakuna lolote, wewe unatafuta umaarufu wa kipumbavu. pia ni kwanini unaihusisha CHADEMA NA MATUKIO YA UNG'OAJI KUCHA KAMA VILE UNAOUSHAHIDI? SASA NIMEAMINI KUWA CHADEMA NI CHADEMA KUBWA, KILA MTU ANATAFUTA KUTOKA KWA MGONGO WA CHADEMA.
 
Kaka hakuna kucheka nao make wameonekana siyo watu wakileta ujinga waletee upumbavu kwa nini uhuru wa kuongea ukosekane wewe umetoa tamko kama anaona baya kwa nini asiende kutoa la kwake akipinge kwa hoja kuliko kukutishia maisha.

Walizoea sana kutisha watu lakini kaeni mkijua kizazi cha leo siyo cha kutisha hata kidogo lazima uwazi na ukweli kwenye vyama uwepo wala siyo nguvu tena.

Wakati Bashe na Kigwangala wanatishana kwa bastola,mbona hukusema kitu?Wacha unafiki wewe.Mambo ya chadema hayakuhusu.
 
Mbowe atazaa na wengi ! tena ulivo mkali hivi, kama avtar yako ndio halisi, kati ya mbowe au babu wata maliza biashara !

bora kuliko unavyopuywapuywa na kuachiwa Lipia Umeme Kadri Utumiwavyo!
 
@Dr w.slaa njoo huku kuna mburula na malaya wa kisiasa anatafuta umaarufu kupitia jina lako.

Mkuu wala usimsumbue Rais Mtarajiwa..

Huyu kanjanja hana hadhi ya kujibishana hata na Mkiti wa Kitongoji wa Chadema..
 
Unatafuta mwanachama teh teh teh,hakuna alie na tabia kama zako,usijetuletea kesi humu we ni chizi...

mkuu kuanzia tarehe 18 kama kawaida Machame kisha kwa mkuu kusherehekea kuwaondoa wakuja kwenye chama chetu
 
This is for my life and safety....!!

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!

Hii ni kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrasia unaofanywa na wahafidhina na watiifu wao ndani ya chama.

Tutaanza kutekeleza maazimio yetu kuanzia tarehe 03/12/2013 kwa mbinu mpya tutakayoitangaza hadharani wala hatutakoma harakati hii wala hatutaki tena kufungwa kwa mjadala kienyeji kiasi hiki.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu

.
Duh umeamua kukimbilia policeccm mwenyewe?
Huko ulikokimbilia nako ni chama cha siasa kisicho na usajili rasmi.
.
 
Mmechanganyikiwa mpaka mnajionyesha jinsi gani mlivyo wajinga.
Chadema ni wananchi, tukiamua tunashughulika na nyie wapuuu-zi kwelikweli.
Hapa mlipotea

Na kwa dozi aliyopewa hapa leo siku nyingine ajifikirie mara mbili kabla ya kuleta ujinga kama huu hapa Jamvini.
 
Back
Top Bottom