Nukuu za JK

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wana jf, naomba tuorodheshe nukuu mbali mbali kutoka kwa hotuba na mazungumzo ya rais wetu JK, nukuu hizi zitzsaidia kurejea siku zijazo, naanza na hizi chache: unaweza endeleza au kunikosoa pale nitakapo kosea.

1. Urais wangu hauna ubia.

2. Tatizo la umeme ni ukame, mimi siwezi kuilazimisha mvua inyeshe.

3. Hawa wanaopata mimba ni kiherehere chao.

4. Kama hawa watuhumiwa wa EPA wanasema fedha hizo walizitumia katika uchaguzi, watuenyeshe walizitumiaje(stakabadhi).

5......................................
Tafhadhari endleza.
 
Gama umetoa the above quotes zinaongea in volumes....

Hizo tu zinafaa kum define Raisi wetu, ku determine hali ya nchi yetu, na nafasi ya Mtanzania kwa JK.....
 
Wana jf, naomba tuorodheshe nukuu mbali mbali kutoka kwa hotuba na mazungumzo ya rais wetu JK, nukuu hizi zitzsaidia kurejea siku zijazo, naanza na hizi chache: unaweza endeleza au kunikosoa pale nitakapo kosea.

1. Urais wangu hauna ubia.

2. Tatizo la umeme ni ukame, mimi siwezi kuilazimisha mvua inyeshe.

3. Hawa wanaopata mimba ni kiherehere chao.

4. Kama hawa watuhumiwa wa EPA wanasema fedha hizo walizitumia katika uchaguzi, watuenyeshe walizitumiaje(stakabadhi).

5......................................
Tafhadhari endleza.

waacheni watoke watarudi tu, mimi ni rais wao wakipata matatizo watakimbilia wapi?
 
''
ukitaka kula na wewe uliwe'' -jk

Hii naikumbuka sana, alisema hivi..

"usipotaka kuliwa kidogo huli! sasa we unataka kula tu hutaki kuliwa? (watu aha haha haa..) jk akadakia- simaanishi hivyo...! (watu wakacheka kwa nguvu zaidi...lol) kumsikiliza gonga hapa
 
Hii naikumbuka sana, alisema hivi.."usipotaka kuliwa kidogo huli! sasa we unataka kula tu hutaki kuliwa? (watu aha haha haa..) jk akadakia- simaanishi hivyo...! (watu wakacheka kwa nguvu zaidi...lol) kumsikiliza gonga hapa
Asante kaka ! Hii kauli ina utata sana ndio maana wabunge karibu wote walicheka sana hata yeye alipogundua ameongea pumba nae akacheka sana.! Jk kweli ni zaidi tumjuavyo.
 
Hatuko tayari kuendeleya kuona wafugaji wanaendeleya mifugo mingi isiyokuwa na tija huku ng'ombe hanenepi na mwenye ng'ombe hanenepi by jk akihutubiya wananchi wa wilaya ya ngorongoro katika kata ya olbalbal 2009 wakati wa ukame ndugu zangu walijuta kwani walidhani jamaa atawasaidiya wapate maji kwa ajili ya mifugo na fidiya kwa mifugo waliokufa matokeo yake akatumiya hiyo nafasi kuwakejeli daa walitamani kuliya.
 
Back
Top Bottom