Nukuu za JK

Nukuu za JK

"Mchagueni huyu Chenge yupo safi(huku akimnyanyua mkono)"
 
"i will be alwayz smiling bt very serious on important issues".
 
"mkinichagua nitajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kigoma"
 
Muhula wake wa pili ndo huo unayoyoma, hata uwanja wa mpila haujajengwa, Kigoma mulie tu, mutaumwa na funza mapakka mkome.
"mkinichagua nitajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kigoma"
<br />
<br />
 
'Mie ndio mwajiri mkuu...... hata mkigoma miaka 8...... mshahara haungozeki ng'o'
 
"Wapo watu wanaobeza safari zangu, nawaambia hv bila safari hz watanzania wangekufa na njaa"
 
Hakuna mtoto wa maskin atakaekosa elimu kwa umaskin wake
'nataman siku moja watanzania wanikumbuke kwa KUWAFIKISHA PALE'
 
1.'nampenda sana mke wangu salma kikwete'<br />
2.'Lowasa ni mchapa kazi'<br />
3.'Kapuya ni kama Musa hassan Mgos'
 
"Wapo watu wanaobeza safari zangu, nawaambia hv bila safari hz watanzania wangekufa na njaa"
Kabla hajawa raisi wa kupewa na NEC for the second round tulikufa na njaa??? akawaeleze nduguze hii kauli..
 
mikamliza yote conclude na hii JK IS THE ONLY LAZY PRESIDENT WHO REFUSED TO THINK.....
 
Ukikubali kula ukubali na kuliwa, sijamaanisha hivyo teh teh teh teh teh
 
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Kabla ya KUANGUKA PALE JANGWANI!!!
 
Back
Top Bottom