Nukuu za JK

nchi hii inaudini
TUSAIDIANE KUPONYA MAJERAHA YA UCHAGUZI!
Matatizo haya hayatakwisha sababu na mimi niliyakuta!
 
Wana jf, naomba tuorodheshe nukuu mbali mbali kutoka kwa hotuba na mazungumzo ya rais wetu JK, nukuu hizi zitzsaidia kurejea siku zijazo, naanza na hizi chache: unaweza endeleza au kunikosoa pale nitakapo kosea.1. Urais wangu hauna ubia.2. Tatizo la umeme ni ukame, mimi siwezi kuilazimisha mvua inyeshe.3. Hawa wanaopata mimba ni kiherehere chao.4. Kama hawa watuhumiwa wa EPA wanasema fedha hizo walizitumia katika uchaguzi, watuenyeshe walizitumiaje(stakabadhi).5...................................... Tafhadhari endleza.
Tanzania kuna foleni barabarani kwa sababu wananch wana maendeleo wamenunua magari mengi!
 
Wana jf, naomba tuorodheshe nukuu mbali mbali kutoka kwa hotuba na mazungumzo ya rais wetu JK, nukuu hizi zitzsaidia kurejea siku zijazo, naanza na hizi chache: unaweza endeleza au kunikosoa pale nitakapo kosea.

1. Urais wangu hauna ubia.

2. Tatizo la umeme ni ukame, mimi siwezi kuilazimisha mvua inyeshe.

3. Hawa wanaopata mimba ni kiherehere chao.

4. Kama hawa watuhumiwa wa EPA wanasema fedha hizo walizitumia katika uchaguzi, watuenyeshe walizitumiaje(stakabadhi).

5......................................
Tafhadhari endleza.

Tanzania kuna foleni barabarani kwa sababu wananch wana maendeleo wamenunua magari mengi!
 
Mkigoma tutawaajiri watu wengine watu wako wengi wanaotafuta kazi
 
"mzee mwinyi alikaa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 sijayamalza na mingne 5 sitayamalza, hvyo basi (kicheko) matatzo hayawezi kwisha" JK
 
" Wakitishinda(wapinzani) majukwaani tutatumia nguvu ya ziada" nadhan hii ilikuwa ni siku aliyorudisha fomu za kugombea urais 2010...!
 
" Wakitushinda(wapinzani) majukwaani tutatumia nguvu ya ziada" nadhan hii ilikuwa ni siku aliyorudisha fomu za kugombea urais 2010...!
 
Wana jf, naomba tuorodheshe nukuu mbali mbali kutoka kwa hotuba na mazungumzo ya rais wetu JK, nukuu hizi zitzsaidia kurejea siku zijazo, naanza na hizi chache: unaweza endeleza au kunikosoa pale nitakapo kosea.

1. Urais wangu hauna ubia.

2. Tatizo la umeme ni ukame, mimi siwezi kuilazimisha mvua inyeshe.

3. Hawa wanaopata mimba ni kiherehere chao.

4. Kama hawa watuhumiwa wa EPA wanasema fedha hizo walizitumia katika uchaguzi, watuenyeshe walizitumiaje(stakabadhi).

5......................................
Tafhadhari endleza.

What option does JK has? No rain no electricity!!! That is not an option at all.
 
Mwandishi wa habari: Mheshimiwa rais ungependa watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya Uongozi wako?
JK:Mh..ahaa...a,yah!,"ningependa wanikumbuke kwamba niliwakuta hapa,ntawaacha hapa". Yalikuwa ni mahojiano ya moja kwa moja baina ya waandishi wa habari na mgombea urais CCM 2010,kupitia ITV.
 
Your excellencies!I can appreciate your deep memories,well done!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom