Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,158
NIMEFUNGULIA... Baada ya kurudi... PALE PALE JANGWANI...
Anaekumbuka kaul alizotoa Alipokuwa anawanadi mapacha
<br />siwafahamu dowans
<br />Mwandishi wa habari: Mheshimiwa rais ungependa watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya Uongozi wako?<br />
JK:Mh..ahaa...a,yah!,"ningependa wanikumbuke kwamba niliwakuta hapa,ntawaacha hapa". Yalikuwa ni mahojiano ya moja kwa moja baina ya waandishi wa habari na mgombea urais CCM 2010,kupitia ITV.
<br />NIMEFUNGULIA... Baada ya kurudi... PALE PALE JANGWANI...