Ntakukumbuka daima Sharobaro!

Erickb52,
Mkuu pole sana ninaweza kuhisi ni namna gani umeguswa na huu msiba kwa kuangalia tu maneno machache uloyaandika.
Pole hizi pia ziwafikie wapenzi wote wa michezo ya maigizo na miziki ya Kitanzania, bahati mbaya mimi si muumini wa hizo sekta zote mbili...
Msiache kusali maana hamjui/hatujui siku wala saa hatma za maisha yenu/yetu itakapowadia....
Wasalam....watu8
Asante sana watu8
Napokea salamu zako za pole kwa moyo mmoja!
Najua tumeguswa wengi kwa msiba huu hivyo tushirikiane kuomboleza na kumuombea!
 
Last edited by a moderator:
Dah kusema kweli hata mimi nimeumia sana.. Sharobaro ndo msanii pekee wa kibongo aliyekuwa ananipa raha nikimuona hasa kwenye matangazo,, style yake ya kuongezea na neno meeen na kujifuta futa mabega ilinipa raha sana...

To be honest amefariki mapema sana wakati nyota yake imeanza kung'aa,

Watoto wataguswa sana na msiba wako especially wamebug meeeeen...

Anaambiwa" Sharobaro tukimbie mabomu yanalipuka, anajibu ngoja nikabath meen then nivae supra meeeeen"
 
swaga zake ziliweza kuwakonga almost watu wa rika zote esp. watoto "umebug men" kujipangusa bega, kushoto, kulia. style yake ya kutembea, nywele, we shall miss him so much, RIP
Dah jeuri yan na hilo tangazo ndio linazidisha majonzi!
 
Last edited by a moderator:
Dah kusema kweli hata mimi nimeumia sana.. Sharobaro ndo msanii pekee wa kibongo aliyekuwa ananipa raha nikimuona hasa kwenye matangazo,, style yake ya kuongezea na neno meeen na kujifuta futa mabega ilinipa raha sana...

To be honest amefariki mapema sana wakati nyota yake imeanza kung'aa,

Watoto wataguswa sana na msiba wako especially wamebug meeeeen...

Anaambiwa" Sharobaro tukimbie mabomu yanalipuka, anajibu ngoja nikabath meen then nivae supra meeeeen"
MKATA KIU huyu jamaa alikuwa na style ya kipekee sana kwenye sanaa yan ametoka kipekee sana
Style yake ilikuwa inanimaliza sana na ile movie yake aliyoigiza ikadhaminiwa na serikali,USAIDS na wadhamini wengine kibao ilibamba mbaya coz hakuwa sharobaro bali kijana wa ukweli....!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Erickb52 kwa kumpoteza role model wako. Pia pole sana sana Madame B kwa kumpoteza boy friend wako wa kale na ambaye alikuja kubaki kuwa brother kwako naye akakufanya dada baada ya kushindwana. RIP SHARO MILIONEA meeen!
Asante sana Arushaone
Yan hapa nikilogoff napotea kweli hadi nione maumivu yamepungua sana!
 
Last edited by a moderator:
Dah i cant express what i feel at da moment.. Najisikia moyo kuuma kwa uchungu nilimpenda kupita kiasi seing him was a better relief whenever i felt down
 
Dear :BONGO MOVIES
From:JF CHITCHAT

Mioyo yetu ilipondeka kwa maumivu jana usiku baada ya kupata taarifa ya kifo cha ghafla cha muigizaji mpendwa sharo millionea,na kwa kweli hatuwezi kupima huzuni kuu mliyonayo sasa Bongo movie.
Tunatamani tungekuwa na maneno ya kuwafariji na kuwapoza maumivu yenu,lakini wana chitchat tunatambua hatuna neno lolote ambalo litawaondolea maumivu mliyonayo kwa sasa.mioyo yetu wana chitchat inasononeka kwa pigo mlilolipata bongo movie.
Japokuwa maneno kwa sasa yanaonekana matupu katikati ya majonzi mliyonayo hayo ndiyo tuliyonayo wanachitchat kwa ajili ya kuwapa ninyi bongo movies.tafadhali tunaomba mpokee maneno yetu haya yaliyopo katika maandishi kama kuwakumbatia kwa kuwapa pole.
Kwa majonzi makubwa
kwa niaba ya JF chitchat
Chimbuvu & Madame B
 
Last edited by a moderator:
Hellow CC
Binafsi nimeumizwa sana na huu msiba wa Sharobaro coz nilikuwa nampenda sana kuliko msanii yeyote nchini. Kwa kweli nimepoteza furaha yote..kifupi niko kwenye majonzi sana.
Naomba tujumuike kumuombea na binafsi ntakuwa kwenye maombolezo hadi baada ya mazishi.
Hivyo naomba tuonane baada ya mazishi yake!
RIP Sharobaro!

I remain
Erickb52

pole sana.......honey candy......
 
Dah i cant express what i feel at da moment.. Najisikia moyo kuuma kwa uchungu nilimpenda kupita kiasi seing him was a better relief whenever i felt down
Pole sana Arabela ndio maisha kuna kuzaliwa na kufa
 
Last edited by a moderator:
Dear :BONGO MOVIES
From:JF CHITCHAT

Mioyo yetu ilipondeka kwa maumivu jana usiku baada ya kupata taarifa ya kifo cha ghafla cha muigizaji mpendwa sharo millionea,na kwa kweli hatuwezi kupima huzuni kuu mliyonayo sasa Bongo movie.
Tunatamani tungekuwa na maneno ya kuwafariji na kuwapoza maumivu yenu,lakini wana chitchat tunatambua hatuna neno lolote ambalo litawaondolea maumivu mliyonayo kwa sasa.mioyo yetu wana chitchat inasononeka kwa pigo mlilolipata bongo movie.
Japokuwa maneno kwa sasa yanaonekana matupu katikati ya majonzi mliyonayo hayo ndiyo tuliyonayo wanachitchat kwa ajili ya kuwapa ninyi bongo movies.tafadhali tunaomba mpokee maneno yetu haya yaliyopo katika maandishi kama kuwakumbatia kwa kuwapa pole.
Kwa majonzi makubwa
kwa niaba ya JF chitchat
Chimbuvu & Madame B
Chimbuvu haya maneno yako sio matupu hata kidogo...ni maneno mazito yenye ujumbe wa kweli....chitchat imepoteza mtu muhimu sana!
RIP Sharo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom