Asante charminglady"Tutakukumbuka daima milele (sharo milionea) ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu"
pole Erickb52 na watanzania kwa ujumla!!
Najua mtasema ila ndo hvo.
:rip: my X wangu Hussein Ramadhan Mteity.
(Sitaki maswali)
ndo nani huyo?
Kwenye tangazo la Airtel na mzee majuto.
Umebug meeen....
si anaitwa juma yusuph??? nimeshangaa hilo jina ulilotaja
si anaitwa juma yusuph??? nimeshangaa hilo jina ulilotaja
Kwenye tangazo la Airtel na mzee majuto.
Umebug meeen....