Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

kama wewe umeona sio sawa umeskizwa, lakini wale wengine hususan wabunge waliyo wengi wameona ni sawa.

si ndio demokrasia hiyo, au kwa vile umeona wewe si sawa na wengine nao waone kama wewe, right?
Jambo baya Kitaifa lazima likemewe na raia wote wazalendo.Tulifundishwa kuwa Mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe Na Mvunja nchi ni mwananchi mweyewe.Kwa yale unayoyaona sawa kwa sababu yana maslah kwa chama chako na familia yako uko sahihi 100%.Lakini ukumbuke Cheo ni dhamana na Jinai haiozi hata ipite miaka mia kuna mtu atakuja kuifufua tu.
 
nashukuru sana maelezo yako yanaonyesha dhahiri shahiri unaelewa kinagaubaga mambo ya kidemokrasia, mimefurahi sana.....

hayo mawaidha nayo si mabaya, na yanafahamika bayana kwamba nafasi hizi ni za wanainchi, na kinachofanyika ni kuskiza wanainchi na kufanyia kazi maoni yao, sio kuskiza wanasiasa wanasema au wanataka nini kwa mgongo wa sauti wanainchi. ni lazima kua rada, lakini pia kua chonjo kabisa....

my friend ni kujipanga tu, politics is all about interest :spandauB:
 
Mungu akubariki sana,asante.
 
wote wapi tena 🐒

wanainchi kupitia bunge lao tukufu wamepaza sauti na kurekebisha yaliyo muhimu na kuamua iwe kama ilivyo na tunasonga mbele kwenye utekelezaji 🐒

ikiwa hukuridhika, basi hilo ni jambo binafsi tafuta namna binafsi kulitatua.
Lakini ukweli ni kwamba waTz walisharidhia tayari kupitia bunge 🐒
Mwenezi wenu anasema tume huru itaanza kazi 2025, Hilo limepitishwa na Bunge pia?
 
Back
Top Bottom