Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

ok tuambie sasa tumiliki simu zipi ambazo wewe umezikagua haziibi data.

nokia ameanza kutengeneza simu wengine hawajazaliwa humu lakini hana scandal yoyote ya kuiba data, na hivi vitu sio ngumu kuvithibitisha unless huyo malware ameekwa kwenye hardware ila upande wa software sio ngumu.

na ili mtu akuibie data inabidi atengeneze mazingira, mfano kampuni inatengeneza apps ambazo nyingi ni offline tu unategemea atakuibiaje data?

hao kina fb, google na kampuni nyengine zinazosifika kuiba data wote utaona wana force muda wote uwe online ili wapate data zako.

na Nokia ni kampuni ya Finland inatoka eneo la scandnavia hawa jamaa ni tofauti na nchi za magharibi, wao sio pure capitalist wanavyoendesha mambo yao ni tofauti na nchi kama Usa, China, Urusi na nchi nyengine kubwa. jaribu kuwasoma zaidi wamefanikiwa vipi kwenye Maisha, Elimu, Technology na serikali zao zinavyoendeshwa utajua kama Nokia ni kama google ama la
mkuu Nokia kuiba data sio lazima azitumie yeye mwenyewe anaweza kuziuza kwenye makampun kama Google, facebook etc
 
mkuu kuna m.2 na pcie nafkiri zote ni pcie ila m2 ndio kwa ajili ya vifaa vidogo kama hio laptop
hii m2
plextor-m.2-ssd_400-Wide.jpg

hii pcie
p3700.jpg

niliwahi kuziona magimeni mapipa jirani na stand ya tahmeed ila muda sana, kama mwaka umepita unaweza jaribu bahati yako kama bado zipo
M. 2 haikubali nilinunua ikabidi niiuze kwa bei ya hasara, nilipowasiliana na Xiaomi support wakaniambia hii pc inakubali PCIe ssd tu na nilipofungua ndani pale mahali pa expansion wameandika hivyo hivyo ni PCIe ssd
 
mkuu Nokia kuiba data sio lazima azitumie yeye mwenyewe anaweza kuziuza kwenye makampun kama Google, facebook etc
kama unawajua Nokia hawana good terms na hayo makampuni, na angalia Technology anazosuport Nokia siku zote zipo against hayo makampuni.

kampuni za kimarekani siku zote zinapenda kufunga vitu ili wamiliki wao standard zote, wakikufunga vitu unakuwa huna ujanja ni kutumia hivyo vitu vyao na mwisho wa siku unawakabidhi kila kilicho chako interms of data.

hebu Tuangalie Tech za Nokia agaisnt marekani na jinsi zilivyosaidia Dunia.

CDMA vs GSM
Nokia na makampuni ya ulaya kama Ericson wametuletea gsm leo tuna simu zinaingia line naweza eka line yoyote uamuzi ni wangu, lakini tech ya marekank yaani CDMA inakuforce kutumia line moja tu (haziingii line) kama vile TTCL, Sasatel na zantel wa zamani. kama motive ya Nokia ni data za watu wangekaa wangetubana tutumie tu line moja ili watuchukulie data zetu kirahisi

codec nyengine za video vs x264 na x265
kila unapodownload movie torrent, unapochomeka flash kwenye tv, unapofanya mambo mengi ya video Nokia anahusika, hizi ni codecs ambazo zinatumia technology za Nokia na hata google walienda hadi mahakamani kutaka wapewe na wao Technology kama hio waeke kwenye codecs zao za vp8 na vp9.

ingekuwa motive ya Nokia ni kupata hela kwa google angeanzia hapa kumchomoa hela na kumpa acess ya kuwa kwenye kila kifaa duniani sababu kuanzia laptop, ukija software za video (vlc, mx player etc) uje simu, njoo tv utazikuta hizi codecs.

njoo kwenye standard za Nokia ambazo ametengeneza au ameshiriki kuzi promote kuanzia MHL (kuangalia simu kwenye tv), njoo wireless charging, NFC, Bluetooth etc vyote hivi vinatumika na mtu yoyote duniani haufungwi wala nini ila wakitengeneza wao wamarekani vitu kama airplay, chromecast, kuna tetesi ya standard yao ya wireless charging, na vingine vingi ukiviangalia utaona wanakufungia wanataka utumie vifaa vyao tu bila kuingiliana. na mwengine na hapo ndio unaona wanavyotengeneza mazingira ya kukuibia data. leo hii kuna standard zaidi ya 10 zote za wifi za kudisplay kitu toka simu hadi tv au display yoyote ya wireless, hakukuwa na haja ya chromecast wala airplay wao kama members wa wifi alliance walitakiwa waimprove tu miracast lakini wanachepuka sababu wanataka data zako.

njoo kwenye sms ni Kina Nokia ndio wametengeneza standard ya sms lakini leo hii monopoly wa kimarekani utaona kila siku wanafanya attempt ya kuiua na kueka apps zao. mfano google alikuwa na app ya hangouts kwa ajili ya kureplace sms ukimtumia msg mchumba mpaka ipitie kwenye app yao, hadi mahala ambapo hutumii internet (wao hawaoni) wanaingilia ili waone.

kuna app mpya ya sms ambayo inatuma video, picha, video call na mambo kibao, hii ni standard ila haitumiki si google wala apple wala microsoft ambae ameieka kwenye os zao sababu wanajua wakieka hakuna tena biashara za kutumia whatsapp, hangouts, skype na facetime.

kuna mambo mengi sana mkuu kampuni kama Nokia, Ericson, Alcatel na waanzilishi wengine wameyaeka ila kila siku waiba data wanayabadili ili waone kila tunachofanya. angalia nature ya hizi technology nyingi ni offline na zina privacy, wangekuwa lengo ni kuiba data wangezibadili tu hasa zile standard essential technology ambazo kila simu duniani lazma iwe nazo.

na mwisho kabisa mkuu ni serikali zao, serikali za magharibi zinaforce makampuni yao kutoa data tofauti na vi nchi vidogo kama finland
 
M. 2 haikubali nilinunua ikabidi niiuze kwa bei ya hasara, nilipowasiliana na Xiaomi support wakaniambia hii pc inakubali PCIe ssd tu na nilipofungua ndani pale mahali pa expansion wameandika hivyo hivyo ni PCIe ssd
sijawahi kuziona mkuu hizo, sio kwamba m-sata ndio ilikataa?

ukiipata hio pcie ambayo sio m2 hebu nitumie pic yake na mimi niione
 
kama unawajua Nokia hawana good terms na hayo makampuni, na angalia Technology anazosuport Nokia siku zote zipo against hayo makampuni.

kampuni za kimarekani siku zote zinapenda kufunga vitu ili wamiliki wao standard zote, wakikufunga vitu unakuwa huna ujanja ni kutumia hivyo vitu vyao na mwisho wa siku unawakabidhi kila kilicho chako interms of data.

hebu Tuangalie Tech za Nokia agaisnt marekani na jinsi zilivyosaidia Dunia.

CDMA vs GSM
Nokia na makampuni ya ulaya kama Ericson wametuletea gsm leo tuna simu zinaingia line naweza eka line yoyote uamuzi ni wangu, lakini tech ya marekank yaani CDMA inakuforce kutumia line moja tu (haziingii line) kama vile TTCL, Sasatel na zantel wa zamani. kama motive ya Nokia ni data za watu wangekaa wangetubana tutumie tu line moja ili watuchukulie data zetu kirahisi

codec nyengine za video vs x264 na x265
kila unapodownload movie torrent, unapochomeka flash kwenye tv, unapofanya mambo mengi ya video Nokia anahusika, hizi ni codecs ambazo zinatumia technology za Nokia na hata google walienda hadi mahakamani kutaka wapewe na wao Technology kama hio waeke kwenye codecs zao za vp8 na vp9.

ingekuwa motive ya Nokia ni kupata hela kwa google angeanzia hapa kumchomoa hela na kumpa acess ya kuwa kwenye kila kifaa duniani sababu kuanzia laptop, ukija software za video (vlc, mx player etc) uje simu, njoo tv utazikuta hizi codecs.

njoo kwenye standard za Nokia ambazo ametengeneza au ameshiriki kuzi promote kuanzia MHL (kuangalia simu kwenye tv), njoo wireless charging, NFC, Bluetooth etc vyote hivi vinatumika na mtu yoyote duniani haufungwi wala nini ila wakitengeneza wao wamarekani vitu kama airplay, chromecast, kuna tetesi ya standard yao ya wireless charging, na vingine vingi ukiviangalia utaona wanakufungia wanataka utumie vifaa vyao tu bila kuingiliana. na mwengine na hapo ndio unaona wanavyotengeneza mazingira ya kukuibia data. leo hii kuna standard zaidi ya 10 zote za wifi za kudisplay kitu toka simu hadi tv au display yoyote ya wireless, hakukuwa na haja ya chromecast wala airplay wao kama members wa wifi alliance walitakiwa waimprove tu miracast lakini wanachepuka sababu wanataka data zako.

njoo kwenye sms ni Kina Nokia ndio wametengeneza standard ya sms lakini leo hii monopoly wa kimarekani utaona kila siku wanafanya attempt ya kuiua na kueka apps zao. mfano google alikuwa na app ya hangouts kwa ajili ya kureplace sms ukimtumia msg mchumba mpaka ipitie kwenye app yao, hadi mahala ambapo hutumii internet (wao hawaoni) wanaingilia ili waone.

kuna app mpya ya sms ambayo inatuma video, picha, video call na mambo kibao, hii ni standard ila haitumiki si google wala apple wala microsoft ambae ameieka kwenye os zao sababu wanajua wakieka hakuna tena biashara za kutumia whatsapp, hangouts, skype na facetime.

kuna mambo mengi sana mkuu kampuni kama Nokia, Ericson, Alcatel na waanzilishi wengine wameyaeka ila kila siku waiba data wanayabadili ili waone kila tunachofanya. angalia nature ya hizi technology nyingi ni offline na zina privacy, wangekuwa lengo ni kuiba data wangezibadili tu hasa zile standard essential technology ambazo kila simu duniani lazma iwe nazo.

na mwisho kabisa mkuu ni serikali zao, serikali za magharibi zinaforce makampuni yao kutoa data tofauti na vi nchi vidogo kama finland
Sema App hiyo hujasema ni App gani
 
kuna Nokia E1 imeleak itakufaa nafkiri bei yake itakuwa around 300k au chini ya hapo
-kioo kitakuwa 720p badala ya 1080p
-snapdragon 425 badala ya 430
-16gb storage badala ya 64gb
-2gb ram badala ya 64gb
unaposema ime'leak unamanisha nini!
 
unaposema ime'leak unamanisha nini!
namaanisha simu inaonekana internet kabla ya mtengeneza simu mwenyewe hajaitangaza.

mara nyingi wafanyakazi wa kiwanda ambacho simu inatengenezwa ndio wanazipiga picha na kuzieka internet.

kuna wakati leak zinaweza kuwa sahihi na wakati mwengine zinadanganya tu
 
kama unawajua Nokia hawana good terms na hayo makampuni, na angalia Technology anazosuport Nokia siku zote zipo against hayo makampuni.

kampuni za kimarekani siku zote zinapenda kufunga vitu ili wamiliki wao standard zote, wakikufunga vitu unakuwa huna ujanja ni kutumia hivyo vitu vyao na mwisho wa siku unawakabidhi kila kilicho chako interms of data.

hebu Tuangalie Tech za Nokia agaisnt marekani na jinsi zilivyosaidia Dunia.

CDMA vs GSM
Nokia na makampuni ya ulaya kama Ericson wametuletea gsm leo tuna simu zinaingia line naweza eka line yoyote uamuzi ni wangu, lakini tech ya marekank yaani CDMA inakuforce kutumia line moja tu (haziingii line) kama vile TTCL, Sasatel na zantel wa zamani. kama motive ya Nokia ni data za watu wangekaa wangetubana tutumie tu line moja ili watuchukulie data zetu kirahisi

codec nyengine za video vs x264 na x265
kila unapodownload movie torrent, unapochomeka flash kwenye tv, unapofanya mambo mengi ya video Nokia anahusika, hizi ni codecs ambazo zinatumia technology za Nokia na hata google walienda hadi mahakamani kutaka wapewe na wao Technology kama hio waeke kwenye codecs zao za vp8 na vp9.

ingekuwa motive ya Nokia ni kupata hela kwa google angeanzia hapa kumchomoa hela na kumpa acess ya kuwa kwenye kila kifaa duniani sababu kuanzia laptop, ukija software za video (vlc, mx player etc) uje simu, njoo tv utazikuta hizi codecs.

njoo kwenye standard za Nokia ambazo ametengeneza au ameshiriki kuzi promote kuanzia MHL (kuangalia simu kwenye tv), njoo wireless charging, NFC, Bluetooth etc vyote hivi vinatumika na mtu yoyote duniani haufungwi wala nini ila wakitengeneza wao wamarekani vitu kama airplay, chromecast, kuna tetesi ya standard yao ya wireless charging, na vingine vingi ukiviangalia utaona wanakufungia wanataka utumie vifaa vyao tu bila kuingiliana. na mwengine na hapo ndio unaona wanavyotengeneza mazingira ya kukuibia data. leo hii kuna standard zaidi ya 10 zote za wifi za kudisplay kitu toka simu hadi tv au display yoyote ya wireless, hakukuwa na haja ya chromecast wala airplay wao kama members wa wifi alliance walitakiwa waimprove tu miracast lakini wanachepuka sababu wanataka data zako.

njoo kwenye sms ni Kina Nokia ndio wametengeneza standard ya sms lakini leo hii monopoly wa kimarekani utaona kila siku wanafanya attempt ya kuiua na kueka apps zao. mfano google alikuwa na app ya hangouts kwa ajili ya kureplace sms ukimtumia msg mchumba mpaka ipitie kwenye app yao, hadi mahala ambapo hutumii internet (wao hawaoni) wanaingilia ili waone.

kuna app mpya ya sms ambayo inatuma video, picha, video call na mambo kibao, hii ni standard ila haitumiki si google wala apple wala microsoft ambae ameieka kwenye os zao sababu wanajua wakieka hakuna tena biashara za kutumia whatsapp, hangouts, skype na facetime.

kuna mambo mengi sana mkuu kampuni kama Nokia, Ericson, Alcatel na waanzilishi wengine wameyaeka ila kila siku waiba data wanayabadili ili waone kila tunachofanya. angalia nature ya hizi technology nyingi ni offline na zina privacy, wangekuwa lengo ni kuiba data wangezibadili tu hasa zile standard essential technology ambazo kila simu duniani lazma iwe nazo.

na mwisho kabisa mkuu ni serikali zao, serikali za magharibi zinaforce makampuni yao kutoa data tofauti na vi nchi vidogo kama finland
mkuu hapo kwenye text apps naomba tusiwabeze hao unaowaita wamarekani hizi teknolojia za kuleta whatsapp, skype nk ni kurahisisha mawasiliano zaid hivi unakumbuka kile kipindi cha symbian phones ambapo labda wewe unatumia nokia ya toch afu mimi niwe natumia sony erickson endapo ukinitumia msg ukaweka na vi emojis (vimidori) mimi kwangu huku vilikuwa havitokei vikitokea basi vinakuwa ni question mark

afu mfumo wa zamani wa kutumiana msg ulikuwa haukubali ku attach large files eg.. videos, voice notes hata video calling haikuwezekana
 
kama huielewi Rich communication service utasema hivyo ila ukiielewa utaelewa kwanini nimesema hivyo, isome zaidi wikipedia link ya juu nilioeka ila kwa kifupi ina feature hizi

- 1 on 1 chat
-group chat
-uwezo wa kutuma mafile kama picha video na documents
-video call
-audio chat
-voip
-blacklist

standard zimeekwa toka 2007 enzi hizo kuna app gani inafanya mambo hayo?

almsot feature zote za kina whatsapp zipo kwenye RCS lakini hadi leo si mitandao ya simu wala makampuni ya simu wanaijali sababu inaingiliana interest na wao.

kama utakumbuka zamani mkuu ukiwa na symbian kuna kitu kinaitwa native video call ambapo mnawasiliana na video call bila hata internet unatumia tu dakika zako za kifurushi, lakini leo hii ni simu ngapi za kisasa zina native video call? wote wametoa wanakuforce utumie app zao. kama wangekuwa fair si atleast wangeacha ili mtumiaji wa kawaida achague mwenyewe?

mkuu unafahamu kama port ya earphone inapitisha pia video? lakini makusudi wameidisable na pia hawaeki tena hdmi kwenye simu, wanataka ununue adapter zao za malaki ya hela na utumie technology ambazo watakuona ukienda online
 
Bora warudi tu maana Tecno na wengine hawa za promotion ukinunua baada ya two months utakia,zinazima na kujiwasha,mara screen inastack,mara unaona sms lakini ukiingia inbox huzikuti,
Nokia connecting people!
Uzushi haujengi. Toa hoja technical
 
kama huielewi Rich communication service utasema hivyo ila ukiielewa utaelewa kwanini nimesema hivyo, isome zaidi wikipedia link ya juu nilioeka ila kwa kifupi ina feature hizi

- 1 on 1 chat
-group chat
-uwezo wa kutuma mafile kama picha video na documents
-video call
-audio chat
-voip
-blacklist

standard zimeekwa toka 2007 enzi hizo kuna app gani inafanya mambo hayo?

almsot feature zote za kina whatsapp zipo kwenye RCS lakini hadi leo si mitandao ya simu wala makampuni ya simu wanaijali sababu inaingiliana interest na wao.

kama utakumbuka zamani mkuu ukiwa na symbian kuna kitu kinaitwa native video call ambapo mnawasiliana na video call bila hata internet unatumia tu dakika zako za kifurushi, lakini leo hii ni simu ngapi za kisasa zina native video call? wote wametoa wanakuforce utumie app zao. kama wangekuwa fair si atleast wangeacha ili mtumiaji wa kawaida achague mwenyewe?

mkuu unafahamu kama port ya earphone inapitisha pia video? lakini makusudi wameidisable na pia hawaeki tena hdmi kwenye simu, wanataka ununue adapter zao za malaki ya hela na utumie technology ambazo watakuona ukienda online
umenikumbusha native video call nilikiwa naipenda sana voda ilikuwa ina support hii kitu nikiwa na nokia N72.
Siku hizi sioni hiyo option kwenye simu.
 
ok tuambie sasa tumiliki simu zipi ambazo wewe umezikagua haziibi data.

nokia ameanza kutengeneza simu wengine hawajazaliwa humu lakini hana scandal yoyote ya kuiba data, na hivi vitu sio ngumu kuvithibitisha unless huyo malware ameekwa kwenye hardware ila upande wa software sio ngumu.

na ili mtu akuibie data inabidi atengeneze mazingira, mfano kampuni inatengeneza apps ambazo nyingi ni offline tu unategemea atakuibiaje data?

hao kina fb, google na kampuni nyengine zinazosifika kuiba data wote utaona wana force muda wote uwe online ili wapate data zako.

na Nokia ni kampuni ya Finland inatoka eneo la scandnavia hawa jamaa ni tofauti na nchi za magharibi, wao sio pure capitalist wanavyoendesha mambo yao ni tofauti na nchi kama Usa, China, Urusi na nchi nyengine kubwa. jaribu kuwasoma zaidi wamefanikiwa vipi kwenye Maisha, Elimu, Technology na serikali zao zinavyoendeshwa utajua kama Nokia ni kama google ama la

Chief akili yako imeganda kwenye skendo na historia.
Endelea kuishi hivyo kuliko kuwaambia Watanzania afu badae waje waskie kinachofanyika.
Mimi siiamin kampuni yeyote kwenye maswala ya data privacy.

Wewe unaeamini Nokia kumbe unaamini skendo, bado ni jambo la kusikitisha
 
mimi nimepresent ninachojua wewe umepresent nini zaidi ya fikra zako?

mtu ananitengenezea kitu offline naweza kirun kwenye simu au pc hata miaka 40 bila kuwa online na mwengine anaforce kitu hicho kiwe online hata kama hakuna haja ya hicho kitu kuwa online unataka nisiwaamini wote?

natumia hapa here maps total offline ina kama miezi 6 haijui internet nina firewall na app zinazokamata packet hakuna kinachoingia na kutoka bila kukijua nikitaka, hizi sio scandal ni total fact hata wewe au mtu yoyote humu anaweza kudownload na kutest, kwanini nisimuamini mtu alietengeneza hiki kitu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom