Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,515
- Thread starter
- #81
chukulia mfano wa magari, gari likiwa na tank kubwa la mafuta ndio linaenda umbali mrefu kabla mafuta hayajaisha?mhh najifunza kitu hapa ina maana ukubwa wa mah sio kigezo pekee cha ukubwa wa battery?
kuna magari vitank vyake vidogo tu kama vile vitz lakini hayali sana mafuta ila kuna magari kama land cruiser yana matank makubwa lakini mafuta yanaenda upesi upesi.