JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Kinachokuchanganya ni 16MP?64gb kwa 16mp ni nomaaaaaaaaa
Kinachokuchanganya ni 16MP?64gb kwa 16mp ni nomaaaaaaaaa
For SureOnce you go apple you never turn back!
Once you go apple you never turn back!

3000mAh inatosha kabisa kwa Snapdragon 430, maana hapo imetangazwa tu, nadhani HMD watakua kazini kufanya software optimization.3000mAh....?? Hapo ndo wamezingua
Microsoft simu zake zinaitwa microsoft Lumia.Jina Nokia kabaki nalo Nokia mwenyewe.Wametumia android 7, hapa tz ndo simu mpya mpya wanaanza kutumia android 6
Wameachana na os ya Microsoft au bill ameamua kufuata soko na sio soko limfuate
kuna Nokia E1 imeleak itakufaa nafkiri bei yake itakuwa around 300k au chini ya hapongoja zinunuliwe nunuliwe ikifika walau 350k ndo nitanunua
Pole mjukuu wangu Baki kimya tu kama Mimi babu yako mwenye ki HuaweiSijui nicoment nini hapa na ka tecno y 3 kangu

Usipagawe na MAh mkuu...unaeza shangaa endurance rating mbovu kwa hiyo 3000 ,subiria testing utapata jibu3000mAh....?? Hapo ndo wamezingua
Nokia kwenye batteries wapo vizuri mno uliza kuhusu nokia lumia 1520 ilikuwa na mAh 2500 lakini ilikuwa simu bora yenye kukaa na chaji3000mAh....?? Hapo ndo wamezingua
Lumia 1520 Ina 3400 mAh mkuu na endurance rating 107hrsNokia kwenye batteries wapo vizuri mno uliza kuhusu nokia lumia 1520 ilikuwa na mAh 2500 lakini ilikuwa simu bora yenye kukaa na chaji