Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Wametumia android 7, hapa tz ndo simu mpya mpya wanaanza kutumia android 6
Wameachana na os ya Microsoft au bill ameamua kufuata soko na sio soko limfuate
Mkuu mbona zipo kitambotu!
IMG_20200319_234211.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni manufacturing process ikiwa ndogo ndio jinsi inavyokuwa nzuri sasa hivi kuna 7nm na inayokuja ni 5nm.

28nm ni ya kizamani kidogo haikai sana na charge.
Nina vi nokia viwili

Moja yeye specs hizo ni nokia 2.1 naona kama inakaa sana na chaji kioo kuwaka nonstop kwa kwa masaa kadhaa data on kuperuzi tu ,download nk inakula average ya 7.1% per hour ikizidi sana 8% per hour and i wonder ni 28nm
 
Nina vi nokia viwili

Moja yeye specs hizo ni nokia 2.1 naona kama inakaa sana na chaji kioo kuwaka nonstop kwa kwa masaa kadhaa data on kuperuzi tu ,download nk inakula average ya 7.1% per hour ikizidi sana 8% per hour and i wonder ni 28nm
Manufacturing process pekee si kigezo vipo vyengine kama
1. Ukubwa wa battery, Nokia 2.1 ina 4000mah ambalo ni kubwa
2. Resolution ya kioo, nokia 2.1 kioo chake ni 720p ambacho hakili chaji sana compare na 1080p au 1440p.

Ingekuwa inatumia soc ya kisasa ingekaa na chaji zaidi ya hivyo.
 
Nokia nayo poa tu
Simu yangu ya kwanza ilikuwa nokia 2100 miaka ya 2005

From there nimekuwa nikitumia tu nokia mpaka sasa tuko kwenye android ..its nokia 7.2 yenye battery yenye 4000mah sio stock maana stock haina 4000mah

..kuna ka oppo ma infinix ma xiaomi mazuri tu ma battery ya laana pia 4000 to 5000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote mliocomment hapo juu mlikuwa hamjui future
Nokia sasahivi anatoa simu za ovyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom