Wewe umeona hizo tu, mbona husemi kuhusu matoleo mengine ya Nokia, yashawahi kupata hizo hitirafu!?mnakumbuka mwaka 2014 wakati iphone6 ikizinduliwa, watu walikesha wakiisubiri,lakini baadaye iphone 6 ikaanza kupinda, hivyo hivyo samsung note7 walininunua sana lakini ikawalipukia mifukoni, watu wanatamani wawe no1 kumiliki hili toleo la nokia
Ah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Ina uzito wa robo kilo
Android ndo mpango mzima kwa watundu ila kwa wazee watulivu bakini hukohuko ios na windowsAndroid daaaaaaaah afadhari wangekuja kivingine kidogo na OS yao tofauti na huu uchafu android.
wale wa flagship utakuja WAHEED SUDAY kuna leaks za flagship ya Nokia hapa
seems kulikuwa na nokia 8 ces kwenye banda la qualcomm kuna jamaa amechukua video
-5.7 quad hd
-super amoled display
-24mp camera yenye OIS na EIS (optical image stabilization na electrical image stabilization) angalia video kuona isivyoathirika na mtikisiko
-nokia logo inayowaka (vita vya matunda vitaanza)
-speaker mbili za mbele
-64 na 128gb storage na 4gb na 6gb ram pamoja na sd card hadi 256gb
-snapdragon 835 au 821
Vipi hadi PCIe ssd wanazo maana naihitaji sanaKuna duka kariakoo wanauza ya 128GB kwa 180k
Walibugi sana kuua Symbian na Maemo, hapa ndo Nokia alikuwa kitofauti, hizi OS zisingeuliwa tungekuwa tunazungumzia mambo mengine kabisa labda Android na iOS ndo wangekuwa wanafukuziaAndroid daaaaaaaah afadhari wangekuja kivingine kidogo na OS yao tofauti na huu uchafu android.
Yap! Zipo mkuuVipi hadi PCIe ssd wanazo maana naihitaji sana
Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.
Nokia 6 Specifications:
- 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
- 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
- Qualcomm Snapdragon 430
- 4GB RAM
- 64GB internal + MicroSD
- 16MP back and 8MP front camera
- 3000mAh
- Dolby Atmos
- 6000-series aluminum unibody
- Android 7.0 Nougat
bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Zinakwenda kwa bei gani nataka kuanzia 128GB au 256GBYap! Zipo mkuu
Mkuu,niliyoiona ina 32GB ila waweza nunua kisha ukaiupdate maana SSD zinauzwa hapohapo,Duka lipo mtaa wa Uhuru kama unaenda mnazi mmoja upande wa kulia,ila sijalikalili jina la DukaZinakwenda kwa bei gani nataka kuanzia 128GB au 256GB
Nataka kuupgrade maana pc yangu inatumia ssd ya 128GB na ina expansion slot moja na kuweka 32GB itakuwa haina maana!Mkuu,niliyoiona ina 32GB ila waweza nunua kisha ukaiupdate maana SSD zinauzwa hapohapo,Duka lipo mtaa wa Uhuru kama unaenda mnazi mmoja upande wa kulia,ila sijalikalili jina la Duka
Vpi tz bado haijaingia sokon?Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.
Nokia 6 Specifications:
- 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
- 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
- Qualcomm Snapdragon 430
- 4GB RAM
- 64GB internal + MicroSD
- 16MP back and 8MP front camera
- 3000mAh
- Dolby Atmos
- 6000-series aluminum unibody
- Android 7.0 Nougat
bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Mkuu,nina maswali machache ya nje ya mada, nina LG G3 (lgls990) hii simu nimeigoogle nimekuta ni toleo la Sprint mitandao ya huko Ulaya, na Band zake za 4G LTE ni 850, 1900 na 2500around 540,000 ila ni simu ya china tu, simu zetu zitatoka tarehe 26 mwezi wa pili, nafkiri midcom wataendelea kuwa reseller wetu hapa bongo
ila kama unaitaka unaweza inunua online
1. huwezi flash na kueka international rom ila kama unapenda kuchezea simu unaweza ukaflash custom rom kama cyanogenmod ikaifanya iwe fresh bila limitation.Mkuu,nina maswali machache ya nje ya mada, nina LG G3 (lgls990) hii simu nimeigoogle nimekuta ni toleo la Sprint mitandao ya huko Ulaya, na Band zake za 4G LTE ni 850, 1900 na 2500
Swali la kwanza; ni mtandao gani wa simu hapa bongo unaotumia band hizo?
Swali la pili; inatatizo la kustuck, mf.unataka kuswipe down ili uone notification au uwashe data inagoma, au mda mwingine touch inagoma kufanya kazi kabisa mpaka itakapoamua yenyewe au utoe battery kisha uiwashe, tatizo laweza kuwa nini ni software au hardware?
Swali la tatu; nataka kuiflash kwa kuweka stock firmware ya international D855 itaweza support 4G na kutatua tatizo la kustuck? Chief-Mkwawa naomba unijibu hayo maswali matatu hapo juu maana hali tete
ni desktop?Nataka kuupgrade maana pc yangu inatumia ssd ya 128GB na ina expansion slot moja na kuweka 32GB itakuwa haina maana!