Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nimerudi tena @Chief-Mkwawa me napenda kufahamu naweza kupata wapi laptop yalaki tano hapa mjini au duka gani naweza nikaenda nikapata laptop kiasi cha hiyo pesa nilio sema hapo mkuu samahani kwa usumbufu
labda used, laptop mpya ya laki 5 inakuwa na atom (braswell) ambazo cpu zake ni dhaifu sana hata simu ina afadhali.
 
Sisi Tunasafirisha mizigo/ bidhaa kutoka Zanzibar, kwenda mikoa yote Tanzania, Na kuhusu laptop zipo hadi za laki 3, niwewe tu
 
labda used, laptop mpya ya laki 5 inakuwa na atom (braswell) ambazo cpu zake ni dhaifu sana hata simu ina afadhali.
kwaio naweza kupata laptop ya laki tano ila used maduka gani sasa hapo mkuu au naweza kupata laptop ya kiasi gani kwa kazi za kawaida tu hizi
 
i3/i5/i7 ya generation za kisasa atleast 4th gen itakufaa.

maduka yapo mengi mitaa ya uhuru, likoma, na site za online kama kupatana na jumia
 
POA NIME KUSOMA KIINGINE NILIKUWA NAOMBA NIWE NA KOPI POST ZAKO NAKUWEKA KWENYE WEBSITE YETU MIMI NI NA WASHIKAJI ZANGU AMBAYO BADO HAJAANZA KUFANYA KAZI KWA SASA TUPO KWENYE MAANDALIZI YA KUJAZA VITU MBALI MBALI WEWE NI MMOJA YA WATU WENYE POST NZURI NAZAKUVUTIA SASA NILIKUWA NAOMBA MIMI KAMA MIMI NIWE NACHKUA BAADHI YA MADINI YAKO NAKUWEKA KWENYE MTANDAO WETU NA KIINGINE SIO MBAYA UKANIPA PIA SITE MBALI MBALI ZINAZO HUSU MAMBO YA SIMU NA KOMPYUTA KAMA INAWEZAKANA NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO
 
Ile iliyo leak specs zake ziko juu, maana inaingia kwenye ushindani na vitu vikali kama s8, iphone 8, htc11, mi 6 mix
Ila kwa laki5 hii itawafaa watumiaji wengi wa kawaida
Kwani kuna watumiaji wa aina ngap mkuu?
 
Kwani kuna watumiaji wa aina ngap mkuu?
Sijajua huwa kuna watumiaji wa aina ngapi kiujumla wake, ila mimi huwa ninaweka katika makundi yafuatayo
1. Kundi la chini, hawa hawajali specs wao ikishakua smartphone basi hiyo inafaa kutumika, wengi wao ni wale ambao hawamudu simu zenye gharama sana
2. Kundi la kawaida, hawa wanajali na kujua ubora kwa kuangalia specs hivo mara zote hulinganisha anachouziwa na specs
3. Kundi la juu, hawa hawajali specs wala gharama, wanaangalia nini kina trend zaidi.
 
POA NIME KUSOMA KIINGINE NILIKUWA NAOMBA NIWE NA KOPI POST ZAKO NAKUWEKA KWENYE WEBSITE YETU MIMI NI NA WASHIKAJI ZANGU AMBAYO BADO HAJAANZA KUFANYA KAZI KWA SASA TUPO KWENYE MAANDALIZI YA KUJAZA VITU MBALI MBALI WEWE NI MMOJA YA WATU WENYE POST NZURI NAZAKUVUTIA SASA NILIKUWA NAOMBA MIMI KAMA MIMI NIWE NACHKUA BAADHI YA MADINI YAKO NAKUWEKA KWENYE MTANDAO WETU NA KIINGINE SIO MBAYA UKANIPA PIA SITE MBALI MBALI ZINAZO HUSU MAMBO YA SIMU NA KOMPYUTA KAMA INAWEZAKANA NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO
Sawa unaweza kucopy,

Google hizi site
Computer- liliputing, anandtech, tomshardware, pcworld, laptopmag, netbookcheck, linustechtip, overclockers etc

Simu- gsmarena, pocketnow, phonearena, engadget, theverge, windowscentral, crackberry, android authority, android central, techcrunch, etc
 
The beast is back maana mzigo upo full kila idara ebhna ziiifika bongo chief fanya kuzitafta utuuzie mikoani maana sina tatzo na ww kabisa nakuamini sana
 
wakuu samahanini sana nina swali lakini liko nje ya mada so naomba kusaidiwa kama hamtajali

Nina galaxy s3 nikichomeka charge inaonyesha kialama cha kuingia charge lakini asilimia hazipandi badala yake zinashuka kama vile haijachomekwa charge na nikichomeka charge ikiwa nimeizima inatokea battery kama vile inataka kuonyesha inaingia halafu inazima mazima ..

Ufumbuzi wa hili tatizo unaweza kua ni nini???

N:B Tatizo hili halikuepo kabla na nimejaribu kubadilisha battery lakini hamna kilichobadilika
 
Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.

Nokia-6_6.png

Nokia 6 Specifications:

  • 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
  • 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
  • Qualcomm Snapdragon 430
  • 4GB RAM
  • 64GB internal + MicroSD
  • 16MP back and 8MP front camera
  • 3000mAh
  • Dolby Atmos
  • 6000-series aluminum unibody
  • Android 7.0 Nougat
Nokia-6.jpg

bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Hii simu imekuwa around watu tushaona review zake and most reviewers say its crap but thsts what you get for the pricr
 
na mi nimeangalia review nyingi ni best kwenye class yake, review gani imeonyesha ni crap?

-build quality yake wengi wameisifia
-camera yake almost inamatch flagship kama iphone 7 na mate 9 na ikizipita flagship kama oneplus
-dolby atmos inakimbiza kwa bei hio hasa vile inapatikana kwenye flagship tu

naomba link please
 
wakuu samahanini sana nina swali lakini liko nje ya mada so naomba kusaidiwa kama hamtajali

Nina galaxy s3 nikichomeka charge inaonyesha kialama cha kuingia charge lakini asilimia hazipandi badala yake zinashuka kama vile haijachomekwa charge na nikichomeka charge ikiwa nimeizima inatokea battery kama vile inataka kuonyesha inaingia halafu inazima mazima ..

Ufumbuzi wa hili tatizo unaweza kua ni nini???

N:B Tatizo hili halikuepo kabla na nimejaribu kubadilisha battery lakini hamna kilichobadilika
chaja mkuu tafuta chaja yenye 5 volts na 2A itajaza vizuri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom