Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,708
- 39,789
- Thread starter
- #201
hapana mkuu, simu bado sana kwa computer,Hizo specs ,,zaidi ya computer
mfano hii Nokia 6 ram yake ni 4gb ila lisikudanganye hilo neno kwani ipo hivi
-ni 850mhz ndio clock speed yake, wakati pc now zina 2000 hadi 3000mhz hivyo unaona gap lilivyo kubwa
-ni single chanell wakati pc za kawaida ni dual chanell na za professional ni quad chanell
-ni ddr3 wakati pc now ni ddr4
same ukija kwenye storage haiwezi shindana na sdd, cpu haifikii hata laptop ya bei sawa na simu