No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

a1c7255f-d51f-4c7e-9ef6-87ac3b2c067b.jpeg
 
mnatiki nini wakati Kailima na Mapuri mnao kule Tume ya kisanii mnapoteza hela za walalahoi tu, bora mngenunua ARV za kutosha maana Trump kashasema wagonjwa wa ngoma mjifie tu hakuna dawa za kuwapa wapumbavu. SHAME
 
Mnatiki na nani wakati ushaambiwa no reforms, no election? Mmezidiwa kibango chenu
 
Habari za jumapili;

Kuna mgongano wa makundi mawili;

Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?

Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.

Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.

Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.

Haya twende Kazi
FB_IMG_1749454786614.jpg
 
Hao wa "tutatiki" hawawezi kutiki bali watatikisha watu kama walivyofanya 2019, 2020 na 2024 na kujishindisha wenyewe..

CCM na serikali yao iliyojiweka kimabavu madarakani are very stupid. They deserve zero respect

#NoReformsNoElection
 
Back
Top Bottom