Una wasiwasi na afya ya akili yake?Ushawahi fikiria kupata msaada zaidi?
View attachment 3363155 ?
Wewe ni mbu mjane.chadema hawana akili
si unaona kumbe kwelWewe ni mbu mjane.
Unataka ulazwe wadi namba ngapi hapo Milembe?si unaona kumbe kwel
Hahahahahaha 🤣 🤣 😂, kwamba ukiandika "no reforms no election " kutatokea nini?Ukosefu wa elimu ni chanzo cha kua na jamii yenye watu wa kisengelema
Kwa akili ya kawaida unashindwaje kufahamu kuhusu nini maana ya slogan je ""no reform no election" inareflect nini nchini
Mpiga kelele wa mtandaoni tuliaaaaaaaaaaa😛.Kama haina faida kwanini unawashwa?
Aliyekupa hili tusi nani?😆😆😆😆😆.Wewe ni mbu mjane.
Sawa nchi imekombolewa.Inasaidia kuikomboa nchi
Shetani msaliti.Aliyekupa hili tusi nani?😆😆😆😆😆.
NRNE haina faida yoyote Kama hujui kinachoendelea Tanzania.Leo nawasalimia , habari zenu?
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu. Je, hiyo slogan ina faida gani?
Yetu macho.Kwa mujibu cha Chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndiyo waanzilishi,wanadai kukiwepo Mabadiliko ya Sheria za uchaguzi pamoja na katiba.wapo tayari kufanya uchaguzi kwasababu uchaguzi utakuwa huru na wa haki
Leo nawasalimia , habari zenu?
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu. Je, hiyo slogan ina faida gani?
Vipi leo hujapaa kwa ungo?
Kwahiyo unadhani hayo maneno yatabadilisha kitu?😆😆😆😆.NRNE haina faida yoyote Kama hujui kinachoendelea Tanzania.
Hayabadili kitu mkuu isipokuwa ya affects kubwa tu kwa international relations ila ndani ya Tanzania NI mambo ya kawaida.Kwahiyo unadhani hayo maneno yatabadilisha kitu?😆😆😆😆.