No aRa no iEiHabari za jumapili;
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.
Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.
Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.
Haya twende Kazi
Chadema chama cha wachaga na wachaga wengi wezi na wabinafsi refer TRA walivyojazana, tukiwapa hawa tutajuta,
Oktoba Tunatiki✅✅
Habari za jumapili;
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.
Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.
Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.
Haya twende Kazi
Hapo chuma imedinda.KAPIGE KURA, WENZIO WAWEZE KULA.
Yeah... Kiitaliano hicho mkurugenzi.... Lugha ya Waroma hiyo......Naona mpaka
Kiitaliano mnaandika hii No Reform No Election
Mimi nauliza tu...Je aliyekimbia na box la kura ni Mtibeli au msimamizi wa kituo cha kupigia kura? Kweli aliyekula nyama ya mtu haachi!Mtibeli baada ya kuona tumeshinda umeondoa poll yaani umekimbia na box la kura
TIK YA KURA NI HAKI YAKO AMBAYO NI MALI SAWA NA DHAHABU.OCTOBER TUNA TIK
Moderator na Robert Heriel Mtibeli box la kura lipo wapi? Kwa hiki kitu tunahitaji reformsMimi nauliza tu...Je aliyekimbia na box la kura ni Mtibeli au msimamizi wa kituo cha kupigia kura? Kweli aliyekula nyama ya mtu haachi!
SI NI MPUUZI MMOJA TU ANAHANGAISHA WATU KWA KITU AMBACHO HAKIWEZEKANILeo nawasalimia , habari zenu?
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu. Je, hiyo slogan ina faida gani?