No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

vijana woote mwelekeo ni#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKIView attachment 3360303

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huu mwiba ndiyo mliwapelekea UDOM wakapiga kelele. No reforms Np Election.

Mnajipa matumain lakini mkizomewa mara mbili tatu mtatambua watanzania wanataka nini.
 
Habari za jumapili;

Kuna mgongano wa makundi mawili;

Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?

Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.

Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.

Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.

Haya twende Kazi
NRNE
 
NO REFORMS NO ELECTION
unaendaje kutiki kuibiwa kila kitu kwenye nvhi yetu.
Kwa pamoja tukatae kuuza nchi yetu
 
Kwa mambo yanavyokwenda, sioni kama kutakua na uchaguzi.
Maneno ya JK sio yangu, kwamba mama kutoshinda urais labda mambo yaharibike kuanzia sasa na kuendelea, nionavyo mimi nadhani huyu mzee aliona mbali. Sioni kama mambo yanakwenda sawa
 
Habari za jumapili;

Kuna mgongano wa makundi mawili;

Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?

Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.

Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.

Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.

Haya twende Kazi
Hatuwezi kuwa na uchaguzi wa kisenge
No reforms no election ⚒️ 💯
Tutakuwepo 😎
 
Back
Top Bottom