No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

No reforms no election

No reforms no election

No reforms no election

No reforms no election

No reforms no election
 
Habari za jumapili;

Kuna mgongano wa makundi mawili;

Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?

Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.

Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.

Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.

Haya twende Kazi
No reform,no election
 
Kichwa cha uzi kinajieleza kinaga Ubaga usipoelewa hilo ni tatizo lako binafsi siyo la Katiba ya JMT

Nawatakia Jumaa Mubarak
 
Na swala la mikopo kukopwa bila ridhaa ya bunge magumashi, miradi inaitwa miradi ya mama kwanini deni lisiwe la mama?
 
Kichwa cha uzi kinajieleza kinaga Ubaga usipoelewa hilo ni tatizo lako binafsi siyo la Katiba ya JMT

Nawatakia Jumaa Mubarak
Pambana na hali yako mzee mgaya!
Ni mtu lofa tu atakaepanga foleni kwenye mfumo huu!
Kila mtu ashinde mechi zake!
 
je, raisi aliyepo akijiuzulu kabla ya oktoba, P.Mpango (PhD) atashiriki kama mgombea pia au itakuwaje ?
 
Mleta mada

1000000401.jpg
 
Njia pekee kwa sasa ya kulinda kura yako ambayo iko proved ni kutoitumbukiza kwenye box la kura.
 
Kichwa cha uzi kinajieleza kinaga Ubaga usipoelewa hilo ni tatizo lako binafsi siyo la Katiba ya JMT

Nawatakia Jumaa Mubarak

Matokeo yanakulikana either ipigwe kura au isipigwe matokeo ni yale yale

RAIS CCM 99%
WABUNGE CCM 100%
MADIWANI CCM 95%

TOTAL ni ushindi wa kishindo
 
Kichwa cha uzi kinajieleza kinaga Ubaga usipoelewa hilo ni tatizo lako binafsi siyo la Katiba ya JMT

Nawatakia Jumaa Mubarak
“Zamani tulikua tunafuta ujinga kwa watu wazima wasiojua kusoma na kuandika lakini siku hizi vijana wengi ndio WAJINGA”
By Prof Baregu
 
Back
Top Bottom