PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Natamani watu wasiende kupiga kura kabisaa,yaani hyo siku iwe kama Nchi iko kizani yaani vituo vya kura vifunguliwe ila asitokee mtu hata mmoja,mfano sehemu yenyewe wakazi elf 20,wakapige kura watu 10 au wasizidi hata 50 ,yaani Nchi nzima watakopiga kura wasizidi million 1
 
Hadi sasa Mtandaoni yenyewe imepungua juzi ilikua kila page unakuta wamejazana ila sahivi unakuta moja moja
 
learn to accept not everyone you want might win any post, if 10m say yes and 20k say no, learn to respect the majority
That is a lesson you CCM people should learn. Citizens no longer want you, the only thing you can use now is force, killing, abducting, ndo maana mnaogopa kuwa na tume huru
 
Natamani watu wasiende kupiga kura kabisaa,yaani hyo siku iwe kama Nchi iko kizani yaani vituo vya kura vifunguliwe ila asitokee mtu hata mmoja,mfano sehemu yenyewe wakazi elf 20,wakapige kura watu 10 au wasizidi hata 50 ,yaani Nchi nzima watakopiga kura wasizidi million 1
Hata hao watu 10 wanatosha zitahesabiwa hizohizo
 
That is a lesson you CCM people should learn. Citizens no longer want you, the only thing you can use now is force, killing, abducting, ndo maana mnaogopa kuwa na tume huru
siku wananchi wakiamua basi ccm itaondoka, as of now endelea kukaa na kikundi chenu
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!

But it's a step ahead.
 
Nimesema inakoelekea ni kulekule ilipoishia UKAWA.

What part of that is hard to understand?
KAKA MWENZIO KIZUNGU KIDOGO TU KIMEMCHANGANYA HAJAELEWA HATA KIDOGO HAPO KAAMBULIA YA KISWAHILI MACHACHE TU NDIYO ANAUNGAUNGA MSAMEHE BURE NDIVYO CHADEMA TULIVYO NA AKILI ZETU MBOVU
 
so far this is what the citizens have decided
Kuamua vipi mzeee?!!Mimi kama raia wa Tanzania niseme kweli 2005,nilipigua CCM,2010 CCM,2015, Chadema ,2020 CCM,mwaka huu sitapiga kura abadani asilani,na kipindi nilikua nachukua mpk wadogo zangu mfano 2020 wote tulipigia CCM,mwaka huu mimi na familia yetu yenye watu 10 tunaostahiki kupiga kura hatutapiga kura wote...I swear maana naona ushubwada tu,kura akapige yule IGP anaeweka hisa za 1B ndani ya mwezi,wakapige wasanii mnawalipa kila siku kwenda na kurudi dodoma kujiuza ,na wale waonaofanya shoo na bado niko kutia sumu watu kimya kimya
Hapo naenda kijijini kumchukua mamkubwa nae asipige kura kabisa mwaka huu!!
Viongozi gani hawana huruma na sisi hao mwendo kasi tu imewashinda ,ATCL kila siku haijai,ndege ndani siti kama gari za bonyokwa,mwaka huu kura atapiga waziri salumu na mkewe na familia zao maana ndo wanaufaika.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 sipigi kura kwa sababu ATCL haijai, aisee
 
Iwe kama Ukawa ama isiwe kama uka lkn msg imepenya kwa kuonyesha kwamba watanzania sio mambumbu tena na kilichobaki ni mabavu tu lkn sio sheria wala utawala bora, PERIOD

Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa sawa..... Wewe ni mtu ulikua unahoji sana kwanini CDM inakubali kushiriki chaguzi ambazo inajua sheria zinaibana na kuwafanya watawala kuamua nani mshindi

Na walipo anzisha ukaunga mkono kwa juhudi zote
Lakini sasa ni kama UNASHANGAA as if ulikua hujui kitakachokuja kutokea

Mkuu this is a process...... tunaweza kuwa tunataka njia za matokeo ya haraka kama “wengine” waliofanikiwa lakini tukumbuke tabia za watu(tamaduni) zina akisi kwa kiasi kikubwa namna wanaweza kutimiza hili

I still trust the process
Msimamo wangu haujawahi kubadilika hata siku moja.

Ngoja nikukumbushe huo msimamo: hakuna kushiriki chaguzi za maigizo chini ya mazingira ya katiba na sheria za sasa.

Huo ndo msimamo wangu.

Kama una akili hata kama ni chache tu, utaona kuwa msimamo wangu huo uko tofauti na ‘kuzuia’ uchaguzi usifanyike.

Kugomea kushiriki uchaguzi wa maigizo na kuuzuia huo uchaguzi usifanyike, wewe unaona hayo mawili kuwa ni sawa?
 
MPAKA WAJE WAAMUE NI 2090
wala ata, wananchi wakiamua kwel ata leo ccm inaondoka, ccm imejiwekeza kuongelea miradi zaidi ndo kitu kizuri zaidi ila chadema imekomaa kuongelea viongozi wao hawajachaguliwa, hakuna uwiano apo
 
Nimesema inakoelekea ni kulekule ilipoishia UKAWA.

What part of that is hard to understand?
Ukawa ilikuwa mpango wa kushiriki uchaguzi, Hii No Reforms No Election ni Mpango wa kubadili mifumo ya Uchaguzi, ina misheni fupi na ndefu, huu si ushirika wa kugombea madaraka kama ilivyokuwa UKAWA.

Inawezekana ulitaka kumaanisha jambo fulani lakini Koneksheni ya UKAWA na hii NRNE haipo
 
siku wananchi wakiamua basi ccm itaondoka, as of now endelea kukaa na kikundi chenu
Wameshaamua, ninyi na kikundi chenu kinachouza na kufaidi rasilimali za nchi ndo mnatakiwa mkae kando. Muda wa danganyadanganya ulishapita, wananchi wanataka nchi yao.
 
Back
Top Bottom