Kupishana kimtazamo ni ubinadamu na yatupasa kuvumiliana katika tofauti zetu. Bali kutumia lugha ulotumia kuonesha kutokubaliana kwao na maoni ya Ngabu haikubaliki katika jamii ya watu waliostaarabika. Sorry if I’m rubbing you the wrong wayYou might be a little right but not okay.Ndiyo maana ya kupishana mitizamo.Ulitaka nimkubalie tu na kumpa "like"?Hell no!
hizo NrNe za mtandaoni ndyo mnaamini zitazuia uchaguzi ili muwe included???