PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Common sense is not common

😳
_695816201.jpg
 
Njia pekee iliyobakia kulazimisha MABADILIKO ni kama mbwai iwe mbwai

Walijaribu kwenye maandamano IKAFELI
Wanajaribu na kwenye kuzuia uchaguzi...... you never know mkuu inaweza ikawa ndio trigger watu wakaingia mtaani kikawaka

Ulitaka WAGOME, wamegoma

Haya ya baada ya kugoma waachie wenyewe sababu hakuna maana ya kugoma halafu unarudi nyumbani

Sielewi, ulitaka wafanyake baada ya kutokushiriki?
Watauzuiaje huo uchaguzi?

Watasimama barabarani na kuziba njia za kuelekea kwenye vituo vya kupigia kura?

Watazichana karatasi za kupigia kura?

Watawateka wasimamizi wa uchaguzi?

Watayachoma moto masanduku ya kura?

Naomba nielezee jinsi na namna watavyouzuia huo uchaguzi usifanyike.
 
Hawana majibu, wanasubiri TAL awape SOP
 
Watauzuiaje huo uchaguzi?

Watasimama barabarani na kuziba njia za kuelekea kwenye vituo vya kupigia kura?

Watazichana karatasi za kupigia kura?

Watawateka wasimamizi wa uchaguzi?

Watayachoma moto masanduku ya kura?

Naomba nielezee jinsi na namna watavyouzuia huo uchaguzi usifanyike.
Kwanza upo pamoja nao kwenye kuto kushiriki uchaguzi hewa?
 
Pls tell us, CDM inawezaje zuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, ukinielewesha hiyo methodology/majic mtayotumia na nikaielewa nitajiunga na hiyo NrNe. So far naona tu slogan za NRNE na process za uchaguzi zinaendekea smoooothly:CaptFailFish:
wewe una akili kweli? CHADEMA wanapita kwenye ofisi za hivyo vyama 18 kufanya mobilization ya NRNE? CHADEMA hawana mpango wa kuzuia uchaguzi kwa kupitia vyama vya siasa ambavyo asilimia 95 ni mali ya CCM. CHADEMA wanahamasisha wanachi wasishiriki uchaguzi kwasababu ambazo ziko very obvious. Kama watafanikiwa au lah hiyo ni ishu nyingine lakini NRNE inalenga kuhamasisha wanachi kutoshiriki uchaguzi sio vyama vya siasa. Vyama vishiriki tu vikitaka lakini wanachi wasipoenda kupiga kura hivyo vyama 18 vitashiriki uchaguzi gani? nani atavipigia kura?
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!

so what kwasasa ipo sio
 
Kujadili CDM na NrNe unahitaji kutumia akilia?, kama unatumia akili labda Kb16 tu ya brain, ili kufanya dialogue na imbeciles kama wewe haihitaji akili nyingi, acha matusi na dharau, tufanye dialogue tuitendee haki JF, tufanye debate kistaarabu

So unashauri nini? chadema ishiriki hata kama itashindwa majimbo yote?. Maana nakumbuka ulitusema sana humu 2024 kwamba tunashiriki vipi uchaguzi ambao tunajua tutashindwa.

WaTanzania hata sijui mnataka nini
Chadema hana mbinu na uwezo wa kushinda CCM kwa mazingila ya sasa.
Lakini kwa jinsi binadamu anavyojiongezea maarifa ni wazi si Chadema peke lakini hata vyama vingine ikiwemo CCM watakuja kugundua mbivu na mbichi.
Akili bandia ndio muongozo wa kizazi kipya.
Kejeli,masimango,ahadi zitapimwa na akili bandia.
Kaeni mkao wa kula.
 
Kujadili CDM na NrNe unahitaji kutumia akilia?, kama unatumia akili labda Kb16 tu ya brain, ili kufanya dialogue na imbeciles kama wewe haihitaji akili nyingi, acha matusi na dharau, tufanye dialogue tuitendee haki JF, tufanye debate kistaarabu
huna akili, mwanzo lilikua swali sasa nimeconfirm. Ulivyo mjinga unadhani ukijaza viingereza ulivyokariri ndio utaonekana ‘mtu’. Unless wewe ni shabiki tu wa kisiasa, ila kama kweli akili yako ndio inakutuma NRNE inahusu vyama vya siasa 18 kugomea uchaguzi basi umewaabisha sana waliokuzaa.
 
We ndyo imbecile unapata degedege kwa ushabiki wa chama cha siasa, ziro kabisa wewe mapovu yote hayo kwa kukipigania chama cha siasa??? Hujapenda comments zangu si unapita tu kimyakimya kuliko trauma unayojipa bila sababu
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
#OktobatunatikinaSamia
 
UKAWA ilikuwa chini ya controversial gaidi mbowe kuna tofauti na makamanda wa sasa wenye msimamo usioyumba na by the way UKAWA haijawahi kupata moto kama hivi
 
So unashauri nini? chadema ishiriki hata kama itashindwa majimbo yote?. Maana nakumbuka ulitusema sana humu 2024 kwamba tunashiriki vipi uchaguzi ambao tunajua tutashindwa.

WaTanzania hata sijui mnataka nini
Imeshajitoa itashiriki kivp tena. Isubiri 2030 ibuni mikakati ya kisayansi, you cannot make changes by the brutal means. CCM wajanja tangia ikiwa TANU kwa huku bara walijitwalia chama cha wafanyakazi kiongozi wao akajua kuwa waziri mkuu(Rashid Mfaume Kawawa), chama cha wafanyakazi ikafanywa jumuiya ya CCM. Sasa Chadema taasisi au jumuiya ipi iko nyuma yao, CCM wajanja sana yale makundi muhimu ktk jamii wanayashikilia.
 
Umechanganya mambo mawili tofauti kabisa, ni wapi hiyo kampeni inafanana na Ukawa? Ni wapi Kinana , Januari na Nape wanaweza kufungua ofisi kama ile ya Masaki ya kubadili matokeo kwa Ajili ya No Reforms No Election, huku wakimshirikisha Kapilimba?
We hujawahi kuwa na akili watu km wewe ndio mnaizika chadema.
 
NRNE ni imbecilic fracas ya social media, ukiwauliza, kwa njia gani chama kimoja kutazuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, wanajibu "we utaona tu siku ikifika" :CaptFailFish:
NRNE haijaanzishiwa kwenye social media, sehemu inayoonekana kwenye social media is just a fractional of the whole thing. Hivyo vyama 18 unavyovizungumzia ni vipi whilst it only CCM and it's branches, CCM hii ya Kizimkazi haiko tayari kuona kukiwa na chama cha upinzani na uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliiua project yao ya kukigeuza pia CHADEMA kuwa moja ya jumuia zake kama vilivyo vyama vingine vyote ambavyo kwa masikitiko makubwa eti vinahesabika kama opposition parties.
 
Back
Top Bottom