PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Imeshajitoa itashiriki kivp tena. Isubiri 2030 ibuni mikakati ya kisayansi, you cannot make changes by the brutal means. CCM wajanja tangia ikiwa TANU kwa huku bara walijitwalia chama cha wafanyakazi kiongozi wao akajua kuwa waziri mkuu(Rashid Mfaume Kawawa), chama cha wafanyakazi ikafanywa jumuiya ya CCM. Sasa Chadema taasisi au jumuiya ipi iko nyuma yao, CCM wajanja sana yale makundi muhimu ktk jamii wanayashikilia.
It doesn't matter, unahitaji support ya wananchi sio vyama vya wafanyakazi maana hivyo vipo compromised sana. Si unaona TLS tu ilivyochagua Lissu ikaundiwa bar nyingine.

Hata CEO wa Simba alikua mbunge wa chadema ila ikabidi achukue kadi ya CCM ndio apewe u-CEO wa Simba!! Unategemea chadema itapita wapi kwenye so called "siasa sa kisayansi"?

Kikubwa hapa ni uwanja sawa wa siasa, ila kama ndio mambo ni haya haya chadema hata ikiondoa usajili wake mimi nitasuppport tu tubaki chama kimoja tu kuliko waendelee kuuwawa na kuibiwa kura miaka nenda rudi.
 
NRNE haijaanzishiwa kwenye social media, sehemu inayoonekana kwenye social media is just a fractional of the whole thing. Hivyo vyama 18 unavyovizungumzia ni vipi whilst it only CCM and it's branches, CCM hii ya Kizimkazi haiko tayari kuona kukiwa na chama cha upinzani na uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliiua project yao ya kukigeuza pia CHADEMA kuwa moja ya jumuia zake kama vilivyo vyama vingine vyote ambavyo kwa masikitiko makubwa eti vinahesabika kama opposition parties.
ok, wishing you best wishes
 
huna akili, mwanzo lilikua swali sasa nimeconfirm. Ulivyo mjinga unadhani ukijaza viingereza ulivyokariri ndio utaonekana ‘mtu’. Unless wewe ni shabiki tu wa kisiasa, ila kama kweli akili yako ndio inakutuma NRNE inahusu vyama vya siasa 18 kugomea uchaguzi basi umewaabisha sana waliokuzaa.
..hii inaitwa SONONA :ALERTA:
 
We ndyo imbecile unapata degedege kwa ushabiki wa chama cha siasa, ziro kabisa wewe mapovu yote hayo kwa kukipigania chama cha siasa??? Hujapenda comments zangu si unapita tu kimyakimya kuliko trauma unayojipa bila sababu
mpumbavu kweli wewe, yani wewe kibaka mmoja tu ndio unipe mimi degedege? you wish!😂
hili ni jukwaa la public na huru, ukipost upumbavu kama huo wa kwako lazima ujibiwe tu ndezi wewe
usijibiwe umekuwa nani? ungetaka kimyakimya usingeshobokea uzi wa watu au ungejibu inbox
 
😛😀..hii ni shida ya SONONA
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Endelea kubeba mabox tu huko ulipo.
Tuliopo Tz tunaona kwa macho yetu namna NO REFORMS NO ELECTION ilivyopokelewa na watz wazalendo.
 
Aminini, hii bet ya Chadema italeta tofauti kwenye chaguzi za Tanzania, sijui ni kwa namna gani na muda gani. Lakini sasa Chadema wanakabiliwa na hali mbili tu, wafe au kuwe na mageuzi.. ngoja tuendelee kuangalia, politics ziko at its core..
Wafe ukimaanisha watuue hao wasiojulikana au?
Chadema ilishavuka level za kufa kama CUF au NCCR.
Chadema ni imani iliyobeba matumaini makubwa ya haki, uhuru, usawa kwa maendeleo endelevu ya Taifa hili.
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Mtanzania ukimtimizia shida zake huwa hana tena muda wa kufikiria kwa kina kuhusu mantiki ya kile unachomwambia.

Kule Lindi walirudisha kadi za CCM, Samia na wabunge wa mkoa ule wakajenga zahanati haraka sana. Mikutano uliofuata baada ya zahanati kuwepo mahali pale ilijaa kinamama na watoto wao na baadhi ya vichanga vilivyobebwa migongoni vimezaliwa katika hizo zahanati!.

Hao ndio wapiga kura wa Tanzania, ni watu wanaohudhuria mikutano ya kisiasa inayofanyika katika miaka ambayo haina uchaguzi mkuu sio hawa wasomi wanaojazana instagram, facebook na humu JF, wamejaa mbwembwe za kuandika maandiko marefu lakini practicality yao kwenye siasa za kila siku ni zero.
 
Imeshajitoa itashiriki kivp tena. Isubiri 2030 ibuni mikakati ya kisayansi, you cannot make changes by the brutal means. CCM wajanja tangia ikiwa TANU kwa huku bara walijitwalia chama cha wafanyakazi kiongozi wao akajua kuwa waziri mkuu(Rashid Mfaume Kawawa), chama cha wafanyakazi ikafanywa jumuiya ya CCM. Sasa Chadema taasisi au jumuiya ipi iko nyuma yao, CCM wajanja sana yale makundi muhimu ktk jamii wanayashikilia.
Sasa watu wanachukulia poa Sana, Tanzania, Uganda na Rwanda Case yeti ni special Sana inahitajika Strategies Tena ya muda mrefu. Hizi no reform no election ni kelele tu.
 
Back
Top Bottom