PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ivyo vyama 18 mbona kila siku CPA makalla yuko busy na Chadema kuiongelea sio ivyo vyama 18 nitajie majina ya ivyo vyama 18 na offce zao ziko wapi? Chadema wanatakiwa wazuie wapiga kura wao siku hiyo wasiende kupiga kura tayari ni kuzuia uchaguzi
CDM mnazingua, haiwezekani chama kitofautine na vyama 18, "Common sense is not so common"
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kama game itakuwa kama ulivyoeleza. Je hii itaondoa madai ya kuwepo mabadiliko katika uchaguzi na uongozi wa nchi?
Haitaondoa kwa sababu hayo mabadiliko ni lazima yatatokea lakini sio katika timeframe ya Chadema. Ninaamini kama Chadema isingeingia kichwa kichwa kwenye mtego, mabadiliko yangeweza kufanyika kabla ya uchaguzi wa 2030. Vyama kama Chaumma na ACT-WAZALENDO vitaendelea kudai mabadiliko. Chadema nayo itaendelea kudai lakini hawatakuwa na impact yeyote.

Amandla...
 
Hata kama watafei kama UKAWA still watakua wamesaidia. Au hujaona kwenye Irani ya CCM mwaka huu kua wataendeleza mchakato wa katiba mpya?

Unazani wamefanya kwa mapenzi tuu? Pressure ishakua kubwa, Upinzani wamefanya kazi kubwa kupiha kelele.
 
Ngoja tuone, chama cha siasa hakiendi kwenye maktaba kwa sababu hakikupigiwa kura, la! Ila kwa sababu wananchi wameacha kukisupport!
Yaani hii point uliyoandika, vilaza wengi hawawezi kuielewa.
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
jina lako linaakisi mawazo yako!
 
Kongole mkuu kwa tafakuri yenye murua ya mantiki. Bali niruhusu kutofautiana nawe japo kidogo.

Kampeni kama UKAWA na nyingine za huko nyuma zilikihusu chama zaidi kuliko wananchi. Kampeni ya sasa ya NRNE imelenga kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa uchaguzi katika maisha yao; na ni kwanini ni muhimu kudai mabadiliko ili chaguzi zetu ziakisi dhamani halisi ya kura zao.

Wananchi wanaelekea kuelewa somo, udhibitisho wa hili ukiwa ni maandamano ambayo hayakuratibiwa wala kutangazwa ya jijini Dodoma wakati wa mkutano wa Heche na ujasiri waloonyesha vijana wa UDOM na wakati wa mkutano mkuu wa Ccm wakidai mabadiliko.

Walichofanikiwa kukifanya CDM ni ku ‘transfer ownership’ ya NRNE kwa wananchi, ndiyo maana kwa sasa wanaodai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi si CHADEMA bali ni waTanzani

CCM wanajifanya kupuuza hili vugu vugu lkn deep down Hawalali. Mambo yangekua smooth hivi Lisu asingekua kizuizini saiv.

Na watu fulani wasingekua wanafunga comment kwenye mitandao ya kijamii, na kufungia twitter.
 
Reforms zozote ni lazima zipate baraka za aliyeshika dola na Bunge. Sasa hivi aliyeshika vyombo vyote hivyo ni CCM. Chadema na wafuasi wao wakiweza kuilazimisha CCM ifanye reform za maana kabla ya uchaguzi itakuwa uthibitisho kuwa nchi ni ya kwao.

Amandla...
Wenye mamlaka ni wananchi, na wananchi tumeamua NRNE.
Kuna wananchi zaidi ya milioni 60. Hauwezi kuwasemea wote. Mlioamua NRNE ni sehemu tu ya wananchi, sio wote.

Amandla...
Wengi wape,ndio demokrasia. Na wengi tunataka reforms kabla ya uchaguzi.
 
Haitaondoa kwa sababu hayo mabadiliko ni lazima yatatokea lakini sio katika timeframe ya Chadema. Ninaamini kama Chadema isingeingia kichwa kichwa kwenye mtego, mabadiliko yangeweza kufanyika kabla ya uchaguzi wa 2030. Vyama kama Chaumma na ACT-WAZALENDO vitaendelea kudai mabadiliko. Chadema nayo itaendelea kudai lakini hawatakuwa na impact yeyote.

Amandla...

Chauma hii hii ya Ubwabwa?
Wananadi Helicopter zaidi kuliko Irani za chama
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
🤣 🤣 🤣 🔊
 
No Reforms, No elections ni movement active kuliko wakati mwingine wowote. Na kudhihirisha hilo ndio maana mnatumwa machawa kama nyie kuleta blaablaa humu lakini hakuna anayewapa attention tena. NRNE imeeleweka vilivyo kwa wananchi, nyie kwa kua akili zenu mmefungia kwenye chupa, mtakuja kuelewa vizuri hizo chupa zikipasuka na akili zenu zikawa free
 
Umechanganya mambo mawili tofauti kabisa, ni wapi hiyo kampeni inafanana na Ukawa? Ni wapi Kinana , Januari na Nape wanaweza kufungua ofisi kama ile ya Masaki ya kubadili matokeo kwa Ajili ya No Reforms No Election, huku wakimshirikisha Kapilimba?
Mkuu. January makamba tayar ana ofisi masaki na hivi tunavyosema ameshakabidhiwa komputa nyingi sana kwa ajili ya uchaguzi. Nimeziona kwa macho yangu na naweza kuthibitisha
 
Ilishakufa hiyo kitu ni sawa na kuamini utajiri ( maendeleo) kwa njia ya kundi ~ jumla jumla jambo ambalo kibongo bongo halipo
 
Ukishashiba michembe na kubeua unakuwa kapuuzi sana.Niishie hapo.
Mkuu, hebu rejea ulichoandika kisha jiulize kama uko sahihi. Everyone (in a civilized society) is entitled to freedom of thought. We should respect each other’s right to air out their opinion even if you don’t subscribe to the same. Insulting someone for speaking their mind is very low, to say the least!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Mkuu ya jana sio ya leo
 
Pls tell us, CDM inawezaje zuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, ukinielewesha hiyo methodology/majic mtayotumia na nikaielewa nitajiunga na hiyo NrNe. So far naona tu slogan za NRNE na process za uchaguzi zinaendekea smoooothly:CaptFailFish:
Chadema inaunganisha wananchi, hainangaiki na hao mamluki 18, sijui kama unaelewa.

Wenye nchi ni Wananchi hawa wakikataa vyama 18 vitakimbia vyenyewe, hao polisi mnaojivunia wataungana na wananchi

Sasa Ukawa haikuwa kama hivi, Ukawa walishiriki uchaguzi na Lowassa akashinda, ila kule Masaki kukatumika kuchakachua kura,(Ushahidi umejaa tele) Ndio maana leo kuna No Reforms No Election, sijui kama haya uliyajua
 
Back
Top Bottom