PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chadema inaunganisha wananchi, hainangaiki na hao mamluki 18, sijui kama unaelewa.

Wenye nchi ni Wananchi hawa wakikataa vyama 18 vitakimbia vyenyewe, hao polisi mnaojivunia wataungana na wananchi

Sasa Ukawa haikuwa kama hivi, Ukawa walishiriki uchaguzi ma Lowassa akashinda, ila kule Masaki kukatumika kuchakachua kura,(Ushahidi umejaa tele) Ndio maana leo kuna No Reforms No Election, sijui kama haya uliyajua
"Common sense is not so common":CaptFailFish:
 
CDM mnazingua, haiwezekani chama kitofautine na vyama 18, "Common sense is not so common"
Nani kakwambia mimi Chadema mimi Nina kadi yangu CCM nimeilipia Miaka 5 sisi taifa kwanza
 
Mkuu, hebu rejea ulichoandika kisha jiulize kama uko sahihi. Everyone (in a civilized society) is entitled to freedom of thought. We should respect each other’s right to air out their opinion even if you don’t subscribe to the same. Insulting someone for speaking their mind is very low, to say the least!
You might be a little right but not okay.Ndiyo maana ya kupishana mitizamo.Ulitaka nimkubalie tu na kumpa "like"?Hell no!
 
Chawa wote hawaamini anguko la wanaowalisha mpaka anguko lenyewe litokee
Childish believes eti, NeNr hivyo vita hamuwezi fanya "solo fight" ya chama kimoja against 18 parties, where is your common sense?? Kwanimi mnatumia ngozi ya kichwa kufikia mambo magumu, badala ya kutumia ubongo?? yaani wafuasi wa CDM sasa wamekigeuza chama chao kuwa ni CULT, hawana tofauti na wafuasi wa KIBWETERE
 
  • Nzuri
Reactions: Tui

Endelea kudhani unajua wakati hujui
 
Endelea kudhani unajua wakati hujui
..ni bora kuwa mjinga kwa baadhi ya mambo, shida nyie CDM culture yenu hairuhusu dialogue , mtu akitofautiana na nyie anaambulia matusi na kejeli, duuh :CaptFailFish:
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Tokea lini mafisadi, watekaji, wafiraji, wabakaji na wauaji wakatishwa na maneno matupu?
Kama hutendi hao hapo juu basi unaweza kutishwa na kauli kwasababu utakuwa unatumia akili.

Wenye mamlaka ni wananchi, na wananchi tumeamua NRNE.

Wengi wape,ndio demokrasia. Na wengi tunataka reforms kabla ya uchaguzi.
Kama kweli nyinyi ni majority basi mtashinda. Lakini hizo nyomi katika mikutano yenu na kutamba kwenye social media sio ushahidi kuwa majority ya watanzania wanaunga mkono NRNE.

Amandla...
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
Vyama 18 ni vingi kuzidi
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa sawa..... Wewe ni mtu ulikua unahoji sana kwanini CDM inakubali kushiriki chaguzi ambazo inajua sheria zinaibana na kuwafanya watawala kuamua nani mshindi

Na walipo anzisha ukaunga mkono kwa juhudi zote
Lakini sasa ni kama UNASHANGAA as if ulikua hujui kitakachokuja kutokea

Mkuu this is a process...... tunaweza kuwa tunataka njia za matokeo ya haraka kama “wengine” waliofanikiwa lakini tukumbuke tabia za watu(tamaduni) zina akisi kwa kiasi kikubwa namna wanaweza kutimiza hili

I still trust the process
 
Chauma hii hii ya Ubwabwa?
Wananadi Helicopter zaidi kuliko Irani za chama
Irani ndio nini? Kama sera ya ubwabwa ni mbovu mbona Chadema wametangaza ubwabwa wa bure wakati wa kesi ya Lissu?
Sijamsikia hata kiongozi mmoja wa Chaumma akisema kuwa helikopta ni sera ya chama chao. Wakishuka na kusimama kwenye jukwaa huwa wanaelezea kwa nini wameachana na chama chao cha awali, mapungufu ya CCM na wakiingia madarakani watafanya nini. Unataka waseme nini zaidi?

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Childish believes eti, NeNr hivyo vita hamuwezi fanya "solo fight" ya chama kimoja against 18 parties, where is your common sense?? Kwanimi mnatumia ngozi ya kichwa kufikia mambo magumu, badala ya kutumia ubongo?? yaani wafuasi wa CDM sasa wamekigeuza chama chao kuwa ni CULT, hawana tofauti na wafuasi wa KIBWETERE
sawa chawa wa mama
 
Kama kweli nyinyi ni majority basi mtashinda. Lakini hizo nyomi katika mikutano yenu na kutamba kwenye social media sio ushahidi kuwa majority ya watanzania wanaunga mkono NRNE.

Amandla...
Mkuu,
Wewe uko nje ya nchi, mimi niko na Wana ccm kila siku huku.

Yaliyofanywa na mkutano mkuu Januari yamekigawa chama chao sana.

CCM wenyewe wengi ukiwasikiliza, wamekata tamaa na mgombea wao huyo.

Zikifanyika reforms uchaguzi ukawa huru, ccm wanaweza kupata wingi wa wabunge japo kwa 50%+. Lakini kwenye urais hawawezi kupata hata 30%.

Trust me.
 
sawa chawa wa mama
mimi ni non-partisan, niko free ku critique ujinga wowote, NI RAHA SANA KUTOKUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE. na wewe je ni chawa wa TUNDU LISSU?
 
Mkuu,
Wewe uko nje ya nchi, mimi niko na Wana ccm kila siku huku.

Yaliyofanywa na mkutano mkuu Januari yamekigawa chama chao sana.

CCM wenyewe wengi ukiwasikiliza, wamekata tamaa na mgombea wao huyo.

Zikifanyika reforms uchaguzi ukawa huru, ccm wanaweza kupata wingi wa wabunge japo kwa 50%+. Lakini kwenye urais hawawezi kupata hata 30%.

Trust me.
Kwani wameanza kukata tamaa leo?
Hao unaongea nao hawana ubavu wa kupinga chama chao. Wana siasa wa CCM hawajaanza leo kulalamikia uongozi na mwenendo wa chama chao. Lakini ikifika wakati wa maamuzi kama kuchagua wagombea karibu wote wanafuata maelekezo ya viongozi wao.

Sasa kama unachosema ni kweli kuwa CCM haiwezi kupata hata 30% ya kura baada ya reforms, hiyo si ndio itakuwa sababu ya wao kutofanya reforms katika mfumo wa uchaguzi?

Mimi nadhani reforms za maana zitakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kupatikana 2025 mpaka 2030. Hii ni kwa sababu Rais atakuwa na interest ya kuacha alama kubwa katika historia ya nchi yake. Na wenye nguvu ndani ya CCM watakuwa wako busy wanajiweka sawa ili wamrithi Rais wa sasa. Hali hiyo itawadhoofisha.

Amandla...
 
Back
Top Bottom