PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aminini, hii bet ya Chadema italeta tofauti kwenye chaguzi za Tanzania, sijui ni kwa namna gani na muda gani. Lakini sasa Chadema wanakabiliwa na hali mbili tu, wafe au kuwe na mageuzi.. ngoja tuendelee kuangalia politics ziko at its core..
..haileti impact yoyote, yaani CCM wamefurahi sana, ila CHADEMA itajiongeza kwenye maktaba ya NCCR na CUF
 
So unashauri nini? chadema ishiriki hata kama itashindwa majimbo yote?. Maana nakumbuka ulitusema sana humu 2024 kwamba tunashiriki vipi uchaguzi ambao tunajua tutashindwa.

WaTanzania hata sijui mnataka nini
Kigeu geu huyo anatafuta attention
 
IMG_20250609_201521_833.jpg
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
don't be such a pessimistic. mazingira na hali ya kipindi cha ukawa na ya No Reforms, no election ni tofauti kabisa.
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Nguvu ya mfumo ni kubwa mno maana mfumo waweza kufanya kitu chaitwa "double knock effect", yaani wapiga kotekote na kuleta impact.

Na kuhusu "indignation" ni kwamba viongozi wa dini wenyewe wamekuwa waangalifu katika mahubiri yao na kisha wa mwisho mchungaji Hananja nae kaongea kimkakati sana lakini nae akimtosa jasusi la mbinguni, hivyo kuwachanganya wananchi wakiwemo waumini wa dini zote mbili.

Lakini waumini wengineo kama Shia na kule uhindini mbona wao waendelea na shughuli zao? Jibu ni kwamba wote wamehakikishwa kuwa kupo salama.

Pia vyombo vya habari vimejiteka na hata wasanii na infulencers wengi wako na handbrake katika statements zao hata kama ndani ya mioyo yao nao wataka NRNE maana hata shangazi nae kachanganya mada na kuweka udini.

Lakini uthubutu wa kuanzisha NRNE ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote na ni zaidi ya UKAWA ilokuwa chini ya Mbowe.
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
"We shall laugh again". By Art Buchwald.
Alikuwa columnist mzuri sana.
 
Huo ndiyo ukweli mchungu ambao CHADEMA hawawezi kuukubali. Hata Mshana Jr naye hawezi kukubali.

Kutoshiriki uchaguzi ni kuiachia CCM apite kiulaini tu
 
Okay wacha tusubiri ENL mpya atakuwa nani na itakuwa ni muunganiko wa nani na nani maana Chaumwa wao washajipambanua wapo upande wa kupinga uponzani
 
Nimesema inakoelekea ni kulekule ilipoishia UKAWA.

What part of that is hard to understand?
Nchi ni yetu sote!! Na wengi wanatamani Tanzania yenye mabadiliko makubwa.

Nafikiri tungetoa ushauri nini kifanyike tulipokwama, hili lingekuwa la muhimu zaidi. Angalau hata uongozi wa Chadema uliopo kwa sasa umeonesha nia ya kweli ya kutaka mabadiliko. Tuwasaidie mawazo positive wafanyeje badala ya kuwazodoa. So far tuwatie moyo angalau wamefanya vyema kwa nafasi yao!!
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Akili zenu huwa zimejaa UZUZU tu.

Uchaguzi siyo kwaajili ya wanasiasa ila ni kwaajili ya watu.

Kuna dhambi gani dola likiacha watu wachague watu wao.

Hata CCM yenyewe huwa inawawekea watu, wagombea ambao haiwataki.

Lakini pia asilimia kubwa ya watanzania hawana vyama vya siasa.

Na hapa issue siyo vita wala mashindano, hakuna sababu ya CCM kuua watu, kufunga watu, kushitaki watu mashitaka ya kunyongwa.

Mbona kuna njia rahisi tu, wafute vyama vingi ili wapate amani.
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
No Reform No Reform.
 
Hii itakufa kifo cha mende jan haifiki, kuna cuf ilikuwa tishio kuliko chadema walikuja na kitu ngunguli ila walipozwa wakatulia ka maji.
Chafema imebebwa na ccm vizuri sana kaatika uongozi wa mbowe, kqja huyu mshamba kaharibu kila kitu. Alivyoingia tu nliandika hapa hapa kwa account yangu ingine nikasema huu ndowanzo wa mwisho wa chadema. Cdm inakufa natural death, kuna wasomi wa siasa ccm na wazoefu
 
No Reform No Election.
 
Back
Top Bottom