PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Kongole mkuu kwa tafakuri yenye murua ya mantiki. Bali niruhusu kutofautiana nawe japo kidogo.

Kampeni kama UKAWA na nyingine za huko nyuma zilikihusu chama zaidi kuliko wananchi. Kampeni ya sasa ya NRNE imelenga kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa uchaguzi katika maisha yao; na ni kwanini ni muhimu kudai mabadiliko ili chaguzi zetu ziakisi dhamani halisi ya kura zao.

Wananchi wanaelekea kuelewa somo, udhibitisho wa hili ukiwa ni maandamano ambayo hayakuratibiwa wala kutangazwa ya jijini Dodoma wakati wa mkutano wa Heche na ujasiri waloonyesha vijana wa UDOM na wakati wa mkutano mkuu wa Ccm wakidai mabadiliko.

Walichofanikiwa kukifanya CDM ni ku ‘transfer ownership’ ya NRNE kwa wananchi, ndiyo maana kwa sasa wanaodai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi si CHADEMA bali ni waTanzani
 
Ukishashiba michembe na kubeua unakuwa kapuuzi sana.Niishie hapo.
 
Wake me up when it succeeds.
They have been played. Kuweka condition ya kutaka reforms ndio uchaguzi ufanyike ni non starter. CCM watasema muda hautoshi kufanya reforms za maana au watafanya reforms za kiini macho au watawapuuzia. Na kwa sababu reforms ni condition yao ya kuingia kwenye uchaguzi, hawawezi kugeuka na kushiriki hata wakiruhusiwa.

Kwa kutoshiriki, wanawapa CCM opening ya kuendesha uchaguzi ambao relatively utakuwa wa wazi ili wa prove kuwa hamna haja ya reforms. CDM hawatakuwa na platform ya kufanya kampeni wakati wa uchaguzi na hawataweza kuingia kwenye vituo vya kupigia kura ku collect evidence za malfeasance. Wapinzani watashinda lakini sio kwa wingi kuweza kuwa na impact yeyote ya maana.

Btw, wengi wa hawa wanaopiga kelele watakimbilia Chaumma au ACT-WAZALENDO wakiona kuwa CCM wako serious katika kuwakatalia CDM kushiriki kwenye uchaguzi.

For the next five years wata struggle kujiendesha kwa sababu Tone Tone itakata pumzi watu wakiona chama chao ni paper Tiger. Na diaspora hawana uwezo wa kukibeba chama.

They have been played big time.

Amandla...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
..ni sawa, lakini Kuzuia vyama 18 visishiriki uchaguzi kisiasa haileti maana njema
Ivyo vyama 18 mbona kila siku CPA makalla yuko busy na Chadema kuiongelea sio ivyo vyama 18 nitajie majina ya ivyo vyama 18 na offce zao ziko wapi? Chadema wanatakiwa wazuie wapiga kura wao siku hiyo wasiende kupiga kura tayari ni kuzuia uchaguzi
 
Wewe mzee,Kila hoja unayoleta ya malalamiko huwa nauliza "unashauri Nini kifanyike" huwa utoi jibu unarukaruka tu,Leo karibu comments 10 zinauliza swali hilo hilo..

Usianziashe Hoja Kama hujajipanga unless uwe unataka kua relevant tu unaenda na Kila trend...kwenye hitimisho uwe unatoa ushauri au suluisho
 
They have been played. Kuweka condition ya kutaka reforms ndio uchaguzi ufanyike ni non starter. CCM watasema muda hautoshi kufanya reforms za maana au watafanya reforms za kiini macho au watawapuuzia. Na kwa sababu reforms ni condition yao ya kuingia kwenye uchaguzi, hawawezi kugeuka na kushiriki hata wakiruhusiwa.

Kwa kutoshiriki, wanawapa CCM opening ya kuendesha uchaguzi ambao relatively utakuwa wa wazi ili wa prove kuwa hamna haja ya reforms. CDM hawatakuwa na platform ya kufanya kampeni wakati wa uchaguzi na hawataweza kuingia kwenye vituo vya kupigia kura ku collect evidence za malfeasance. Wapinzani watashinda lakini sio kwa wingi kuweza kuwa na impact yeyote ya maana. Btw, wengi wa hawa wanaopiga kelele watakimbilia Chaumma au ACT-WAZALENDO wakiona kuwa CCM wako serious katika kuwakatalia kushiriki kwenye uchaguzi.

For the next fine years wata struggle kujiendesha kwa sababu Tone Tone itakata pumzi watu wakiona chama chao ni paper Tiger. Na diaspora hawana uwezo wa kukibeba chama.

They have been played big time.

Amandla...
Reforms zitafanyika kabla ya uchaguzi, na hii si kwa hisani ya ccm.
 
Kongole mkuu kwa tafakuri yenye murua ya mantiki. Bali niruhusu kutofautiana nawe japo kidogo.

Kampeni kama UKAWA na nyingine za huko nyuma zilikihusu chama zaidi kuliko wananchi. Kampeni ya sasa ya NRNE imelenga kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa uchaguzi katika maisha yao; na ni kwanini ni muhimu kudai mabadiliko ili chaguzi zetu ziakisi dhamani halisi ya kura zao.

Wananchi wanaelekea kuelewa somo, udhibitisho wa hili ukiwa ni maandamano ambayo hayakuratibiwa wala kutangazwa ya jijini Dodoma wakati wa mkutano wa Heche na ujasiri waloonyesha vijana wa UDOM na wakati wa mkutano mkuu wa Ccm wakidai mabadiliko.

Walichofanikiwa kukifanya CDM ni ku ‘transfer ownership’ ya NRNE kwa wananchi, ndiyo maana kwa sasa wanaodai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi si CHADEMA bali ni waTanzani
Hakika mkuu.
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
Rings like Jake Tapper’s Original Sin. Full of well known facts ending with hopeless and helpless conclusion. Back to square one.
 
Reforms zitafanyika kabla ya uchaguzi, na hii si kwa hisani ya ccm.
Reforms zozote ni lazima zipate baraka za aliyeshika dola na Bunge. Sasa hivi aliyeshika vyombo vyote hivyo ni CCM. Chadema na wafuasi wao wakiweza kuilazimisha CCM ifanye reform za maana kabla ya uchaguzi itakuwa uthibitisho kuwa nchi ni ya kwao.

Amandla...
 
mie nilivyoielewa NRNE nikwamba Kama hakuna marekebiso ya sheria za uchaguzi basi hakuna uchaguzi

Means uchaguzi utafanyika ila hautakuwa huru na wa haki vile sheria zilizowekwa haziko kwa jili ya kuleta usawa na haki kwenye uchaguzi
 
The purpose of the operation

1. Revive the opposition spirit, bring back people's political awareness to the levels of 2010-2015
2. Make a president who steals the election lame-duck, despised, out of control, creating an environment for further political pressure, coupled with external pressure for human rights, political freedoms, they will be forced to address change
3. Create a momentum for demands of greater reforms in terms of KATIBA MPYA,
 
Reforms zozote ni lazima zipate baraka za aliyeshika dola na Bunge. Sasa hivi aliyeshika vyombo vyote hivyo ni CCM. Chadema na wafuasi wao wakiweza kuilazimisha CCM ifanye reform za maana kabla ya uchaguzi itakuwa uthibitisho kuwa nchi ni ya kwao.

Amandla...
Wenye mamlaka ni wananchi, na wananchi tumeamua NRNE.
 
They have been played. Kuweka condition ya kutaka reforms ndio uchaguzi ufanyike ni non starter. CCM watasema muda hautoshi kufanya reforms za maana au watafanya reforms za kiini macho au watawapuuzia. Na kwa sababu reforms ni condition yao ya kuingia kwenye uchaguzi, hawawezi kugeuka na kushiriki hata wakiruhusiwa.

Kwa kutoshiriki, wanawapa CCM opening ya kuendesha uchaguzi ambao relatively utakuwa wa wazi ili wa prove kuwa hamna haja ya reforms. CDM hawatakuwa na platform ya kufanya kampeni wakati wa uchaguzi na hawataweza kuingia kwenye vituo vya kupigia kura ku collect evidence za malfeasance. Wapinzani watashinda lakini sio kwa wingi kuweza kuwa na impact yeyote ya maana. Btw, wengi wa hawa wanaopiga kelele watakimbilia Chaumma au ACT-WAZALENDO wakiona kuwa CCM wako serious katika kuwakatalia kushiriki kwenye uchaguzi.

For the next fine years wata struggle kujiendesha kwa sababu Tone Tone itakata pumzi watu wakiona chama chao ni paper Tiger. Na diaspora hawana uwezo wa kukibeba chama.

They have been played big time.

Amandla...
Kama game itakuwa kama ulivyoeleza. Je hii itaondoa madai ya kuwepo mabadiliko katika uchaguzi na uongozi wa nchi?
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
NRNE
 
mie nilivyoielewa NRNE nikwamba Kama hakuna marekebiso ya sheria za uchaguzi basi hakuna uchaguzi

Means uchaguzi utafanyika ila hautakuwa huru na wa haki vile sheria zilizowekwa haziko kwa jili ya kuleta usawa na haki kwenye uchaguzi
Kwa Chadomo ni Big Yes, je hivo vyama vingine umevishirikisha katika uelewa wako? au umestick na chama chako kimoja? elewa kuna vyama vingi sio Chadema na CCM.
 
elewa nilicho andika hapo sijaizungumzia chadema, nimezungumzia ninaielewaje hii slogan ya NRNE
 
Back
Top Bottom