No matter how sweet it is......

Sasa huoni hapo yeye ndio alikuwa jini mnyonya maendelea yako ta nyota umemuacha tu na kazi umepata mkuu shukuru Mungu jinamizi lililokupenda limeondoka kwa maisha yako
 
Naamini watu wanaotupenda zaidi tutawapata after death kwasababu wale wameumbwa kwaajili yetu tu, tutumie jitihada kutafuta maisha ya kweli baada ya kufa.
 
Mmmmhh maaana juzi tu hapa nimepewa maneno kaa hayo hayo eet tubaki kuwa marafiki tu eet nakupenda lakini kama rafiki tu
Hahahah polite way ya kuachwa hyo
Sio lazima mtukananeee wakati maisha bado yanaendelea
 
The power of letting go

Hii ni cheat code ya mafanikio kwenye uhusiano wowote ule iwe mapenzi,biashara or whatever

Inabd uwe unajua kipi ushikilie kipi ukiachie, kivipi na ni wakati gani na ni Kwa muda gani
 
πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…