No matter how sweet it is......

Kumbe wew man ndio ulimtoa bikira naomi wangu.

Ila usiwaze sana, Naomi yuko sehemu salama. Nampenda.

Ila ulizingua mtoto mkali kama yule unamuacha kisa huna pesa ya jezi.
 
It happens. Last time ilibidi nitafute a very diplomatic way to cut things off. Unaona kabisa things are going well, mtoto wa watu anakuja mzima mzima, ila ukiangalia mbele unajua hamtoboi.

Kuna wanaoambiwa ukweli kwamba things won't work out, kuna wanaopigwa matukio ili tu kuwacut off, then kuna ambao unawatengenezea mazingira wakuache wenyewe!

Crazy stupid love!
 
Yes nishakutana nayo.

Nilimpenda binti mzuri sana baada ya kumtongoza kwa wiki nne usiku na mchana (ni kweli usiku na mchana) alikuja kunikubalia Alfajiri moja hivi huku adhana inalia

Sharti ikabidi tudate kwa miaka miwili ya chuo kisha kila mmoja aende na maisha yake, ile siku tunafanya graduu kama movie la kihindi

She’s in my hearts mpaka sasa Sijaona mwanamke mwenye moyo safi kama yule
 
Kuna watu hata uwafanyie matukio ili wakuache.

Hawakuachi ndio wanazidi kufall.
 
Itakugharimu kaka... Njia ya muongo ni fupi na matokeo ya uongo ni mabaya sana! Mfanye mwenza wako akupende the way ulivyo.
 
Muondoe
Utawapa shida wengine.
Utakuwa unafanya mlinganisho, then unagundua hawana hata nusu ya yule,, unaanza kuwapuuzia.
Penzi linakuwa halinogi inavyotakiwa.
 
Tatizo linakuja baada ya kufanya calculatio na kuona mtu ni liability than an asset..
Unajiuliza nilipendaje pale?? Mbona kama hapaelewekiii ndo unaanza siasaaaza kumuacha... hapo hata kama ni kiporo kitapashika kwa shida sanaa
Ulikuwa unamlea jamaa?! πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ

Maana vijana wa sasa hawana haya... wanaomba pesa mpaka kwa mademu zao siku hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Muondoe
Utawapa shida wengine.
Utakuwa unafanya mlinganisho, then unagundua hawana hata nusu ya yule,, unaanza kuwapuuzia.
Penzi linakuwa halinogi inavyotakiwa.
Depal uko sahihi 100%

Baada ya yeye wamekuja wengi sana na kwa baadhi yao nilikuwa muwazi kuwa kuna mtu kichwani na wakanikubali hivyo hivyo na mapenzi niliyoishi sikuwa na moyo i had so much fun nila hisia

Mpka nilipokutana na Cousin wangu, kiboko yangu, Ex wangu huyu ndiyo nataka niweke mambo sawa nimsahau yule

Maana walau Cousin ndiye anafanana naye,
 
Sasa huo uchizi... sometimes utamuacha mtu sahihi maishani baadae ndo unagundua when it's too late!
Hahaha
Kila mtu Ana vigezo vyake vya perfect man...
Kama mwanaume bado anatafuta bora mapenzi ayaweke pembeni kwanza maana hii ya it can not work haitakwepeka kwake
 
Ulikuwa unamlea jamaa?! πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ

Maana vijana wa sasa hawana haya... wanaomba pesa mpaka kwa mademu zao siku hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Hahaha me mwenyewe napenda kulelewa halafu nikulee wewe..... kulea mwanaume.ni big no...

Eti bebi naomba nauli nije...haha aloooo
 
So unamkula cousin?
 
Hahaha me mwenyewe napenda kulelewa halafu nikulee wewe..... kulea mwanaume.ni big no...

Eti bebi naomba nauli nije...haha aloooo
Hayajakukuta... waulize wenzio ila sidhani kama watakubali kukwambia maana mpaka mwanamke akimhudumia au kumpiga tough mwanaume wake kampenda kweli na kwa dhati
 
Hayajakukuta... waulize wenzio ila sidhani kama watakubali kukwambia maana mpaka mwanamke akimhudumia au kumpiga tough mwanaume wake kampenda kweli na kwa dhati
Me labda nimkopeshe na asipolipa ndo ticket ya kibuti
Kulea mwanaume big no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…