No matter how sweet it is......

No matter how sweet it is......

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,048
Heri ya mwaka mpya waungwana...

Mapendo daima...

Asee kuna muda unampata mtu au unakuwa na mtu unampenda balaa na ukiwa nae ni raha tu ila kila ukitafakari mazingira yake na yako inabidi umuachilie tu aendee no matter how sweet it is....

Yani unamwambia kabisa kwamba mazingira tuliyo nayo haiwezi kuwork out na hivyo baba au mama byebye.....inaumaaa sema ndo hivyo tena bora ukweli mchungu.

Vipi waungwana mshawahi kutana na hali hizii?
 
Back
Top Bottom