NMB yalaumiwa kutoa siri ya Lipumba

NMB yalaumiwa kutoa siri ya Lipumba

Ccm ikiamua lake,nani wa kulipinga???
Waliambiwa waache siasa tujenge nchi wao wakakataa... Naipongeza CCM kwa wao pia kuwajibu kwamba wao ni chama dola, wanafanya walitakalo. Wakimaliza kupandikiza migogoro isiyotatulika CUF wataamia Chadema.. Nako watakupasua wengine watakimbilia ACT na wengine kubaki CDM.. 2020 vyama hivi vitatu ACT, CUF na CDM vitagawana kura na CDM pekee ndio itapata wabunge wachache kuliko sasa wakati wengi wakitoka chama dola CCM. CUF na ACT wanaweza wakapata mbunge mmoja mmoja tu..

Wabunge wa Upinzani mngekubali kumuunga mkono Rais na kupiga kazi, kuweka siasa pembeni wala hizi purukushani hazingekuwepo. Na pia Mh Rais kwenye maendeleo hana upendeleo wa kichama. Tuliona alivyokuwa anashirikiana na wapinzani kupeleka barabara kwenye majimbo yao..
 
Lipumba anajichosha bure, eti anajipima ubavu na maalim!!!
 
watumishi wa CRDB tawi lile la Bukoba walioidhinisha kufungua akaunti feki Mkulu alisema wawajibishwe na vipi kuhusu hawa watumishi wa NMB walioshiriki kufungua akaunti feki ya CUF wanaachajwe? Huyo msajili aliyeandika barua ya utambulisho, je alijiridhisha sababu ya kufunguliwa akaunti ya pili kwa chama ambacho tayari kina akaunti? Serikali kupitia Msajili wa Vyama Vya Siasa, NMB na Polisi hawawezi kukwepa kujumuishwa kwenye hii kadhia ya CUF

Hawataguswa,Mwizi alikuwa anamsaidia mwizi mwenzie kuiba.Walitaka kufanya kama ile ya ESCROW.
 
Waliambiwa waache siasa tujenge nchi wao wakakataa... Naipongeza CCM kwa wao pia kuwajibu kwamba wao ni chama dola, wanafanya walitakalo. Wakimaliza kupandikiza migogoro isiyotatulika CUF wataamia Chadema.. Nako watakupasua wengine watakimbilia ACT na wengine kubaki CDM.. 2020 vyama hivi vitatu ACT, CUF na CDM vitagawana kura na CDM pekee ndio itapata wabunge wachache kuliko sasa wakati wengi wakitoka chama dola CCM. CUF na ACT wanaweza wakapata mbunge mmoja mmoja tu..

Wabunge wa Upinzani mngekubali kumuunga mkono Rais na kupiga kazi, kuweka siasa pembeni wala hizi purukushani hazingekuwepo. Na pia Mh Rais kwenye maendeleo hana upendeleo wa kichama. Tuliona alivyokuwa anashirikiana na wapinzani kupeleka barabara kwenye majimbo yao..
Suala ni JPM kufanya siasa na wengine wasifanye.
 
Kutekeleza majukumu yake ni kufanya siasa?
Umesahau anafanya ziara za kuwashukuru wapiga kura?

Umesahau anaondoa wafanya kazi wa serikali na kuteua makada wa CCM?

Mjulishe tu kuwa sisi wengine HATUDANGANYIKI
 
Duh ccm washamfundisha bwana yule kua mwizi ili mutungi akagawana ruzuku duh hatari
 
Sasa kama hiyo Account ni halali wanailaumu vipi nmb kwani kufungua account ya bank ni siri?

Account ya benki ni siri ndio, ulikuwa hujui hiloo?

Sasa kosa la Lipumba ni lipi wakati alijiuzulu mwenyewe na sasa amejirejesha mwenyewe?

kwani alifukuzwa mpaka mumkatae?

hamjamjua vizuri professor,habahatishi.
 
Ama!
Mbona watu ni wasahaulivu hivi?

Kwani hawa wakina Kambaya si ndiyo miongoni mwa wanaodai kuwa Lipumba ndiye Mwenyekiti wa Cuf taifa?
Sasa kufungua akaunti ya siri ya chama kinyume na taratibu za taasisi hiyo wanataka kumficha nani? Wanamwogopa nani?

Kwanini Mwenyekiti na kundi lake hawatumii zile akaunti za chama zilizopo.
Au kama ni vigumu; kwani wale waliomsaidia Lipumba kumrudisha kundini kwa nguvu, siwamsaidie tena ili apate mamlaka ya kutumia akaunti za chama, kwani hawa siwanaweza kila kitu?

unajidanganya kuwa wanaweza kilakitu,si kweli kwani watia sahihi wa Benki ndio mahasimu wake kwa sasa. hivyo yampasa kuanzisha account ambayo watia saini wawe ni wenzawake.
 
Umesahau anafanya ziara za kuwashukuru wapiga kura?

Umesahau anaondoa wafanya kazi wa serikali na kuteua makada wa CCM?

Mjulishe tu kuwa sisi wengine HATUDANGANYIKI
Mbunge wako wa upinzani au chama tawala amekatazwa kuwashukuru wapiga kura?

Lowassa amekatazwa kuwashukuru waliompigia kura? Alichokisema ni sahihi, Mbowe afanye mikutano yake Hai.. Asikilize kero za wananchi huko na kuzifikisha kunakohusika..

Kuhusu kuteua makada hata mimi sikuungi mkono. Post za MaDAS na DED ingetakiwa ifanywe promotion ya wakuu wa Idara na si kujaza makada
 
watumishi wa CRDB tawi lile la Bukoba walioidhinisha kufungua akaunti feki Mkulu alisema wawajibishwe na vipi kuhusu hawa watumishi wa NMB walioshiriki kufungua akaunti feki ya CUF wanaachajwe? Huyo msajili aliyeandika barua ya utambulisho, je alijiridhisha sababu ya kufunguliwa akaunti ya pili kwa chama ambacho tayari kina akaunti? Serikali kupitia Msajili wa Vyama Vya Siasa, NMB na Polisi hawawezi kukwepa kujumuishwa kwenye hii kadhia ya CUF

Sasa signatories ni mahasimu wake kwa sasa kwanini asifungue account nyingine atakayoweza kui oparate bila kikwazo?
 
Anahoji kama hayo ndio maadili ya watumishi wa benki halafu anasahau kuhoji maadili ya msajili wa vyama vya siasa jaji mitungi kwa kufanikisha ufunguzi wa akaunti hiyo kinyume na sheria za vyama vya usajili kama ilivyoripotiwa hivi karibuni kwamba msajili wa vyama vya siasa ametoa agizo kupitia barua kwamba profesa afunguliwe account hiyo ili awe anaingiziwa pesa za ruzuku.
 
Mkuu, katika nchi hii kinyume chake ndio ukweli...ukifichua mwizi unakuwa umekosea sana.

Huu sio wizi, ni kwamba akaunti za chama zilizopo zinasimamiwa na katibu mkuu ambaye ni hasimu wake kwa sasa, inambidi afungue nyingine atakayoweza kuitumia. zile za zamani zote hana uwezo wa kuzitumia maana zipo chini ya katibu mkuu.
 
Back
Top Bottom