Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Msajili anakumbatia wizi wa Lipumba.
Profesa kapungukiwa USTAARABUsiri ya muhalifu lazima zivujishwe ili ashuhulikiwe mapema.
Bila kusema hilo wange tumbuliwa km wale wa Mwanza kwamba wamesaidia kutenda uhalifu nani asiye jua CUF kuna mgogoro wa kijinga sana ambapo mtu ambaye hatunzi kauli zake anawasumbua na sasa tunapata jibu kumbe ndege karudi tunduni coz ya RuzukuSIRI kwamba Profesa Ibrahim Lipumba amefungua akaunti mpya yenye jina la chama cha Wananchi CUF imefichuka. Wanaolaumiwa kutokana na kufichuka kwa siri hiyo ni watumishi wa benki ya NMB tawi la Ilala.
Prof. Lipumba ni Mwenyekiti wa CUF, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa huku chama chake kikiwa tayari kimemfukuza uanachama.
Abdul Kambaya, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa pia huku Baraza Kuu la Uongozi la CUF likiwa limemsimamisha uanachama, amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima, akilaani kitendo cha benki ya NMB kuvujisha taarifa za akaunti mpya ya Prof. Lipumba.
“Aulizwe Meneja wa NMB Ilala, kutoa siri za wateja, hayo ndiyo maadili ya kazi yake? Uko wapi usiri kati ya mteja na benki?” alihoji Kambaya.
Hata hivyo, MwanaHALISI online ilipomtafuta Kambaya siku ya jana ili kufafanua uanzishwaji wa akaunti hiyo, matumizi yake na kama yamezingatia matakwa ya Katiba ya CUF na Sheria ya Vyama Vya Siasa, hakuwa tayari kufafanua akidai kuwa si wakati muafaka.
“Tutaeleza mambo hayo kwa wakati muafaka, kama kuna jambo tunakuwa accused (tunatuhumiwa), iulizeni ofisi ya msajili au benki husika, wao wana taarifa kamili,” amesema.
Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kupitia Sisty Nyahoza imenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari ikikiri kumtambulisha Prof. Lipumba kwa benki ya NMB ili aweze kufungua akaunti hiyo, hata hivyo amedai kuwa ofisi ya msajili haijui matumizi ya akaunti hiyo.
Taarifa za kufunguliwa kwa akaunti mpya yenye jina la CUF kwa malengo yasiyojulikana zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii Alhamis ya tarehe 06 Septemba mwaka huu.
Uongozi wa CUF taifa kupitia kwa Mbarara Maharagande, Naibu Mkurugezi wa Uenezi na Mawasiliano ya Umma umesema kuwa, utatoa taarifa rasmi juu ya suala hilo siku ya kesho Jumatatu, tarehe 10 Oktoba.
hapa ishu sio kulaumu...ni kufikishwa mahakamaniKwani CUF haikuwa Na Akaunti mpaka afungue nyingine? Wakaulaumiwa sio NMB Bali in Lipumba Kwa kufungua Akaunti kama wale wa Bukoba waliofungua Akaunti ya Maafa
Chadema na ccm naweza kukadiria wanachopata kama ruzuku, naomba mwingine atoe siri cuf wanapata kiasi ganiNa MTU ambaye si mwanachama anapofanya njama za kukwapua ruzuku ya chama tumuiteje?
Sinema inaendelea...!!
Kweli mkuu na nachukua fursa hii kuwapongeza wana cuf wa nmb ILALA Kwa kumfichua jiziihapa ishu sio kulaumu...ni kufikishwa mahakamani
Huyo mwalimu ukiwa unamgegeda unahakikisha unaficha simu zake zote, hakawii kuyafanya aliyoyafanya Mbeya dayHapo hamna lawama wala dhambi.
Mhona yule mwalimu Ester wa Mbeya day aliyerusha video ya wanafunzi wa field wamkimpiga mwanafunzi wa kidato cha 3 hajalaumiwa?
Hamna lawama kwenye kufichua uovu
Pro jiziHilo ni moja kati ya yaliyomrudisha CUF...
Mpigaji tu huyo.