Lowasa karuhusiwa lini na wapi kuwashukuru wapiga kura?Mbunge wako wa upinzani au chama tawala amekatazwa kuwashukuru wapiga kura?
Lowassa amekatazwa kuwashukuru waliompigia kura? Alichokisema ni sahihi, Mbowe afanye mikutano yake Hai.. Asikilize kero za wananchi huko na kuzifikisha kunakohusika..
Kuhusu kuteua makada hata mimi sikuungi mkono. Post za MaDAS na DED ingetakiwa ifanywe promotion ya wakuu wa Idara na si kujaza makada
HatareeeMission town
Wakifukuzwa kazini kwa amri ya JPM wala sitoshangaa.
Najionea kaka yangu.Siku hizi sipati tabu kukuelezea walivyo, unajionea mwenyewe walivyo!.
Hiyo taarifa itasaidia mini wewe ndugu mbarara maharagandeSIRI kwamba Profesa Ibrahim Lipumba amefungua akaunti mpya yenye jina la chama cha Wananchi CUF imefichuka. Wanaolaumiwa kutokana na kufichuka kwa siri hiyo ni watumishi wa benki ya NMB tawi la Ilala.
Prof. Lipumba ni Mwenyekiti wa CUF, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa huku chama chake kikiwa tayari kimemfukuza uanachama.
Abdul Kambaya, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa pia huku Baraza Kuu la Uongozi la CUF likiwa limemsimamisha uanachama, amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima, akilaani kitendo cha benki ya NMB kuvujisha taarifa za akaunti mpya ya Prof. Lipumba.
“Aulizwe Meneja wa NMB Ilala, kutoa siri za wateja, hayo ndiyo maadili ya kazi yake? Uko wapi usiri kati ya mteja na benki?” alihoji Kambaya.
Hata hivyo, MwanaHALISI online ilipomtafuta Kambaya siku ya jana ili kufafanua uanzishwaji wa akaunti hiyo, matumizi yake na kama yamezingatia matakwa ya Katiba ya CUF na Sheria ya Vyama Vya Siasa, hakuwa tayari kufafanua akidai kuwa si wakati muafaka.
“Tutaeleza mambo hayo kwa wakati muafaka, kama kuna jambo tunakuwa accused (tunatuhumiwa), iulizeni ofisi ya msajili au benki husika, wao wana taarifa kamili,” amesema.
Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kupitia Sisty Nyahoza imenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari ikikiri kumtambulisha Prof. Lipumba kwa benki ya NMB ili aweze kufungua akaunti hiyo, hata hivyo amedai kuwa ofisi ya msajili haijui matumizi ya akaunti hiyo.
Taarifa za kufunguliwa kwa akaunti mpya yenye jina la CUF kwa malengo yasiyojulikana zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii Alhamis ya tarehe 06 Septemba mwaka huu.
Uongozi wa CUF taifa kupitia kwa Mbarara Maharagande, Naibu Mkurugezi wa Uenezi na Mawasiliano ya Umma umesema kuwa, utatoa taarifa rasmi juu ya suala hilo siku ya kesho Jumatatu, tarehe 10 Oktoba.
Lowassa ameshafanya mkutano akaambiwa haruhusiwi?? Au bado ndio hawezi maana yule kuongea sense dakika 5 akiwa amesimama hawezi... Ndio maana yeye mikutano hataki..Lowasa karuhusiwa lini na wapi kuwashukuru wapiga kura?
Lema aliruhusiwa afanye mkutano kwa masharti ya kutomkosoa JPM. Wenye akili wamekwisha anza kutekeleza mikakati mbadala ndani ya udikteta uchwara.
Hata hili la Lipumba wenye akili wamejipanga vizuri ataumbuka tu huyo rais wako
C r a p C r a pLowassa ameshafanya mkutano akaambiwa haruhusiwi?? Au bado ndio hawezi maana yule kuongea sense dakika 5 akiwa amesimama hawezi... Ndio maana yeye mikutano hataki..
Rais kuumbuka au kutoumbuka majibu tutayapata 2020.
Nchi ikihalalisha kitendo hiki itakuwa inashiriki kuwaibia wananchi wake, kumbuka fedha zitakazopita kwenye akaunti hiyo ni zetu wananchi, taratibu haziruhusu mwenyekiti kufungua akaunti kinyemela, zinaelekeza akaunti ifunguliwe na bodi ya wadhamini, na ndio maana bila shaka benki imeshtuka kuingia mkenge, muulize Lipumba kama anao wadhamini halali wanaotambuliwa na sheria, sio wanaotambuliwa na Mtungi!Lipumba hawezi kutumia akaunti za zamani, usichanganye issue janga la tetemeko hakukua na haja ya kutengeneza akaunti ya pili, lakini hapa unaona wazi kuna makundi mawili, hivyo ipo haja ya kuwa na akaunti nyingine!!!!
Nchi ikihalalisha kitendo hiki itakuwa inashiriki kuwaibia wananchi wake, kumbuka fedha zitakazopita kwenye akaunti hiyo ni zetu wananchi, taratibu haziruhusu mwenyekiti kufungua akaunti kinyemela, zinaelekeza akaunti ifunguliwe na bodi ya wadhamini, na ndio maana bila shaka benki imeshtuka kuingia mkenge, muulize Lipumba kama anao wadhamini halali wanaotambuliwa na sheria, sio wanaotambuliwa na Mtungi!
Chama chake kipi wakati aliishafukuzwa uanachama!Hata kama hana bodi ya wadhamini unafikiri ataendeshaje chama bila akaunti?
lazima afanye afanyavyo kupata akaunti ila aweze kufanikisha yake na ya chama chake.