ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,002
KizungumkutiHivi huyu Lipumbavu na wale waliofunguwa akaunti ya maafa ili wapige pesa wana tofauti yoyote ya aina ya uhalifu wao?
KizungumkutiHivi huyu Lipumbavu na wale waliofunguwa akaunti ya maafa ili wapige pesa wana tofauti yoyote ya aina ya uhalifu wao?
Mbona wale waliofungua A/c kule Bukoba walikamatwa?Kuficha taarifa ya mwizi ni kosa kisheria ila kufichua taarifa ya mwizi sio kosa kisheria ni ushujaa lipumba ni mwizi kama wezi wengine tu...
Huyo Abdalah kambaya anapenda Siri mbona yeye hana Siri? Kila mtu anajua Abdalah kambaya ni mshirikina hatari kutwa yupo kwa waganga anapeleka waganga wa kila aina ofisini buguruni.HEKO ALIYEWEKA MAMBO YA HOVYO HOVYO HADHARANI./
->>AFRIKA NI AFRIKA TU NA UHOVYO WAKE./
->>LOGIC YA KUFUNGUA A/C YA CHAMA KIKUBWA KAMA CUF KWA SIRI NI NINI?..../ TENA BILA WADHAMINI WA CHAMA?/ THIS BARGLARY POOR POOR POOR/
->>KULIKO KUFANYA UPUUZI WA AINA HII PESA ZA WALIPA KODI ZIKATUMIKA ILLIGALLY NI HERI "KUFUTA CHAMA KWA DHATI KABISA"
**serkali inakusanya kwa nguvu zote then inakuja kudump fedha katika kapu la siri what this means?
Tatizo CCMHEKO ALIYEWEKA MAMBO YA HOVYO HOVYO HADHARANI./
->>AFRIKA NI AFRIKA TU NA UHOVYO WAKE./
->>LOGIC YA KUFUNGUA A/C YA CHAMA KIKUBWA KAMA CUF KWA SIRI NI NINI?..../ TENA BILA WADHAMINI WA CHAMA?/ THIS BARGLARY POOR POOR POOR/
->>KULIKO KUFANYA UPUUZI WA AINA HII PESA ZA WALIPA KODI ZIKATUMIKA ILLIGALLY NI HERI "KUFUTA CHAMA KWA DHATI KABISA"
**serkali inakusanya kwa nguvu zote then inakuja kudump fedha katika kapu la siri what this means?
Huyo Abdalah kambaya anapenda Siri mbona yeye hana Siri? Kila mtu anajua Abdalah kambaya ni mshirikina hatari kutwa yupo kwa waganga anapeleka waganga wa kila aina ofisini buguruni.
lipumba anaenda kula pesa ambayo hakuipigania kabsa yaani wamekula njama na msajili wale hiyo pesa ili iwasasaidie kuwanunua wana CUF njaa wengi pia hata baadhi ya wabunge njaa ambao watavutwa na Sakaya, kwa kifupi Ruzuku itatumika kuchochea vurugu ili CUF isambaritike watimize lengo Lao.Uongo uongo na unafiki huwa haufiki mbali hira za Lipumba kurudi ni baada ya kugundua alijiuzuru afu Ruzuku ya chama imetuna zaidi sasa anaforce king kurudi ili azitumbue vizuri wakati alikimbia vita.
Na Kama ni kweli barua ya kumtambulisha ilitoka kwa Jaji, basi hili jambo ni lazima Raisi alichukulie hatua tena haraka bila kificho.kwa sababu asipofanya hivyo wananchi watachukulia Kama dharau kwaô, kwa tafsiri nyingine ni kwamba huu ni wizi Kama wizi mwingineToeni siri cuf wanapata kiasi gani toka kwa mtung
Bodies ya wadhamini itabidi ishughulikie suala hilo haraka iwezekanavyoLipumba anapaswa kushitakiwa kama RAS & co kagera kwa kufungua account fake inayofanana na ile ya CUF au yenye jina la CUF.
Kwanini....
CUF ina account tayari ambayo inaendeshwa na Mtendaji mkuu wa Chama (Katibu Mkuu)
Ova