Lipumba angekuwa North Korea Leo hii tungekuwa tumejifunza kituLipumba anapaswa kushitakiwa kama RAS & co kagera kwa kufungua account fake inayofanana na ile ya CUF au yenye jina la CUF.
Kwanini....
CUF ina account tayari ambayo inaendeshwa na Mtendaji mkuu wa Chama (Katibu Mkuu)
Ova