NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
Unatumaje wakati huduma za online wka Nmb kwa wote hazifanyi kazi?

Only atm?
 
NMB wanafanya mantainance ya Core Banking System ambayo huwa inachukua muda kidogo na uzuri walishatoa Taarifa. Kesho huduma zitaanza kurejea kama kawaida
 
Watanzania sisi tuna matatizo ya akili aisee, nmb siku tatu mfululizo walisema Kutakuwa na ufundi ila bado watu wanalalamika utadhani hawakupewa taarifa

Ah kmmk aliyetuloga sisi alituweza kudadeki wallah
Usiseme sisi wote...

Wewe ndiye pekee mwenye matatizo ya akili..!

TANGAZO la NMB linasema maboresho ya mfumo yangekuwa siku Moja tu, ijumaa ya 31/7 lakini hadi leo J'pili tarehe 2/8/2026 huwezi kutoa, kuweka, kuhamisha wala kufanya malipo yoyote kwa kutumia mfumo wa eMoney i.e NMB Mjononi Mobile app na USSD code yao ya *150*66#

Halafu wewe unawaona wanaousema ukweli huu kuwa hawana akili, pasipo kujua kuwa wewe ndiye hasa unaandika au kuongea katikati ya kukosa kwako akili na ufahamu..!
 
Hakuna mahali wamesema maboresho ni mpaka lini, wao wamesema ni kuanzia ijumaa

👇

Ndugu Mteja, leo Ijumaa 31/7/26 kuanzia saa 12 Jioni tutafanya maboresho ya mfumo. Endelea kutumia kadi za NMB kwenye ATM na POS za NMB.
 
Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
Duuh sasa itakuwaje
 
nmb siku tatu mfululizo walisema Kutakuwa na ufundi ila bado watu wanalalamika utadhani hawakupewa taarifa
Mbona kifo kila mtu anajua kipo lakini mtu akifa wanalia? Hoja yako haina mashiko. Umeambiwa sababu za mafundi kujifanya wanatengeneza?
 
Hapana mkuu

Sio kwelii

NMB wanfanya marekebisha ya.mfumo wao wamkibenk walitanza juziii.

Polee Bado maharamia ya CNDDNDD HAWAJAFANYA YAO.
 
Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
Chadema kwenye hili la kuwasingizia NMB mnajipa umuhimu usio wa lazima.
 
Watanzania sisi tuna matatizo ya akili aisee, nmb siku tatu mfululizo walisema Kutakuwa na ufundi ila bado watu wanalalamika utadhani hawakupewa taarifa

Ah kmmk aliyetuloga sisi alituweza kudadeki wallah
Hakuna cha kulogwa wala kurogwa.
Ni ujinga tu wa kuhisi unaonewa kwenye kila kitu ndio tatizo liliopo kwa aliyeanzisha uzi na wajinga wenzake wanaom support.
 
Mbona kifo kila mtu anajua kipo lakini mtu akifa wanalia? Hoja yako haina mashiko. Umeambiwa sababu za mafundi kujifanya wanatengeneza?
Mm sijawahi kulia kwenye misiba, hoja yako hii haina mashiko.

Mlishaambiwa nmb itakuwa kwenye matengenezo, tulieni mpaka matengenezo yaishe then mbebe pesa zenu mkaweke chini ya kitanda mzihifadhi wnyw
 
Hakuna cha kulogwa wala kurogwa.
Ni ujinga tu wa kuhisi unaonewa kwenye kila kitu ndio tatizo liliopo kwa aliyeanzisha uzi na wajinga wenzake wanaom support.
Ndo matatizo ya akili yenyewe haya, mtu n kulalamika tuu wakat tayr taarifa ilishatumwa.

Watanzania sisi ni wapumbavu kmmk 🙌
 
Back
Top Bottom